nahitaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Magical power

    JamiiForums Tanzania Nahitaji single mother miaka 32_50

    Nahitaji single mother miaka 32_50
  2. wa kibondemaji

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kusoma kozi za Mtandaoni

    Naombeni msaada wa uelewa kuhusu online courses, nahitaji kusoma online je niwapi nitapata course za online ambazo nitakuwa certfied? Na je hizi course gharama yake ikoje? Je ziko kozi za bure mitandaoni ambazo ukisoma unaweza kupata ujuzi fulani? Ni site zipi nitapata hizo kozi?
  3. jangos

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kujifunza Programming

    Kama title inavosema wakuu Nataka kuwa developer mnaweza kunsaidia sehemu ya kuanzia Kama kuna website au group Fulani mnaweza kushare nami. Mungu awabariki🙏
  4. TheForgotten Genious

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kujua sehemu ama taasisi zinazotoa mafunzo ya matumizi sahihi ya silaha

    Wakuu naomba anayefahamu taasisi zitoazo mafunzo ya matumizi ya silaha hasa binafsi kwa hapa Dar
  5. Uhakika Bro

    JamiiForums Tanzania Nahitaji usafiri wa lori Mbeya kwenda Moshi - Nahamisha wiki hii

    Ndiyo hivyo, dalali - Dereva tuwasiliane 0734189022 Mzigo unajaa kama ki Toyoace kwa makadirio, vitu vya ndani na pikipiki. vimepakiwa fresh kwenye maboksi zaidi. Mbeya to Moshi Tuwasiliane.
  6. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji kugawa sehemu ya uhuru wangu

    Mimi ni ME Umri 30+ Naishi -Dar es Salaam Kazi -Mjasiriamali Mwenye utayari Awe KE umri : 30< Elimu : kusoma na kuandika tu Makazi : Dar es Salaam Loading............
  7. God knows

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Nissan X-Trail

    Nahitaji Nissan X-Trail ya 2010 used. Nina bajeti ya 9m. Unaweza kunitumia PM
  8. Lexus SUV

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kontena la futi 40

    Habari wandugu . Nahitaji kontena la futi 40. Lenye hali nzuri ....nipo moshi mjini.-kilimanjaro Kama unalo wasiliana nami.....0672701329 Asante.
  9. Chief Kumbyambya

    JamiiForums Tanzania Mshamba wa jiji nahitaji msaada wa kufika maeneo haya

    Nimetoka zangu Tukuyu Mbeya nimekuja na scania mende na humo nilijaza mzigo wa ndizi matoki wote wangu na nimefanikiwa kuuza jana wote soko la mabibo nina kakibunda kanene kiasi na lengo la kujaza scania mende hii ni kwa ajili kuweza kufanya matanuzi na kukamata wachumba kede kede wa daslam...
  10. Reptilia

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimefuta Xender na Miziki yangu pia imefutika

    Wakuu kama ilivo ainishwa hapo juu, MSAADA ninao hitaji nikwamba Jana KWENYE harakati za kwny 1 na 2 nmejikuta nimelifuta file la Xender kwenye simu yangu lakini Cha kushangaza sasa zile MIZIKI nilizokuwa nmezihamishia kwenye hii cm KUPITIA hii Xender kuja kwenye simu yangu nilioifuta ki...
  11. Mung Chris

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mwanasheria mbobezi

    Wana jamvi, nahitaji mwanasheria tutagawana mapato, kuna kampuni nahitaji kuipeleka mahakamani wanilipe fidia sasa sina pesa za kumlipa mwamasheria ila tutakula wote kitakacho lipwa.
  12. J

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kazi/ ajira

    Habari za wakati huu. Majina yangu ni XX ni msichana wa miaka 25 ninaishi temeke Dar es salaam. Mimi ni mhitimu wa elimu ya chuo kikuu mwaka 2022 katika kituo kilichokuwa kinaitwa “TANZANIA-MOZAMBIQUE CENTRE FOR FOREIGN RELATIONS” lakini kwa sasa kinaitwa “ DR. SALIM AHMED CENTRE FOR FOREIGN...
  13. E

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mafuta ya mbegu za zabibu(Grapeseed oil)

    Wakuu, Sehemu gani naweza pata haya mafuta kwa ajiri ya kupaka Nimejaribu kuulizia kwa baadhi ya maduka ya vipodozi sijafanikiwa Asanteni
  14. TZ-1

    JamiiForums Tanzania Nahitaji engine ya pikpiki 125cc

    Huku tumechanganyika acha tutumiane kama fursa Nahitaji engine ya pikipiki yenye uwezo wa cc 125, kipaumbele ni aina za pikipiki hizi Sinoray Fekon Boxer Engine iwe mpya haija guswa ndan offer 2500,00/ 350,000/- Isiwe na vipengele
  15. S

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kuanzisha biashara ya dagaa waliokaangwa kutoka Bukoba - Dar, natafuta soko na partnership wa kuuza hii bidhaa yangu

    Habari ndugu, kama kichwa Cha tangazo kilivyoandikwa nahitaji kuanzisha biashara ya kuuza dagaa waliokaangwa kutoka Bukoba -Dar hivyo nahitaji watu wa kushirikiana nao kupata soko, dagaa ni rejareja kwenye packet au kwa jumla pia wanapatikana kuanzia ndoo ya lita 10 mpk 20, hivyo kwa ambae yupo...
  16. Newcastle1234

    JamiiForums Tanzania Nahitaji eneo la Ekari 20 Bagamoyo

    Liwe sio mbali na Bagamoyo mjini kwasababu litajengwa hospital. Lenye hati litapewa kipaumbele
  17. M

    JamiiForums Tanzania Anahitajika Youtube content creator

    Wakuu habar zenu Natafuta Mtu anaweza kutengeza content za youtube Aina ya content ni zile zinazohusu Simuliz mbalimbali za kimaisha Simulizi ziwe interesting na za kusisimua Sharti uyo mtu awe mkoa wa mbeya
  18. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji fundi wa kushona nguo

    Habari wadau. Nina kazi ya kushona uniform za wanafunzi. Cherehani ninazo ila nahitaji mafundi wenye uwezo wa kushona. Dondoo za kazi ni zifuatazo; 1. Uniform ni za kike na kiume. Za Kike ni Gauni au Blauzi (Top) na Suruali na za kiume ni Suruali tu 2. Kazi inafanyika KIMARA DSM 3. Nahitaji...
  19. Kumi4

    JamiiForums Tanzania Nahitaji pool table

    Wakuu poleni na majukumu, moja kwa moja kwenye point, niko Mkuranga nahitaji Pool table, mwenye ufahamu ni wapi naweza pata na gharama zake nitashukuru mno. Nawasilisha nikiambatanisha na shukran.
  20. Sun Wukong

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Smart kitochi kiwe cha voda au all networks

    Nashida na haka kasimu nipo dar mwenye nacho au anaeuza tukutane budget yangu ndogo dondosha offer PM au hapa nitakufata PM
Back
Top Bottom