Vinicius Junior Vs Ducapel Moloko, Nani Winga Mkali

ubarinolutu

JF-Expert Member
Oct 22, 2012
1,964
3,895
0_Vinicius-Junior.jpg

Picha: Vinicius Junior

FZyTdtHXEAEroX6.jpg

Picha: Ducapel Moloko
Turejee kwa Hawa wachezaji wawili ambao mmoja anatokea Kwa mabingwa wa ulaya Real Madrid na mwingine anatokea Kwa bingwa wa TAnzania Young African.

Hawa wachezaji wote ni mawinga hatari na Wanambio sana, wanafunga magoli, vijana wadigo na sio wazee kama kina chama na saido.

Sasa nataka muangalie je kati ya Hawa mawinga wawili , nani ni mkali kishinda mwenzie, japokuwa mmoja anacheza ulaya na mwingine anacheza Africa.
 
Turejee Kwa Hawa wachezaji wawili ambao mmoja anatokea Kwa mabingwa wa ulaya Real Madrid na mwingine anatokea Kwa bingwa wa TAnzania Young African...
Upo serious au unatania? Kama upo serious basi haujui mpira labda kama ni uzi wa utani
 
Tatizo la afya ya akili, kufananisha mchezaji wa UEFA na upuuzi
Azam ndo wametuletea huu ujinga zaman tulikuwa tunaangalia hz game husikii uchafu uchafu kama huu

Siku hz nakereka sana kuona mnachek game za watu wenye akili watu wanaleta makelele yao na haya matimu yao ya kilozi
 
Acha kumfananisha Viniciuos Junior na Vitu vya ajabu ajabu wewe jina la huyu mwamba liheshimike.
 
Mimi mikimbio ya Moloko tu ndiyo huwa inaniacha hoi. Kuhusu kumlinganisha na Vini Jr, sitashiriki dhambi hii.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom