nani

Luís Carlos Almeida da Cunha ComM (born 17 November 1986), commonly known as Nani (Portuguese pronunciation: [naˈni]), is a Portuguese professional footballer who plays as a winger and captain for Major League Soccer side Orlando City SC. He represented Portugal in international football, and has played over 100 times for the senior national team.
Nani was born in Amadora, Portugal, and is of Cape Verdean descent. He began his football career playing for local side Real Massamá. At the age of nine, he began training with Sporting CP and S.L. Benfica on alternate days, eventually joining Sporting's youth squad after they offered him pre-season training.Nani made his professional debut with the club in 2005 and won the Taça de Portugal during his second season with them. Nani was named the SJPF Young Player of the Month for May 2007 and his performances with Sporting culminated into a move to English club Manchester United in July 2007 for a fee of €25 million.Nani won the Community Shield on his competitive debut at Manchester United and added a number of trophies, including the Premier League and Champions League during his debut season at the club. He established himself as first-choice winger at United and won a further three Premier League titles, the Football League Cup, one FIFA Club World Cup, and three Community Shield titles. Individually, Nani was included in the Professional Footballers' Association (PFA) Premier League Team of the Year on one occasion and was a nominee for the PFA Young Player of the Year in 2011. Following a loan back to Sporting, in which he won the Taça de Portugal, he was signed for £4.25 million by Fenerbahçe in July 2015, and a year later he signed for Valencia. He rejoined Sporting CP in July 2018.
Nani is also a Portugal international. After first playing at under-21 level, he made his debut for the senior Portugal team in September 2006 in a friendly match against Denmark and scored his first goal during the 4–2 defeat in Copenhagen. Nani has represented his country at four major tournaments, including three European Championships: he took part at the 2008, 2012 and 2016 European Championships, reaching the semi-finals of Euro 2012, and winning Euro 2016; he also participated at the 2014 FIFA World Cup with Portugal. Since his debut, he has made over 100 international appearances and scored 24 goals.

View More On Wikipedia.org
  1. T

    JamiiForums Tanzania Nani alikwambia ukiwa Rais au high level position Kuna mashost na marafiki?

    Kuna watu wanadhani ukiwa kiongozi wakitaifa utaendelea kuwa na mashost na marafiki... If Kuna kiongozi anadhani anaweza kuwa na mashost na marafiki ktk kuwa kiongozi basi anachimba shimo refu ktk uongozi wake? Kama unafikiri unapenda mashost na marafiki acha kuwaza kuwa kiongozi wakitaifa maana...
  2. kavulata

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nani atazikwa na hela?

    Ni kauli fupi sana lakini nzito kwelikweli. Akionyesha kukerwa na majizi Rais Samia aliitoa kauli hii. Majizi yote hakuna linalolala kwenye vitanda viwili, vyumba viwili wala kula sahani mbili za ugali kwa wakati mmoja, wanaiba na kurundika pesa ambazo wataziacha wakati wakifa. Pesa hizo mara...
  3. Jay One

    JamiiForums Tanzania Rais Samia alisema wajiuzulu/wapishe nafasi zao. Akina nani hao? ebu tuwataje...

    Wana JF habari zenu. Mh. Rais wetu Mama Samia, jana akiongea baada ya kupokea ripoti ya CAG Ikulu, Dar es Salaam, alisema kwa ukali sana, waliohusika na ongezeko la bei ya ndege ya mizigo ya ATCL kutoka $ 37 mil hadi $ 86 mil wajiuzulu haraka, yaani wapishe nafasi zao haraka sana. JF tuweke...
  4. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Sijafurahia! Wanaowavisha Hawa Viongozi wetu ni kina nani?

    Kila wakati ukifuatilia matukio tofauti ya kitaifa na yale kila siku unaweza kudhani anatoka tu nyumbani labda alisahau kuandaliwa au mke kashtukizwa au labda zile nguo muhimu hasa zipo kwa dobi. Hebu tuangalie kwa pamoja hiyo suti ya makamu wetu wa Rais Dr. Mpango. Sijui ni vile ililetwa au...
  5. Lanlady

    JamiiForums Tanzania Raisi samia: Nadhani hatuchukui hatua. Ni nani wanaotakiwa kuchukua hatua?

