nafasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Hizi nafasi 500 za waendesha pikip8ki zisije zikawa kama zile za madereva wa lori

    Mnakumbuka wae madereva wa Lori Tanzania walirudishwa nyumbani kutoka Qatar walipoenda interview kwa kushindwa kuendesha malori ya kisasa. Na wasiwasi na hizi ajira 500 za pikipiki za huko Falme za kiarabu watarudishwa. adriz de mbusii
  2. JamiiForums Tanzania Kwenye maisha una nafasi kubwa sana ya kufeli kuliko kufanikiwa

    Katika harakati za kutafuta maisha, wengi hua na ndoto za kutoka wakilinganisha mafanikio aliopata mtu flan(Mentor), however sio kitu kibaya kua na mentor ila ukwel ni mafanikio hua ni njia binafasi Kwa mfano unaweza tamani kuamfanya biashara maarufu, katika dira zako ukaona mtu kama vunja bei...
  3. JamiiForums Tanzania Uganda wametuibia Nafasi yetu kwenye AFCON 2025 Group C!

    Sio haki.
  4. JamiiForums Tanzania Dangote vs Farouk na nafasi ya matajiri wetu katika vita dhidi ya rushwa

    Mvutano kati ya bilionea namba moja Afrika, Aliko Dangote dhidi ya Boss wa mamlaka ya usimamizi wa bidhaa za petrol Nigeria bwana Farouk ndio mjadala mkubwa kwenye mitandao ya kijamii wiki hii. Kwakifupi sana, Dangote anamshutumu Farouk kuhujumu sera za nchi ya Nigeria kukuza uzalishaji wa...
  5. JamiiForums Tanzania Ipi nafasi ya Tanzania katika mgogoro wa Mashariki mwa Congo (DRC)?

    Kinachoendelea Mashariki mwa Congo DRC si mgogoro wa mbali kama wengi tunavyodhani. Huu ni mgogoro ambao hakuna nchi ya Afrika Mashariki itakayobaki salama. Kuna chaguo mbili tu: ama uwe sehemu ya mchezo na uchague upande, au ubaki mpweke kisha upokonywe hata kile kidogo ulichonacho. Tukirudi...
  6. JamiiForums Tanzania Mwanamke Ungepata Nafasi Kuwa Mwanaume kwa Mwaka Mmoja, Ungefanya Nini? 🧐

    Mambo Vipi, mwana JF, wabunifu wa taifa! Leo tuachane kidogo na siasa na mambo ya Gavo na Ngenga zao, tujichangamshe na 'science fiction' ya maisha! 😂 Hebu fikiria, mdada/mwanamke uliyejichanganya huku, unapewa Kipawa cha Ajabu (Superpower) cha kubadilika kuwa mwanaume kamili kwa Mwaka Mmoja...
  7. JamiiForums Tanzania Ushirikiano Kitanzani: Kodi ya Ushuru wa Bidhaa ya Tanzania na Nafasi ya Mahakama ya EACJ

    Na Dkt. Kirimi Wanjagi Mivutano ya hivi karibuni mpakani mwa Kenya na Tanzania, ambapo malori yalilazimika kusimama kwa saa nyingi kufuatia vurugu za Oktoba 29 nchini Tanzania zimefufua tena wasiwasi wa muda mrefu katika jumuiya ya wafanyabiashara eneo Afrika Mashariki kuwa hali mbaya kuliko...
  8. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Katika imani za kihindi, wale marehemu wa MO29, hawawezi kupumzika kwa amani ilihali mmewasaliti, Nafasi zao zitawahunt miaka yote

    Nimebahatika kusoma dini ya kihindi kidogo, Kuna sehemu inasema kwamba! Kama ulikufa ukiwa mwema basi huwa unazaliwa sehemu nyingine kama mtu mpya, kama ulikufa ukiwa na kinyongo ama ulikuwa haujamaliza kazi fulani basi huwa wanazaliwa kama wanyama na nafsi zao kuhaunt wale waliokuwa wameungana...
  9. JamiiForums Tanzania Internship Opportunities for Computer Programmers

    CLICK THIS LINK TO APPLY
  10. F

    JamiiForums Tanzania Kujazana familia ya Samia kwenye nafasi za uongozi wa nchi ni uthibitisho wa kukosa maadili ya kiongozi

    Samia amejaza wanafamilia yake angalau 7 kwenye nafasi za ubunge wa kuteuliwa na uwaziri. Wapo wengine wengi katika nafasi za chini kidogo, ni wengi. Jambo hili linadhihirisha kuwa Samia hana maadili ya kiuongozi na hajali anayoyafanya mbele ya macho ya Watanzania. Jambo hili ni hatari kwa...
  11. JamiiForums Tanzania NAFASI ZA KAZI YAS - DIRECT SALES AGENTS

    Habari wakuu, Kama kichwa kinavyojielezea hapo juu, Ninahitaji vijana kwa ajili ya kufanya mauzo ya Ku Push products za Yas Business kama Vile Yas Routers, SME and Individual Bundles, Home Fiber, Mjasirianali Box, SME KINARA na zingine nyingi.. Zote hizi ni bidhaa za Yas Business Ajira hii...
  12. JamiiForums Tanzania Itachukua miongo mingi sana kuipata tena hotuba hii iliyotolewa na Rais Samia Suluhu Hassan

