nahitaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Amba Samedi

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Oven ya Kuokea mikate ya Meza ya Bwana.

    Habari wanaJF, Nimekuja kwenu na ombi. Kama kuna mfanyabiashara wa OVEN hapa naomba tuonane. Cha msingi, nahitaji kukitumia kanisani. Iweze kutumia gesi na umeme. Plate 2 au 3. Naomba uniandikie. Whatsapp ni 0748707707
  2. Super mega

    JamiiForums Tanzania Nahitaji alluminium Sheets.

    Habari za muda huu JF wadau wote, kama kichwa cha uzi kilivyo elekeza, nahitaji hiyo bidhaa tajwa, kwa mtu anaejua chimbo kwa kkoo au ni kiwandani anaweza kunichek katika namba hii 0653914963, size inayotakiwa ni mm 0.2
  3. Knock life

    JamiiForums Tanzania Wakuu baada ya changamoto sasa nahitaji ajira ya office attendant serikalini .

    Wakuu asiyekubali kushindwa sio mshindani . Nipo hapa mnishike mkono najua JF ni familia kubwa. Nahitaji Ajira ya office attendant Elimu yangu ni Advanced diploma. Ila sijafanikiwa kupata Ajira miaka minne. Nipo tayari kuanzia chini , nahitaji Ajira ya office attendant . Nina Cheti cha form...
  4. kancher

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kibiashara:- Nahitaji shareholder au mkopo wa bidhaa kutoka kwa nuuzaji wa jumla.

    Habari wakuu. Husika na mada hapo juu, mimi ni mfanyabiashara napatikana kanda ya kaskazini, najishughurisha na biashara ya duka la nguo za kisasa mchanganyiko za kiume na kike. Nahitaji msaada kwa mtu yeyote tuingie share tufanye biashara pamoja kwa yeye kuweka mtaji au mfanyabiashara ambaye...
  5. Hero Radio

    JamiiForums Tanzania Nahitaji wawekezaji kwa wazo langu

    Habari wakuu! Suala ni hili wakuu, Nina online radio ambayo inasikilizwa kwa kiasi hapa nchini na zaidi ni nchi za nje kama Misri, Algeria, Germany, Finland, nk. Hali iliyopelekea watu wa nje wengi wanitafute kwa ajili ya kuomba airtime, hasa wasanii (nyimbo, interviews ). Pia saivi niko...
  6. chazi piere

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mkopo wa shilingi milioni 2

    Dhamana ni shamba/nyumba Marejesho ndani ya miezi 2 Riba sisizi 20% Nipo kibaha Contact 0678804442
  7. bushoke wa dar

    JamiiForums Tanzania wakuu nashida na kazi

    kijana wa miaka 22 pia nnalesen ya udereva class d nimeish form 4 ila nahitaji kazi yoyote kwa sasa ya kujikimu kwa sasa .... natanguliza shukrani zangu za dhati.
  8. Mike Moe

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kufungua NMB chap chap account

    Habari za asubuhi wanajamii Nahitaji kufungua nmb chap chap account je kwa pale bank nikienda watadai nini kingine tofauti na namba ya nida ili kuweza kunifungulia hiyo chap chap account
  9. E

    JamiiForums Tanzania Nahitaji elimu kuhusu biashara

    WAkuu hivi naomba kuuliza kama una milioni 30 inatosha kuchukua mzigo china ila pesa hiyo hiyo ndio yakufanyia clearance bandarini na kupakia mzigo kutoka china kuleta hapa na kama inatosha ni biashara gani italipa
  10. marcoveratti

    JamiiForums Tanzania Nahitaji apple developer accounts

    Mambo vipi wakuu Kwa waliowahi miliki Apple developer accounts kwa ajiri ya kupublish app zao app store Nahitaji account hizo kwa offer nzuri Asante.
  11. W

    JamiiForums Tanzania Nahitaji gaming PC, Kwa Tanzania ni wapi wanauza au ku build custom PC?