    Nini sababu za kutochukua hatua? Je, ni udhaifu wa serikali kuu, sheria au mazingira?
  6. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kuna mtu kakopa benki zetu 5 katoweka

    Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan leo wakati akipokea Ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa hesabu za Serikali (CAG) Ikulu Jijini Dar es salaam amehoji kuhusu mikopo chechefu na kusema kuna baadhi ya Maafisa wa Benki wanashirikiana na Wateja kupitisha mikopo kinyume na inavyotakiwa kisheria...
  7. Prince kelly

    JamiiForums Tanzania Kati ya single mama na Asiekuwa na mtoto Nani anafaa

    Hellow habari, nisiwachoshe direct niendee kwenye point . Nilikuwa na my girlfriend tukawa na mahusiano tumpatie jina prisca ambayo nilidumu nae almost 3 years kwenye relationship ukweli nilimpenda Ila alikuja nisaliti kwa mshikaji mmoja akampiga na mimba juu akanimwaga chini kwa madharau na...
  8. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Zama za Kikwete tulikuwa naye Ridhiwani, Zama za Magufuli ni Makonda, zama hizi nani ndiye mtoto pendwa wa Chamwino?

    Hii nchi CCM wanacheza nayo watakavyo. Kila zama huwa kuna kuwa na mtu mteule ambaye ukipitia kwa huyo basi kila kitu chako serikalini kitapata mserereko. Enzi za Makonda, John Magufuli akiwa Rais na Ridhiwani Mzee Jakaya Kikwete akiwa Rais, kila mtu alijua kwamba jambo likisemwa na hao watu...
  9. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Hivi Dax ni nani?

    Habari marafiki napenda kumfahamu huyu mtu anayeitwa Dax. Nimekua nikifuatilia nyimbo zake naona ni zatofauti sana. Dax ni nani? Hebu tizama hii video yake.
  10. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Hivi Tanzania inamilikiwa na nani. CCM, Dola, au kila Mtanzania?

    Kuna wakati nawaza sana kuwa nimo kwenye nchi ambayo sijui kama mimi ni mmiliki wake ama nani ndiye anayeimiliki. Nadharia ziko nyingi lakini sijaona hata moja inayonifanya nijue nani hasa ni mmiliki wa hii nchi ninayoishi. Kila siku nikiwaza umiliki wangu kwa Tanzania nautilia shaka sana...
  11. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Kati ya Polisi na Lissu ni nani wa kuwasaka waliotaka kumuua Lissu??

    Kwenye mambo ya kihalifu nchi nyingi zimelipa Jeshi la polisi wajibu wa kushughulika na uchunguzi pale uhalifu unapotokea. Kwa Tanzania Polisi kupitia kwa DCI ndiyo wamepewa kazi ya kupeleleza uhalifu unapotokea kupitia kitengo cha CID. Kwenye Jambo la Lissu ama kwa uzembe ama kwa kukusudia au...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Ruto, Raila kuelekea Jumatatu, Tanzania tuna mengi ya kujifunza

    "Katikati ya lindi la yaliyotukuta Kagera, Mola atufanyie wepesi janga hili lituepuke." Hata hivyo maisha lazima yaendelee. Kutokea kwa majirani zetu: Ilikuwa wiki yenye mengi kutokea Jumatatu iliyopita iliyoshuhudia kimbembe cha kufa mtu, pata shika nguo kuchanika. Miamba miwili kila mtu...
  13. Mohammed wa 5

    JamiiForums Tanzania Haji Manara vs Ahmed Ally na Ally kamwe, nani ameweza kujaza uwanja wa Mkapa?

