nahitaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    Nahitaji mwanamke

    Naitwa John nahitaji mwanamke mtu mzima anayejielewa. Aliye tayari anitafute kwa Whatsapp : +254781847643. Tutaongea mengi hapo.
  2. M

    Mwanza: Nahitaji simtank

    Kama uko maeneo ya Mwanza na una Simtank used unauza, naomba tuwasiliane inbox tufanye biashara. Asante sana.
  3. N

    Nahitaji GX 110 Grand iliyotumika, kwa bajeti ya TZS 3,000,000

    Habari JFers Natumai nyote muwazima. Ninapatikana DAR ES SALAAM. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, nahitaji kununua Toyota GX 110 Grand iliyotumika kutoka kwa MMILIKI ( na si dalali). Bajeti yangu ni TZS 3,000,000 tu. Sizingatii namba ya gari, nitakachozingatia ni GARI KUWA KATIKA...
  4. L

    Nahitaji kuwa professional wa Auto diagnostics na Immobilizer system, ni chuo gani naweza somea?

    Habari waku, mimi ni kijana nnayejihusisha na ufundi wa magari kwa muda wa miaka miwili na nusu sasa, napatikana Arusha mjini. Katika shughuli zangu nilifanikiwa kununua Mashine yangu ya diagnosis kutoka China Aina ya Launch X431 V+ na nikaanza kazi ya diagnosis kama extra coz bado nipo...
  5. S

    Nataka kufanya biashara ya kuuza mbuzi viwandani. Ni viwanda gani wanalipa vizuri?

    Nataka nifanye biashara ya kuuza mbuzi Ila niuze viwandani na sio mnadani, ni viwanda gani wanalipa vizuri na hawasumbui ulipaji? Na utaratibu ikoje? Naomba muongozo
  6. Anuani ya Tanzania Intelligence and Security Service (TISS), Nahitaji nitume barua

    Ndugu wanajamvi, msaada tafadhari anayefahamu anuani au barua pepe ya ofisi ya TISS, Nimepewa task ya kiofisi nitume barua ya kwenda ofisi TISS makao makuu Au ni njia gani nyingine naweza kuitumia kutuma barua au kuweza kufika ofisini kwao? Naombeni msaada tafadhali.
  7. Nahitaji nyumba ya kupanga Kigamboni Mji Mwema au jirani

    Habari ya asbuhi wakuu. Ninahitaji nyumba ya kupanga maeneo ya Kigamboni kuanzia Mji mwema kuja uelekeo wa Maweni, hadi kwa Mwingira. Ninahitaji iwe na vigezo vifuatavyo: 1. Vyumba viwili vya kulala ambapo kimoja kati ya hivyo kiwe self contained. 2. Kuwe na sebule 3. Public toilet ndani 4...
  8. H

    Nahitaji kufungua saloon Kimara

    Naombeni ushauri wenu ndugu zangu, nina 1.5m nafikiria kufungua Saloon ya kiume maeneo ya Kimara. Je zipi ni changamoto zake na faida za kufanya biashara ya namna hii.
  9. Nahitaji mwekezaji tunaeweza fanya biashara pamoja kwenye idea yangu ya bidhaa 6 awepo Dar es Salaam

    Kama kichwa kinavosema wakuu Nahitaji mtu anaweza akawekeza Kwenye hili wazo la biashara.WAZO LENYEWE LIPO HIVIπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ Lengo kubwa nikuwasaidia wauza migahawa kuendesha biashara zao hata kama hawana mtaji na lakini pia kutanua biashara zao.Ipo hivi mama ntilie anavoamka asubuhi atataka kununua...
  10. B

    Nahitaji kununua gari aina ya Toyota Alphard naomba ushauri

    Wakuu habari, Naomba ushauri wenu nahitaji kununua gari aina ya toyota alphard ya kuanzia mwaka 2006, Sina uzoefu na magari, katika bei ,ulaji wa mafuta, nk. πŸ™
  11. Nahitaji mashine ya kukandia ngano

