Nani yuko nyuma ya Mkataba wa TFF na GSM, kwanini TFF wanazuia usijadiliwe wala kuhojiwa?

DR Mambo Jambo

JF-Expert Member
May 10, 2012
8,606
17,775
Baada ya Malalamiko mengi ya Wadau kuhusu GSM kuwa na Udhamini wa Timu zaidi ya Sita kwenye Ligi ya NBC, na kufanya Mpira wetu kuwa na sintofahamu kwa sababu GSM pia ndiyo mdhamini wa timu ya Yanga.

baada ya Viongozi sa Simba kuhoji hilo Kwa TFF, TFF imekuja na Jibu kwamba hakuna anayeruhusiwa kuhoji kuhusu Mkataba huo.

Je, hii ni sahihi kwa mustakabali wa Ufanisi wa Soka letu?

Inawezekanaje Mdhamini wa Ligi awe ndo Mdhamini wa Timu Ndani ya Ligi na adhamini timu zaidi ya Mbili na ukihoji unatisihiwa kuchukuliwa hatua.

Wananchi tushtuke.

PIa soma

20240312_103051.jpg
 
Baada ya Malalamiko mengi ya Wadau kuhusu GSM kuwa na Udhamini wa Timu zaidi ya Sita kwenye Ligi ya NBC,na kufanya Mpira wetu kuwa na sintofahamu kwa sababu GSM pia ndiyo mdhamini wa timu ya Yanga..

baada ya Viongozi sa Simba kuhoji hilo Kwa TFF,TFF imekuja na Jibu kwamba hakuna anayeruhusiwa kuhoji kuhusu Mkataba huo..

Je hii ni sahihi kwa mustakabali wa Ufanisi wa Soka letu..

Inawezekanaje Mdhamini wa Ligi awe ndo Mdhamini wa Timu Ndani ya Ligi na adhamini timu zaidi ya Mbili na ukihoji unatisihiwa kuchukuliwa hatua..

wananchi tushtuke...

PIa soma..

View attachment 2932503
Kazi kweli kweli......wanahofia nini wadau wakiujadili ?
 
Baada ya Malalamiko mengi ya Wadau kuhusu GSM kuwa na Udhamini wa Timu zaidi ya Sita kwenye Ligi ya NBC,na kufanya Mpira wetu kuwa na sintofahamu kwa sababu GSM pia ndiyo mdhamini wa timu ya Yanga..

baada ya Viongozi sa Simba kuhoji hilo Kwa TFF, TFF imekuja na Jibu kwamba hakuna anayeruhusiwa kuhoji kuhusu Mkataba huo.

Je, hii ni sahihi kwa mustakabali wa Ufanisi wa Soka letu.

Inawezekanaje Mdhamini wa Ligi awe ndo Mdhamini wa Timu Ndani ya Ligi na adhamini timu zaidi ya Mbili na ukihoji unatisihiwa kuchukuliwa hatua.

wananchi tushtuke.

PIa soma.

View attachment 2932503
Timu za Tanzania zina hali ngumu sana kiuchumi kwa ligi ya Tanzania inahitaji wawekezaji a.k.a masponsor wengi

Unawakataa gsm wasidhamini timu unajua hali ya uchumi ya timu ndogo tusiwe tunaongea kishabiki
 
Hivi kwa mfano MO angedhamini Mngesema hivyo???
Mimi siongelei kishabiki wa Yanga na Simba
TFF hawawezi kataa sababu wanauhitaji mkubwa sana wa fedha na siwezi lalamika sababu mpira unachezwa uwanjani kila mtu anaona

Kiongozi yeyote wa taasisi au kampuni kazi ya kwanza ni kutafuta fedha na ndo anachofanya karia
Ligi haina fedha hii alafu atokee mdhamini umkatae sikituko hiko
 
Sawa ila lazma uhojiwe na Interested part..
Yaani huwezi kuzuia Mimi Nisihoji Kuhusu Kitu ambacho mimi ni Mmoja wa aidha waathirika au wanufaika kwa namna moja ama nyingine
Hujakatazwa kuhoji, ila kawaulize TFF au GSM hao ndiyo wanaweza kutoa ufafanuzi.
Mmeambiwa hivyo tangu 2021. Sportpesa kadhamini Simba, Yanga na Namungo kwa wakati mmoja, mliuliza kwanini?
 
Back
Top Bottom