    Ninahitaji custom Pc ikiwezekana ziwe za mtumba Ninahitaji kichwa cha custom cpu, Monitor ipo ya kawaida. Budget niliyonayo ni laki 8 hadi milioni 1 Matumizi ni ku edit video pamoja na kuchezea games zifuatazo Euro Truck Simulator 2 MINIMUM: OS: Windows 10 64-bit Processor: Intel Core...
  12. Mashamba Makubwa Nalima

    JamiiForums Tanzania Niko na shida nahitaji kumbadilisha jina mwanangu kutoka Samia kuwa Amina, Utaratibu ukoje?

    Kiufupi baada ya kupata mtoto wangu 2021 nilimpa Jina la Samia kutokana na mafanikia ya bi mkubwa mmoja mtaani ambaye alikuwa mwanamke wa kwanza pale mtaani kuwa na Master of Science in Computer Science, lakini namna alivyokuwa ghafla hizi siku za karibuni, siamini kama anaweza kuwa mfano mzuri...
  13. Saoka

    JamiiForums Tanzania Nahitaji router itakayonifaa nimehamia Tarime kikazi

    Habari ndugu zangu nahitaji router nipo Tarime ni ipi itakayonifaa kuendana na mazingira ya huku??
  14. TheGreatASA

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Mtaalamu wa Wordpress, anayefahamu vizuri Site Migration.

    Hello Wana JamiiForum. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, nahitaji Mtaalamu wa WordPress Website anayefahamu vizuri Site Migration. Lengo kuu la uhitaji huo ni kutaka kuhamisha website zangu kutoka Hosting wa sasa na kuzipeleka Kwa hosting mwingine. Kwa yeyote aliyekuwa tayari...
  15. NgimbaErick

    JamiiForums Tanzania Nahitaji dada wa usafi wa nyumbani

    Asanteni Nimeshapata!
  16. emmarki

    JamiiForums Tanzania Nahitaji vifaa vya uhamilishaji (artificial insemination kit)

    Kama kichwa kinavyosema, Nahitaji duka au mahali wanapouza vifaa vya kupandikiza mimba kwa wanyama..almaarufu "uhamilishaji" Nahitaji hivi vifaaa hapa chini:- 1.Liquid nitrogen container lita tatu 2.pistolet moja 3.shealth 4.PD gloves 5.surgery tools
  17. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kufahamu vigezo vya kupata mkopo wa kiasi cha 150 million, hii itasaidia endapo nataka kukopesha mtu au kukopa

    Nahitaji kufahamu vigezo vya kupata mkopo wa kiasi cha 150 million Maisha ya siku hizi njia za kupata mikopo zipo nyingi na tofauti Wapo watu wanaokopeshana wenyewe pasipo kuhusisha taasisi za mikopo huku wengine wakitumia taasisi za mikopo Nahitaji kufahamu vigezo hii itasaidia endapo nataka...
  18. U

    JamiiForums Tanzania Nahitaji vifaa hivi vya gari kwa mwenye navyo

    Wadau nataka taabya mbele kubwa ya spacio new model upande wa kushoto,bampa la mbele zima,side mirrow kushoto, kioo cha mbele na kijioo kile kidogo cha kushoto. KAMA UKO UNAWEZA PATA NITAFUTE NIKUPATIE PESA
  19. Anastasia21

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mkopo wa haraka

    Jaman nani anaweza nisaidia kupata mkopo wa milion 5 kutoka kwa mtu binafsi kama inawezekana naomba tuwasiliane 0748469897
  20. Takemetochurch

    JamiiForums Tanzania Kwa sababu ya umasikini wangu wazazi wa binti wamenikataa

    Mimi ni ME late 20s, nimekuwa kwa mahusiano na binti wa kaskazini kwa miaka 3 kasoro. To cut long story short, Nampenda sana na nilihope angekuwa wangu wa maisha, niliwekeza my time/everything nilichokuwa nacho kwa huyu binti, nikiamini amenielew kwa hali na mali. Nikiwa na tumaini tutafika...
Back
Top Bottom