    Nakumbuka zile mechi za CAF za Simba kipindi Haji Manara Afisa habari wa Simba, alikuwa anajaza uwanja wa Mkapa alikuwa ana press nyingi sijui, atembee kwenye masoko, gereji, kariakoo n.k, Haji Manara kwenye uhamasishaji Yuko vizuri kuliko Ahmedy Ally na Ally kamwe Ahmedy Ally kwenye...
  14. Area 56

    JamiiForums Tanzania Kanoute na Aziz Ki nani zaidi?

    Chama yupo kwenye daraja la pekee yake, ni dhambi kumfananisha na Aziz Ki. Sasa nimeona ni bora tumlinganishe na Mzee wa ICC Kanoute, bila kujali maeneo yao wanayocheza, tuangalie mchango wao kwenye timu zao. Piga kura yako hapa, andika jina la mchezaji unayeona ni bora zaidi ya mwenzake...
  15. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Je, kuna ushahidi Hayati Magufuli alimuua nani, aliiba nini na alimpora nani hela?

    Kumekuwa na kelele nyingi sana kuhusu Hayati Rais Magufuli, nataka ushahidi wa haya niliyoyasikia; 1. Ufisadi/Mwizi - Nataka kujua Hayati Magufuli alifisadi nini au aliiba nini na je kuna mahali amewekeza hizo pesa alizo fisadi, mwenye uelewa na hili aliweke hapa kwa uzuri kabisa wengine...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Mwanamke, utakubali tubadilishane unipe MUMEO nani nikupe UTAJIRI WANGU?

    Salaam. October last year niliachwa na mwanaume niliyetokea kumpenda sana. Alionyesha kunipenda na kuahidi ndoa ila mpaka anafikia kusema ITS OVER sikushangaa tokana na mapicha picha nlokua nikijionea mwishoni mwishoni. Kuumia kwa kuachwa na umpendae ni kawaida ila alivyosema tu tuachane...
  17. Mbuta Likaso

    JamiiForums Tanzania Ubishi wa nani mkali kati ya Aziz Ki na Chama si umeisha leo, au bado?

    Kuna ubishani mwingine huwa nauita wa kijinga, na huwa naishia kucheka tu. Tangu mwanzo niliamini muda utaongea huko tuendako nani ni mkali haswaa; Stephano Aziz-Ki au Chama? Huu ubishani wa kipuuzi ni sawa na Ile wa Messi na Ronaldo tu. Yaani Chama mwenye kipaji chake na akili ya soka...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Nani anamwelewa Mhe. Rais anatupeleka wapi?

    Mimi Kwa maoni yangu namwona Mhe. Rais akitupeleka kuyafikia haya yafuatayo; 1. Taafa lenye maridhiano ambalo litatufanya sote tuwe ndugu 2. Anaelekea kutuachia Taifa lenye Katiba mpya itakayoratibu maendeleo na ustawi wetu kulingana na mahitaji ya sasa 3. Upo uwezekano mkubwa akatuachia Taifa...
  19. Msanii

    JamiiForums Tanzania Nani aliagiza na waliohusika kumshambulia Tundu Lisu? Serikali itoe kauli au ifunge jalada

    Kwa mujibu wa yanayoendelea nchini sasa ni kwamba wananchi wengi hawaamini kauli nyingi za serikali hususani zinazotolewa na Jeshi la Polisi kuhusu masuala ama matukio ya kinyama waliyofanyiwa upinzani. TUndu Antipas Lisu ni Mtanzania anayestahili haki zote za kikatiba na kisheria. Haki yake ya...
  20. U

    JamiiForums Tanzania Kati ya Harmonize na Diamond nani ana nyimbo nyingi in total?

    Kupima ukubwa wa mtu ni lazma kujua ana nyimbo ngapi ametoa Toka ameanza Kuimba muziki, msaniii harmonize amerelease nyimbo 127 Toka ameanza Kuimba, na hii idadi amemuacha diamond mbali sana ambaye hata nyimbo 100 hafikishi, pia harmonize amefanya kolabo nyingi zaidi ya diamond, na pia ana album...
Back
Top Bottom