    Habari wana nzengo. Nahitaji mashine used ya kukandia ngano (dough mixer) kilo 25, 3phase ISIWE kutoka China. Tuwasiliane hapa 0765390255. Karibuni
  12. Tangu nikiwa mdogo nimekuwa na ndoto za kuwa askari (mwanajeshi)

    Habari zenu wanaJF? Tangu nikiwa mdogo nimekuwa na ndoto za kuwa askari (mwanajeshi), lakini dunia ina mambo mengi, mpaka sasa nimeshindwa kutimiza ndoto hiyo. Nimeajiriwa lakini sina furaha, why? Kwasababu nafanya kitu ambacho hakipo moyoni mwangu. Kwasasa nina umri wa miaka 29, kwa umri...
  13. Nahitaji Shower Mixer Nzuri

    Wadau wa majumba naombeni ushauri nahitaj shower mixer nzuri Je ni wapi naweza kupata kwa hapa Dsm at affordable price but quality
  14. Nahitaji Website/Blog yenye matangazo ya Adsense yakifanya kazi

    Wakuu nahitaji website au blog yenye matangazo ya Google Adsense yakiwa hayana shida yeyote, kwa aliyenayo naomba tuwasiliane Njoo WhatsApp http://wa.link/c951p8
  15. C

    Nahitaji Mwanamke mwenye Umasikini kama wangu ili tupendane Kidhati na tushirikiane Kuinuka Kimaisha

    Sipendi kudanganya na kuficha nina Maisha magumu na napitia Changamoto kadhaa za Kimaisha, ila naamini nikimpata Mwanamke mwenye hali kama yangu na tukapendana, kushirikiana, tukapambana na kumuomba Mwenyezi Mungu bila Kuchoka basi Umasikini wetu utabadilika na Mafanikio kutupata. Naitwa...
  16. I

    NAHITAJI TONNER 616 C na 622Y

    Habari Wana Jamie forum Nahitaji msaada kwa mwenye Tonner za rangi nne 1.616c Tonner ndogo 2.622Y tonner kubwa Naomba bei pia nitumie picha kuhakikisha kama ni wenyewe Nahitaji Box 100 plus Naweza kufuata au ukanitumia itategemeana na makubaliano yetu Nauhitaji haraka iwezekanavyo...
  17. U

    Nahitaji chumba Self cha Kupanga Arusha

    Habari Natafuta chumba cha kupanga Arusha, maeneo ya Moshono au Njiro. Kiwe chumba kimmoja ambacho ni self , kiwe kina nafasi na jiko dogo Chumba kiwe katika mazira masafi yenye ulinzi na karibu na barabara. Budget ni 100k
  18. Nahitaji rafiki mwanamke

    Sifa Awe na umri wa miaka 33 na kuendelea Awe Muislam na anajitegemea (mfanyakazi/mfanya biashara) Asiwe kwenye Ndoa Sifa zingine karibu pm
  19. Nahitaji msaada toka kwenu wataalamu na mafreelancer

    Kuna DOGO kamaliza form4 hivyo nataka nimwezeshe biashara ya kuuza vifurushi vya dk,mb,sms vya mitandao yoote na kuuza LUKUU ya umeme visiwe vya kukwangua vocha Bali kutumia mashine (SIJUI NI MASHINE GANI INAFAA) Pia awe analipia ving'amuzi. Pia awe anasajili laini (SIJUI NI MASHINE GANI...
  20. S

    Nahitaji mbia kwenye biashara ya kuuza asali Kenya

    Habari wadau, ninahitaji mfanyabiashara wa asali au mfugaji wa nyuki ambae ana vibali stahiki vya kuuza na kusafirisha maana nina wafanyabiashara wapo kenya wanasafirisha asali kwenda dubai n.K, hvyo nahtaji mtu wa kushirikiana nae soko tayari lipo ila mim sina mtaji na utaalam wa kuitambua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…