Asante kiongozi. Ni ushauri mzuri. Bei zao zinaendaje hapo kwa Zongii. Nitajaribu kupitia.Kwanini used boss jongea kwa Zongii Pamba road hapo ongea nao vizuri hata mkopo watakupa
Hahahahaaaaa!! Asante kwa ushauri.Usije nunua la wizi ukaishia nyuma ya nondo
Asisahau kuomba risti wakati ana nunuaKuwa makini watu sio waaminifu. Nunua halali
Moja tu la home!unahitaji ngapi?
Siyo lazima brand ya simtank kaka. Mi nahitaji tank la kuhifadhia maji nyumbani sema tu jina la simtank limezoeleka. Lita 1000 au 2000. Hata 3000 siyo mbaya, tutaangalia na bei.Lita ngapi jombaaa? Lazima iwe simtank?