Kichuri ni chakula kinachotengenezwa kutokana na mabaki ya chakula kilichosagwa tumboni mwa ng'ombe kabla ya kutolewa kama kinyesi.
Kinapendeza sana kuliwa pamoja na nyama choma. Ni maarufu miongoni mwa Wakurya.
Mabaki ya tumbo (kichuri mbichi) kutoka ng'ombe/mbuzi — safisha vizuri.
Nyongo...
Ikiwa yuko mtu ana specific details, naomba msaada tafadhari.
Ndoa ni ya Kikristo, muhusika anahitaji kuvunja na kuendelea na maisha mengine.
Kuna sababu za kuvunja, sasa naomba kujua mchakato wake.
Napenda kuwajulisha umma na wote wenye mapenzi mema kwa Tanzania, Chadema na Mwenyekiti Tundu Lissu kuwa Jopo Mawakili la kumtetea na kumfanyia utafiti Mwenyekiti Lissu li imara kabisa.
Kwa niaba ya Chadema ninapenda kuwashukuru mawakili na wanasheria wote waliojitolea muda wao, taaluma yao...
Kutokana na uchovu wa wiki nzima, imenibidi nitenge muda angalau wikiendi hii niende nikashangae viumbe wengine wanavyoishi wakiwa hapa duniani.
Nimeazimia kutembelea mbuga mbili, sasa ili safari isinichoshe na niifurahie zaidi, nahitaji kampani ya pisi kali tukaangalie namna viumbe wengine...
Kampuni iliyoniajiri inaelekea kufa kwa kukosa uongozi bora, hakuna namna ya kuwawajibisha mabosi sababu ndio wanaomiliki Mifumo ya uwajibishaji
Nafanya kazi kwenye kampuni moja ambayo ina miaka mingi tangu kuanzishwa kwake, imeshakuwa na wakurugenzi kadhaa, ila mara nyingi huwa wanaondoka kwa...
Kwanza kabisa niseme mimi binafsi sifurahii kabisa pale mtu anapokufa.Sifurahii zaidi pale anapokufa bila kutubu.Hata hivyo kuna desturi imejitokeza hapa nchini ya watu kufurahia watu wanapokufa.Ni desturi mbaya na ambayo sio ya kistaarabu.Hata hivyo kuna desturi mbaya zaidi ya viongozi kujaribu...
Wasalaam
Naomba kuelekezwa namna ya Kufika Idodi, Iringa nikiwa natokea Njombe kwa usafiri wa basi.
Nipo mapumzikoni Njombe Nimekaa iddle na ningetamani kuhudhuria msiba wa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Isimani Mh. William Lukuvi
Ahsante.
Wakuu salamu.
Naombeni msaada namna rahisi ya ku-verify number kwenye YouTube channel kwa sasa, na ni namba ya mtandao gani inakubali kwa haraka?
Asanteni.
Wakuu,
Nimekuwa nikipata changamoto ya kutambua code ya namba ya simu iliyokupigia au uliyopewa na mtu kwa kuangalia maana zinafanana na kila siku zinakuja mpya.
Sasa hii inakua Changamoto kama mjuaavyo nchi hii imeshakua ya mabando, sasa unajikuta una dakika za mtandao mmoja tu ambazo huwezi...
1. Kumwagiwa maji baridi Sana
2. Kuwekwa kwenye chumba chenye mziki full blast
3. Kuwashiwa taa zenye mwanga mkali Sana
Hizo hatua tatu zikifanyika na bado haongei hupewa mateso mengine makali zaidi
Rais wa Marekani, Donald Trump, ameashiria kuwa serikali yake bado inalenga kuiondoa madarakani serikali ya Cuba, licha ya vita vinavyoendelea kati ya Israel na Marekani dhidi ya Iran kuingia wiki ya pili sasa tangu Februari 28, 2026. Akizungumza Jumatatu, Trump alisema Wizara ya Mambo ya Nje ya...
Wakuu mwenye experience na hiki kitu please anisaidie niunganishe hii saa na Simu kwani itakua rahisi hata kuset mda pale nitakapokua nasafiri kwenda nje au kurudi Tanzania.
Habar wakuu nimekuja kwenu kutaka msaada wa mawazo,nataka kupungua tawi la biashara ninayoifanya,tawi Hilo litakua km40 Toka nilipo nataka nimuweka mtu aniuzie
Sasa ntawezaje kusimamia ili muuzaje asiweze kuja kimbia nahela ama kusababisha loss kwa maksudi,napia muuzaji kuweka vitu...
Vijana wasiokuwa na namna ya kuanza maisha wasijikite kwenye uhalifu kwasababu uhalifu unakatisha maisha, wajikite kwenye kazi zisizohitaji mitaji, kazi za kutoa huduma mfano usafi majumbani, usafi kwa vyombo vya usafiri, delivery etc
Uhalifu sio njia sahihi ya kuendesha maisha kwasababu hasara...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe amekutana na Balozi wa Norway nchini Tanzania, Tone Tinnes na kufanya mazungumzo ya namna ya kuboresha ushirikiano katika kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi, ngazi ya Mamlaka za...
Hii app inalipa kama ukifanya kazi zao kwa saa wanalipa 10usdc kujibu maswali yao kwa saa moja tu , kama kuna yeyote anafanya kazi hii naomba tushare mawazo
NB; hii kazi lazima ujue kiingereza walau basic english
My people,
NAMNA YA KUFANYA MAJADILIANO YA KIDINI NA WASIO WAKUWA WAISLAMU KATIKA UISLAMU
Uislamu ni dini ya hikma, adabu na rehema. Unapozungumzia dini na watu wasiokuwa Waislamu, Uislamu hauhimizi mabishano ya jazba, bali majadiliano yenye hekima, heshima na lengo la kufikisha ukweli kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.