Mbolea gani ya kunyunyizia (Foliar fertilizer) inayofaa kwenye shamba la nanasi?

DENAMWE

JF-Expert Member
Dec 29, 2019
851
863
Nimepanda shamba la nanasi.
Huu ni mwaka pili. Nimeshaanza kuvuna.

Nahitaji kuongeza/kuweka mbolea ya kunyunyizia [Foliar fertilize]. Ni ipi inayofaa?
 
Back
Top Bottom