Huko ulikozinunua wakuongozeWakuu naomba msaada wa hatua za kuchukua kuuza hati fungani ya BOT, nimepatwa na dharula ninahitaji pesa niloiwekeza huko inisaidie.
Nitazinunua. Uliweka ya muda gani?Wakuu naomba msaada wa hatua za kuchukua kuuza hati fungani ya BOT, nimepatwa na dharula ninahitaji pesa niloiwekeza huko inisaidie.
Mkuu,si ungezichukulia tu hata mkopo bank? Then ile faida ya kila baada ya miezi 6 wao watakuwa wanakulipia deni lako.Wakuu naomba msaada wa hatua za kuchukua kuuza hati fungani ya BOT, nimepatwa na dharula ninahitaji pesa niloiwekeza huko inisaidie.
Kama 60%wanatoa asilimia ngapi ya mkopo