Ninahitaji custom Pc ikiwezekana ziwe za mtumba
Ninahitaji kichwa cha custom cpu, Monitor ipo ya kawaida.
Budget niliyonayo ni laki 8 hadi milioni 1
Matumizi ni ku edit video pamoja na kuchezea games zifuatazo
Euro Truck Simulator 2
MINIMUM:
OS: Windows 10 64-bit
Processor: Intel Core...
Kiufupi baada ya kupata mtoto wangu 2021 nilimpa Jina la Samia kutokana na mafanikia ya bi mkubwa mmoja mtaani ambaye alikuwa mwanamke wa kwanza pale mtaani kuwa na Master of Science in Computer Science, lakini namna alivyokuwa ghafla hizi siku za karibuni, siamini kama anaweza kuwa mfano mzuri...
Hello Wana JamiiForum. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, nahitaji Mtaalamu wa WordPress Website anayefahamu vizuri Site Migration.
Lengo kuu la uhitaji huo ni kutaka kuhamisha website zangu kutoka Hosting wa sasa na kuzipeleka Kwa hosting mwingine.
Kwa yeyote aliyekuwa tayari...
Kama kichwa kinavyosema, Nahitaji duka au mahali wanapouza vifaa vya kupandikiza mimba kwa wanyama..almaarufu "uhamilishaji"
Nahitaji hivi vifaaa hapa chini:-
1.Liquid nitrogen container lita tatu
2.pistolet moja
3.shealth
4.PD gloves
5.surgery tools
Nahitaji kufahamu vigezo vya kupata mkopo wa kiasi cha 150 million
Maisha ya siku hizi njia za kupata mikopo zipo nyingi na tofauti
Wapo watu wanaokopeshana wenyewe pasipo kuhusisha taasisi za mikopo huku wengine wakitumia taasisi za mikopo
Nahitaji kufahamu vigezo hii itasaidia endapo nataka...
Wadau nataka taabya mbele kubwa ya spacio new model upande wa kushoto,bampa la mbele zima,side mirrow kushoto, kioo cha mbele na kijioo kile kidogo cha kushoto.
KAMA UKO UNAWEZA PATA NITAFUTE NIKUPATIE PESA
Mimi ni ME late 20s, nimekuwa kwa mahusiano na binti wa kaskazini kwa miaka 3 kasoro.
To cut long story short,
Nampenda sana na nilihope angekuwa wangu wa maisha, niliwekeza my time/everything nilichokuwa nacho kwa huyu binti, nikiamini amenielew kwa hali na mali. Nikiwa na tumaini tutafika...
Habari wanajukwaa, nina hii sakata nahitaji msaada wa mawazo nini kifanyike.
Nilikua na nimeajiriwa kwa biashara ya mtu, mzigo/malighafi nachukua kwa watu watu kwa mali kauli na mwenye ofisi alikua anafahamu.
Baada ya mda mwenye biashara kanigeuka kwamba yale madeni ni yangu binafsi sio ya ofisi...
Nahitaji kijana alietoka chuo mwenye uelewa mpana kwenye kilimo Cha nyanya, kitunguu, mahindi, maharage na alizeti pia mwenye kujua na kutunza vizuri nguruwe, mbuzi na ng'ombe
-Awe anajituma
-Mwenye kufanya kazi Bila kutumwa
-Awe mbunifu na kujiongeza
Tabia njema na uaminifu
-Awe ametoka na...
Wadau wa JF habari?Hivi karibuni kumetokea kimbunga CHIDO katika bahari ya hindi na kuathiri maeneo mbalimbali ikiwemo kaskazini mwa msumbiji,Malawi,Zimbabwe na kisiwa cha Mayotte..katika kufuatilia zaidi nakutana na habari ya kuwa kisiwa cha mayotte ni eneo la Ufaransa na Rais wa Ufaransa...
Wakuu kwema? Mm sijambo
Nilikuwa natafuta scientific reason ya kubadili mawazo yangu ya kupeleka biashara maeneo ya kusini na kuchagua eneo jipya la kupeleka biashara.
Mpango wa biashara ni kucheza na minada mbalimbali utakaoanza kutekelezwa mwanzon mwa mwezi wa kwanza. Ninafikiria kupeleka...
Habari. Mimi ni mkazi wa dar es salaam, natafta sana mtaji wa kuanzisha biashara ya kilimo hapa dar kisiju, eneo la kufanyia kilimo ninalo, ila sina mtaji wa kuanzisha kilimo kwa ujumla, nimeazimwa shamba la kulikia na jamaa wa karibu heka 11, na eneo lina asili ya maji chini kama nikichimba...
Habari ndugu.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu.
Mimi ni mpweke na nipo singo, natafuta mwanamke ambaye atanipa faraja moyoni kwa kuishi maisha ya kumpendeza Mungu.
Nina uhitaji wa mwanamke ambaye atakuwa mstari wa mbele kushirikiana nami kwa maisha ya familia ili kuleta furaha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.