Vyuma ambavyo vinawekwa mwilini mtu akivunjika ni mali ya nani?

Licha ya kuwa ni ghali mfupa ukipona vinatolewa na kuwekewa mtu mwingine, haviozi wala kupata kutu
 
Inategemea na type gani ya Implant (Chuma) umewekewa.

Kama ni implant iliotolewa kwa program za msaada mfano SIGN Nail program (Chuma kinachoingia NDANI kablsa ya mfupa) hiki kinabidi kirudishwe pindi kitapotolewa na ufuatiliaji ufanyike.

Kuna program nyengine za msaada kwenye implants za ajali ambazo kwenye baadhi hospitali za serikali haziwi billed kwa mgonjwa moja kwa moja - Kama External fixators (Antena zile zinazofungwa na kutokeza nje) hizi inapaswq zirudi ili zitumike kuwa saidia wengine.

Kiufupi: Kama umelipishwa kununua implant na operation - Sio mali ya hospitali, kama umelipia operation peke yake kwenye implant zinazofunguliwa baadae - mali ya hospitali
 
Back
Top Bottom