nani

Luís Carlos Almeida da Cunha ComM (born 17 November 1986), commonly known as Nani (Portuguese pronunciation: [naˈni]), is a Portuguese professional footballer who plays as a winger and captain for Major League Soccer side Orlando City SC. He represented Portugal in international football, and has played over 100 times for the senior national team.
Nani was born in Amadora, Portugal, and is of Cape Verdean descent. He began his football career playing for local side Real Massamá. At the age of nine, he began training with Sporting CP and S.L. Benfica on alternate days, eventually joining Sporting's youth squad after they offered him pre-season training.Nani made his professional debut with the club in 2005 and won the Taça de Portugal during his second season with them. Nani was named the SJPF Young Player of the Month for May 2007 and his performances with Sporting culminated into a move to English club Manchester United in July 2007 for a fee of €25 million.Nani won the Community Shield on his competitive debut at Manchester United and added a number of trophies, including the Premier League and Champions League during his debut season at the club. He established himself as first-choice winger at United and won a further three Premier League titles, the Football League Cup, one FIFA Club World Cup, and three Community Shield titles. Individually, Nani was included in the Professional Footballers' Association (PFA) Premier League Team of the Year on one occasion and was a nominee for the PFA Young Player of the Year in 2011. Following a loan back to Sporting, in which he won the Taça de Portugal, he was signed for £4.25 million by Fenerbahçe in July 2015, and a year later he signed for Valencia. He rejoined Sporting CP in July 2018.
Nani is also a Portugal international. After first playing at under-21 level, he made his debut for the senior Portugal team in September 2006 in a friendly match against Denmark and scored his first goal during the 4–2 defeat in Copenhagen. Nani has represented his country at four major tournaments, including three European Championships: he took part at the 2008, 2012 and 2016 European Championships, reaching the semi-finals of Euro 2012, and winning Euro 2016; he also participated at the 2014 FIFA World Cup with Portugal. Since his debut, he has made over 100 international appearances and scored 24 goals.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Joto la sasa, nani anakumbuka kama liliwahi kutokea hapa Tanzania?

    Nilikuwa nawaza sana katika kipindi cha joto ambacho nimewahi kushuhudia, sikumbuki kama joto la namna hii niliwahi kuliona. Nikawaza tatizo liko wapi?
  2. JamiiForums Tanzania Nani yuko nyuma ya Mkataba wa TFF na GSM, kwanini TFF wanazuia usijadiliwe wala kuhojiwa?

    Baada ya Malalamiko mengi ya Wadau kuhusu GSM kuwa na Udhamini wa Timu zaidi ya Sita kwenye Ligi ya NBC, na kufanya Mpira wetu kuwa na sintofahamu kwa sababu GSM pia ndiyo mdhamini wa timu ya Yanga. baada ya Viongozi sa Simba kuhoji hilo Kwa TFF, TFF imekuja na Jibu kwamba hakuna anayeruhusiwa...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Mahojiano ya Godbless Lema na Clouds FM yamehairishwa

    Clouds FM imetangaza kuwa yale Mahojiano yao na Godbless Lema yamehairishwa. Clouds FM wamsema mahojiano hayo yamehairishwa baada ya Godbless Lema kupatwa na dharura hivyo kuomba mahojiano hayo yasogezwe mbele Pia Soma: Godbless Lema kutikisa Power Breakfast
  4. JamiiForums Tanzania GSM na Azam nani anadhamini timu nyingi kwenye NBC League?

    Azam anamiliki timu kwenye ligi ni mdhamini wa ligi kuu yote wakati GSM anadhamini timu za Yanga, Namungo, Coastal na Singida tu. Kwanini kuna watu wanataka kuonyesha kuwa GSM anainuisha yanga zaidi kwenye ligi kwa udhamini wa timu chache kwenye ligi? Unapotaka kuhoji ushindi wa Yanga anza...
  5. JamiiForums Tanzania Kati ya Chris Hermworth na Jason Momoa nani mkali kwenye Movies/Series?

  6. D

    JamiiForums Tanzania Nani angesaidia kuharakisha mchakato wa Ujenzi uwanja wa ndege Mwanza, TAA au TANROADS, naomba mawazo yenu

    Ni kweli suala la mchakato wa ujenzi wa jengo la abiria uwanja wa ndege Mwanza limechukua muda mrefu na sasa wananchi waliahidiwa Mwezi February 2024 mkataba ungesainiwa hapahapa Mwanza. Tuliamini baada ya TAA kukabidhiwa na mkoa kasi ingeongezeka na hususani baada ya Rais kutoa bn 30 kazi...
  7. JamiiForums Tanzania Chongolo aliachia ngazi kwa skendo mbaya, leo kateuliwa kumtumikia nani?

    Tanzania Tanzania nakupenda kwa moyo wote. Nchi yangu Tanzania jina lako ni Tamu Sana. Huyu Jamaa aliachia nafasi yake ya chama kwa skendo za fedheha kwa nchi. Chama kikasema kinachunguza na kwamba kitatoa taarifa uchunguzi ukikamilika. Hata jua halijazama bwana Jamaa kateuliwa wakati hata...
  8. JamiiForums Tanzania Wanaojiita “Samia Queens” ni akina nani na wanatafuta nini?

    Nimekutana na Jina hilo kwenye taarifa za kinachoitwa Mkutano wa Katibu wa UWT, Msanii duni wa filamu Jokate. Taarifa zaidi zinaonesha kwamba kikundi hicho kimezindua Wimbo (sijui unahusu nini) Sasa swali letu ni hili, wanaounda kikundi hiki ni akina nani na wamelenga kitu gani? Jina la Rais...
  9. P

    JamiiForums Tanzania Ulikuwa na ndoto za kuwa nani utakapokuwa mkubwa? Umeiishi ndoto yako au maisha yamekupeleka kwingine?

