Sifa za "Black Sheep" (mwana kondoo mweusi) katika familia/kundi:
1. Hutofautiana na wengine – Ana mtazamo, tabia, au maisha yasiyoendana na ya familia/kundi.
2. Mwenye maamuzi huru – Hufuata njia yake bila kujali matarajio ya wengine.
3. Huonekana kama muasi – Anaweza kukaidi mila, dini, au...
Habari zenu! Mimi ni muislamu nataka kuoa binti Mkristo Mzaliwa wa Huko Gairo, Naomba nisaidiwe taratibu za huko za kuandika barua ya posa zipoje? mana nataka niende Wiki hii.
Tanzania tumekuwa na uhusiano mzuri na nchi ya China kwa miaka mingi
Uhusiano huu unapaswa kuendelezwa ili tuweze kusaidiana mbinu za maendeleo katika nchi zetu
China inatutegemea sana lakini pia sisi tunawategemea sana katika mambo mengi yanayohusiana na maendeleo
Kesi ya Uhujumu Uchumi...
Msaada namna ya kufuta kovu ambalo si la muda mrefu.Ndugu yangu kaunguzwa na toyo ilimlalia mguuni.Sasa amebaki na kovu,tunaomba msaada maelekezo ya dawa kwa anayejua tafadhari.
Asante.
Kwa kipindi cha mwezi mmoja nimekuwa katika hali ya kutafuta suluhu ya nini kifanyike kurudisha ari ya vijana, na watu katika utafutaji (hasa vijana)
Kwanini? vijana wengi walio ingia barabarani siku ya 29 october ni kutokana na kuona hawana cha kupoteza, vijana hawa walikuwa na chuki, na hii...
Taarifa za uhakika kabisa za kijasusi zilizopo ni kwamba jeshi la polisi chini ya kamanda Mafwele wapo kazini kuwatafuta, kuwabaini na kuwatambua wale wote walohusika na kuandaa mikutano ya kupanga maandamano ambayo kwa namna fulani yamefanikiwa kufikisha ujumbe.
Ujumbe wa maandamano hayo...
Placebo Effect: Mtu anaweza kupata matokeo kwa sababu anaamini yatatokea, si kwa sababu ya uchawi wenyewe.
Self-Fulfilling Prophecy: Imani kwamba umelogwa inaweza kukufanya uwe mgonjwa au mkosa amani—siyo kwa sababu umeathiriwa moja kwa moja, bali kwa msongo wa mawazo.
b) Ushawishi wa...
Habari wanafamilia wenzangu naomba msaada namna ya kuseti configuration ya wifi zinazopokea laini zote, nikiweka laini na kulog in inakubali ila inanipa ujumbe wa connected without internet lakini laini ina kifurushi, msaada wa kunivusha hapa.
Mafanikio ya Mapinduzi ya umma au mageuzi ya Umma hufanikiwa pale tu vyombo vya usalama vinapokuwa upande wa wananchi.
Mpango huu umeanza wiki kadhaa sasa kuandaa utaratibu wa kuwaunganisha wananchi wote na vyombo vyetu na kuunda njia za mawasiliano na askari wetu hasa vijana.
Kila mtu...
Habari zenu wakuu.
Nimetimiza ndoto yangu ya muda mrefu sana ya kuwa mwandishi wa vitabu.
Katika vitabu vitatu nilivyoviandika nimeshawishika ku release kitabu kimoja cha “Namna bora ya kuwa tajiri kwa njia nyepesi”.
Tatizo limekuja nimekosa hela ya kuki print na pia sina sponsors kwa ajili ya...
Naangalia mpira hapa kwenye hisense smart tv ila kuna matangazo yanajitokeza mara kwa mara yanakera sana kwa sababu yanaziba baadhi ya sehemu ya uwanja. Naomba mnieleweshe namna ya kuyaondoa
Wakuu mimi ni mdau mkubwa wa soka la nje sasa Ligi zimerejea rasmi.
Na kama mjuavyo kwa watu wa kawaida kama sisi kununua kifurushi cha 180k kupitia Dstv ili kuangalia mpira kwetu ni gharama sana.
Hivyo wengi wetu tumeamua kutumia simu zetu kuangalia ligi ya uingereza kupita Application mbali...
Wana CCM wenzangu tutulieni kwanza tupewe Mwongozo namna ya kumjibu Polepole. Tunaruka na kukanyagana wenyewe. Jamaa ameharibu sana. Sasa tusikurupuke tu tunazidi kujidhalilisha. Tunaonekana vilaza.
Simu zinapigwa kuwaomba watu wa IT wajaribu kutupa maelekezo ya kulifukia hili. Ninyi vilaza...
Mwenye anajua jinsi ya kumsaidia kupunguza maumivu au kuondoa kabisa maumivu ya tumbo kwa mwanamke kipindi Cha period
Pisi yangu ikiwa period inateseka almost siku nzima anaumwa tumbo atari
Msaaada🙏🙏🙏
Habari zenu Wakuu,
Naitwa Augustine na miaka 28 nimefanya kazi kwenye kampuni mbili tofauti ya civil engineer na Insurance broker yote hayo ndani ya miaka mitano.
Hivi sasa na miaka 28 na nilikuwa nataka kufungua kampuni yangu binafsi nilikuwa naomba mnishauri procedure nazo takiwa kuzifata...
Habari.
Msaada nawezaje kujiondoa kwenye smartphone niliyounganishwa na mwenza wangu??
Meseji, Voice note zote anazipata kwenye simu yake.Nitajiondoaje Ili asipate taarifa zangu kwenye smartphone yangu?
Msaada.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.