Timu 3 zinazowania ubingwa Premier League 2023/24, Mechi zilizosalia 2024, nani atabeba ubingwa?

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,309
5,464
Liverpool
Machi 10 Man City (N)
(imeahirishwa) Everton (U)
Machi 31 Brighton (N)
AprilI 4 Sheffield Utd (N)
Aprili 7 Man United (U)
AprilI 14 Crystal Palace (N)
Aprili 20 Fulham (U)
Aprili 27 West Ham (U)
Mei 4 Tottenham (N)
Mei 11 Aston Villa (U)
Mei 19 Liverpool (N)


Manchester City
Machi 10 Liverpool (U)
(Imeahirishwa) Brighton (U)
Machi 31 Arsenal (N)
Aprili 3 Aston Villa (U)
Aprili 6 Crystal Palace (U)
Aprili 13 Luton Town (N)
Aprili 20 Tottenham (U)
Aprili 27 Nottingham (U)
Mei 4 Man City (N)
Mei 11 Fulham (U)
Mei 19 West Ham (N)


Arsenal
Machi 9, Brentford (N)
(Imeahirishwa) Chelsea (N)
Machi 31 Man City (U)
Aprili 3 Luton Town (N)
Aprili 6 Brighton (U)
Aprili 13 Aston Villa (N)
Aprili 20 Wolves (U)
Aprili 27 Tottenham (U)
Mei 4 Arsenal (N)
Mei 11 Man United (U)
Mei 19 Arsenal (N)

U= Ugenini N= Nyumbani
 
Mi ni Man City, lakn Msimu huu hatunyenyui ndoo, Safu ya ushambuliaji sio kali sana kama Last season na Defence line ni weak sana. Hapo ni Arsenal au Liverpool. Though naiombea timu yangu.
 
Hapana kombe ni Lenu au Liverpool, Manchester City sio akiimfunga Arsenal.
Tatizo letu unalijua, tunaanza vizuri kwa nguvu hadi round ya mwisho ila pale karibia na kufunga kitabu unajua nini huwa kinatokea!.
 
Back
Top Bottom