    Hakika Uongozi huwekwa na Mungu. Leo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameongea na wazee wa Dar Es Salaam. Hii ni Hotuba nzito sana iliyoonesha Upole, Ukweli na dhamira njema. Hotuba hii imeonesha kuwa Rais yupo well informed. Hotuba hii imetambulisha adui ni nani...
  13. G

    JamiiForums Tanzania Historia imekwisha kuandikwa Samia mwanamke wa kwanza Africa kuingia madarakani kukiwepo umwagikaji mkubwa wa Damu , una nafasi ya kujiuzulu kusafisha

    Kama tunavusoma historia ya Nyerere na wenzake kutafuta Uhuru na kuingia madarakani bila umwagikaji wa damu , Ndivyo watoto wetu watasoma historia ya Mama Samia kuingia madarakani kukiwepo umwagikaji wa damu, Wataenda mbali zaidi na kujiuliza baada ya hapo alichukua hutua gani baada ya mababu...
  14. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Uteuzi wa wagombea wa CCM wa nafasi za Mameya wa jiji

    Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan jana Novemba 29,2025 ameongoza Kikao cha Kamati Kuu Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa cha uteuzi wa wagombea wa CCM wa nafasi za Mameya wa Majiji na Manispaa pamoja na...
  15. JamiiForums Tanzania PostGE2025 D9 ni nafasi ya tatu na Mwisho kwa JWTZ kuonyesha Uzalendo wao tutawahukumu baada ya hili

    Hawa jamaa mungu ana mpango nao kama kweli waliapa kuilinda katiba,rasilimali na watu wake kwa wivu mkubwa haya ndo majaribio matatu makubwa wanapewa sasa. 1. March 17 Mwaka 2021 Walishindwa kutetea katiba Visingizio kibao pamoja nakuonywa na wazalendo ona sasa yanayotokea 2. October 29 Mwaka...
  16. JamiiForums Tanzania Msigwa hata kama ungepewa nafasi ya kuijibia serikali ungejibu nini? Kuwa watu hawakuuliwa?

    Naomba unijibu kama mtu ambae anatumia common sense. Sio akili za kulinda kitumbua na ugali kama Maliyamungu wa Iddi Amini. Rais Samia katamka hadharani kuwa baada ya vijana kuimba kuwa wataka kama ya Madagascar watu waliuliwa. Uhalifu ulifanyika Je, ulihataji kuzuiwa kwa mtutu wa bunduki...
  17. JamiiForums Tanzania McLaren wamepokonywa point kwenye Las Vegas GP. Nafasi ya Max Verstappen kushinda taji la Driver Championship bado kubwa!

    Formula One sio kama michezo mingine, ambapo kipyenga kikipulizwa basi mchezo umeisha, kwamba ata makosa yakionekana baadae basi hamna namna kwani mchezo ushamalizika. Sasa, F1 mkimaliza race, mshindi akatangazwa, magari yanaenda kukaguliwa kuonesha kamakuna cheating yoyote imefanyika. Sasa...
  18. JamiiForums Tanzania “Dereva Daraja la II” ndio nafasi ya kazi inayoongoza kutangazwa Ajira Portal.

    Wakuu. Wengi mtasupport ili, madereva ndio wanaotangazwa sana katika Ajira Portal. Sizisemi kada nyingine, lakini mfano hapo cheki wana nafasi 40 zimetangazwa, na kila nafasi unakuta zina post 5 kuzidi. Kwahiyo 40x5 inamaanisha kuna madereva 200 wanahitajika ndani ya hizi week mbili...
  19. JamiiForums Tanzania Serikali kazia hapo hapo msiwape nafasi tena CHADEMA wasijifanye wao ni last born kususa susa - Nchi ilikuwepo bila CHADEMA na itaishi bila CHADEMA

    Dunia yote inajua walisusa, wakagomea ku sign kanuni za uchaguzi walitegemea serikali itawabembeleza. Sasa hivi maisha yanaendelea, mpaka kufikia 2030 CHADEMA itakuwa imekufa. Mfadhili mkuu w CHADEMA kila mtu amemuona, Tundu Lisu aliwahi kunukuliwa akisema aliwahi kukutana na kiongozi wa dini...
  20. W

    JamiiForums Tanzania William Lukuvi akanusha uvumi ulioenea mitandaoni kuwa aligombea nafasi ya Spika wa Bunge

    Mbunge mteule wa Isimani (CCM), Mkoa wa Iringa, William Lukuvi amekanusha uvumi ulioenea mitandaoni kuwa aligombea nafasi ya Spika wa Bunge. Lukuvi ametoa kauli hiyo leo Jumanne Novemba 11, 2025 wakati akitoa maelezo baada ya kuteuliwa kuongoza uchaguzi wa Spika wa Bunge nafasi aliyoipata...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…