    Alhamisi inaendaje wakuu? Tukiwa watoto kuna hili swali huwa tunaulizwa shuleni au hata nyumbani tu, "Fulani ukiwa mkubwa unataka kuwa nani?" Wengine huwa na majibu ya kazi nzuri nzuri na wengine majibu huwaacha hoi wanaosikiliza majibu yao. Mimi nilikuwa na ndoto za kuwa Daktari, lakini baada...
  10. JamiiForums Tanzania Wanalipwa na nani kumchafua Mbunge Moshi Mjini na Meya

    Kuna mtandao wa kikundi cha vijana kinatumia mitandao ya kijamii yakiwamo magroup ya WhatsApp kumchafua mbunge wa moshi Mjini,Priscus Tarimo pamoja na meya wa manipsaa ya moshi Zuberi Kidumo. Nauliza tu vijana hawa wanalipwa na nani na katika kuwachafua huko wanapata nini na malengo yao ni yapi...
  11. JamiiForums Tanzania Waja msaada wenu hivi ni nani anamiliki hii pisi?

    Kwa anayefahamu mwamba anayeikunja hii pisi msaada hapo chini.
  12. JamiiForums Tanzania Nani kamfunga mdomo Paul Makonda? Sijasikia akiwasema Mawaziri Mizigo

    Salaam Wakuu, Nimeshangaa kuona Paul Makonda kubadili gia angani. Alipoanza kujitangaza, alikuwa akiwasimamisha Mawaziri watoe ufafanuzi na Wengine alikuwa akiwapigia simu akiwa majukwaani huku akisema Mawaziri mizigo siku zao zinahesabika. Alifika mbali na kuwataka Mawaziri wawe wanatuma...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Hivi kati ya Jay Z na Eminem nani zaidi kwenye Rap?

    Guys mambo vipi. Poleni na majukumu ya hapa na pale. Nina swali dogo tu. Hivi kati ya Jay Z na Eminem nani zaidi kwenye Rap (HipHop kwa ujumla)?
  14. JamiiForums Tanzania Tom Cruise VS Ryan Reynolds, Nani Utampa Tag ya "MKALI WA ACTION"

    Tom Cruise Nyota wa Filamu pendwa za Mission Impossible, Top Gun, Mummy, Jack Reacher, Edge of Tomorrow Ryan Reynolds Nyota wa Filamu kali za Deadpool, The Adams, 6 Undergrounds, Free guy, Hitman's Bodyguard Je nani utampa Tittle ya "MKALI WA ACTION", Kwanini na Movie ipi unaikubali kutoka...
  15. JamiiForums Tanzania Nani ana MP3 ya wimbo wa Orchestra Makasi Dar es Salaam jiji umbea mwingi?

    Wakuu naomba mwenye wimbo wa orchestra makassy Dar es salaam jiji umbea mwingi, ukila kisamvu kaza roho mama Mwanza aaaa mteva, shinyangaaa mteva naomba kuwasilisha.
  16. JamiiForums Tanzania Wanasiasa wameshindwa kuwa na tafsiri moja ya nani ni machinga?

    Mtu ana mtaji wa shilingi milioni tatu lakini anaitwa mmachinga Kwa kuwa anapanga bidhaa zake barabarani na Halipi Kodi! Mwingine ana mtaji kama huo huo lakini kwa kuwa anauza bidhaa zake kwenye fremu, anaitwa mfanyabiashara na Anatozwa Kodi. Hivi kigezo cha kuitwa mmachinga ni jinsi mtu...
  17. JamiiForums Tanzania Timu 3 zinazowania ubingwa Premier League 2023/24, Mechi zilizosalia 2024, nani atabeba ubingwa?

    Liverpool Machi 10 Man City (N) (imeahirishwa) Everton (U) Machi 31 Brighton (N) AprilI 4 Sheffield Utd (N) Aprili 7 Man United (U) AprilI 14 Crystal Palace (N) Aprili 20 Fulham (U) Aprili 27 West Ham (U) Mei 4 Tottenham (N) Mei 11 Aston Villa (U) Mei 19 Liverpool (N) Manchester City Machi 10...
  18. JamiiForums Tanzania Wapenzi wa Movies: Nani mkali kati ya Samuel Jackson na Denzel Washington?

    Haya wapenzi wa Movies kali, Kura yako inaenda wapi hapa?
  19. JamiiForums Tanzania Mechi za CAF jukumu la ulinzi uwanjani nani anahusika? Simba ikanushe hizi tuhuma

    Naomba kufahamu,hii michezo ya CAF inayoendelea siku ya mechi jukumu la ulinzi ni la CAF,TFF au timu husika? Maana mechi ya Simba na Jwaneng Galaxy kile kilichofanyika kinashusha hadhi mpira wetu kwenye ramani ya Africa, kuna mtu alijitokeza upande wa Jwaneng alikuwa anafanya mambo ya kijadi...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Abdulrahman Kinana: Chaguzi za 2019 na 2020 zilileta hofu, Mwaka 2024 na 2025 zitakuwa za Huru na Haki

    "Uchaguzi mwaka huu na mwaka ujao utakuwa wa huru na wa haki, wakati nazungumza hivi nina hakika wapo ambao wana mashaka na kauli hii, na hao wenye mashaka wanazo sababu, na sababu zao zinatokana na 2019 na 2020 huo ndio ukweli" "Sheria tuliyokuwa nayo ya uchaguzi ambayo ilitupeleka kwenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…