nafasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania ushindi wa vita ya Kagera hauna thamani tena kama ni kweli waganda tuliowahi kuwapiga vitani na wenye visasi walipewa nafasi kumwaga damu

    ni kosa kubwa sana kumleta adui uliewahi kumtwanga aje kusimamia ulinzi hata kwa siku 1 tu, Ni kosa kubwa sana.
  2. funaku

    JamiiForums Tanzania Walioshinda nafasi za ubunge 2025

    Thread hii ni kwa ajili ya kuwatambua wabunge wateule kwa kila jimbo kufuatia uchaguzi wa 2025. Tuma jina la Mbunge mteule wa jimbo lako hapa
  3. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Watakuja kupiga mogoti wenyewe ama kukimbia nchi hii, wanajitia viburi kwa nafasi ya muda tu

    Watakuja kupiga mogoti wenyewe ama kukimbia nchi hii, wanajitia viburi kwa nafasi ya muda tu
  4. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Mdau ukipewa nafasi ya kuwa rais wa JMT kwa masaa 24 ungetamani kufanya nini?

    Watangazaji waandamazi wa Clouds Redio wakijibu swali linalouliza Je, ukipata nafasi ya kuwa rais kwa saa 24 ungetamani kufanya nini au ungebadilisha kitu gani? binafsi nimependa REFORMS na katiba mpya.
  5. H

    JamiiForums Tanzania Polisi Wamedhihirisha ni Maadui wa JWTZ, Madaktari, Walimu, Vijana; Tuitikie Walichokianzisha Kila Mtu Kwa Nafasi Yake.

    Kwenye ile clip ya Muliro na Mafwele, Mafwele ametamba na kutoa idadi ya wanajeshi wa JWTZ waliowateka ambao bado wanawashikilia, akawataja idadi ya madaktari waliowateka na kuwashikilia, akataja idadi ya walimu waliowateka na kuwashikilia, amewataja wahasibu waliowateka na kuwashikilia...
  6. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Ikumbukwe rais ana nafasi 10 za kuchagua wabunge anaowataka, msishangae Abduli akipewa ubunge baadaye uwaziri moja kwa moja

    Ikumbukwe rais ana nafasi 10 za kuchagua wabunge anaowataka, msishangae Abduli akipewa ubunge baadaye uwaziri moja kwa moja.
  7. Exformer

    JamiiForums Tanzania TAESA, naombanipate mtu wa kunitafuta nafasi ya intern

    Wazima huku ndani maisha ya mtaani ni kupambana sana ndio, kwa hapa nilipofikia naomba hata itokee nafasi ya kupata intern iwe taesa ama wapi Kwa taifa nishafanya kila kitu chao kuanzia training mpaka interview. Naomba kama kuna mtu anaweza nisaidia huko taesa tufahamiane
  8. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Miloud Hamdi atemwa Ismaly, Yanga ndio nafasi pekee ya kumrudisha ndio hii

    I salute you kinsmen Tayari miloud kashatimuliwa Tuache kuzunguka bure huyu alikuwepo yanga majuzi tu hakuna haja ya kumrudisha tu maana sidhani kama bado anasahau team yetu maana alikuwepo juzi tu Makocha wa kiarabu huwa ni makocha wazuri sana kama huyu bwana Hakuna haja ya kuhangaika huyu...
  9. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Kila la kheri Manchester United katika mechi dhidi ya Liverpool Nafasi ya 11 sio hadhi yenu!

    Unaambiwa adui muombee njaa na Enemy of my Enemy is my Friend. Man U leo akimpiga Liver, gepu la namba 1 na yeye tatu litazidi kua kubwa. Hapo hatupati tena. man City sio tishio kabisa.
  10. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Folz amekufukzwa kihalali kabisa! Yanga bado ina nafasi ya kufuzu

    I salute you kinsmen Kwa kweli mwanzo mimi nilikuwa moja ya watu niliomtetea folz sana nyie mashahidi Aleyn Tate Mkuu ngara23 vibertz na wengine wote nyie mashahidi Ila huyu jamaa kwa kweli alizidi hateteki! Folz ameuharibu sana mpira wa yanga Yaani yanga ya kutegemea cross tu kweli...
  11. October 2pm

    JamiiForums Tanzania Napata shida kuapply nafasi ya clinical officer na medical Doctor PSRS. Kuna aliyefanikiwa

    Kuna yeyote kafanikiwa maana siku ya pili hii naona bila bila. Ujumbe wananiambia ni check specific academic qualifications sasa kila nikicheki naona. Ziko sawa. Kuna yeyote kufanikiwa? Msada tutani
  12. Raia Fulani

    JamiiForums Tanzania Kwamba nao watakaa tu kimya na kutazama imani yao inavyobagazwa na kubanangwa?

    Nimekaa tu na kutafakari kuhusu ujumbe huu hapo chini. Waliomo serikalini wamekubaliana na hali hiyo? Wanapata nini hasa kinachowafumba kiasi hicho wasihoji wala kuchukua hatua? Watadhalilishwa hadi lini? Wameshakufa au kufwa wa kutosha. Wanaona na kujua. Wana mkakati ambao hatuujui au tuwaite...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Nani mwingine anamuona Dkt. Bashiru kwenye nafasi kubwa sana pengine kurejeshwa kwenye ukatibu Mkuu kiongozi?

    Kwa walio na uwezo wa kuona mambo kwa jicho la tatu wataona Dkt. Bashiru atakuwa kiongozi mkubwa sana wa Taifa na anaweza kurejeshwa kwenye ukatibu Mkuu kiongozi au ukatibu Mkuu wa CCM. Hili ni mara ya pili nalisema juu ya Dkt Bashiru
  14. H

    JamiiForums Tanzania Kila utekaji ni afande Mafwele, hivi ndugu wa waathirika wameshindwa kushughulika naye hata kwa radi?

    Nasikitika sana kuona watu wanamtaja afande mafwele kushiriki ktk kila utekaji na wakati huohuo wakishindwa kuchukua hatua dhidi yake. Hivi kweli ndugu wa waathirika wameshindwa kuungana na kushughulika na Mafwele wala ndugu zake ili kulipiza? Kwa hali hii kweli mtaweza kuandamana hiyo tarehe...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Dkt. Jingu: Wanawake wapewe nafasi za Uongozi si kwa sababu ni wanawake ila kulingana na uwezo wao

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. John Jingu, amewataka viongozi wanawake chipukizi kutoka mataifa mbalimbali ya Afrika kuchukua hatua madhubuti na kuleta mabadiliko halisi katika safari zao za uongozi ‎ Akizungumza jijini Dar es Salaam wakati...
  16. Ex Spy

    JamiiForums Tanzania Nafasi za ZCO na mambo yake. Wasiojulikana ni kina nani?

    Wakati wa Chuma, tukilalamikia vitendo vya utekaji na the so called “Task Force” kupoteza watu (Kina Ben Saanane etc), kesi za ajabu ajabu (kina Kabendera, Maxence, Eyakuze etc) Wambura alikuwa ZCO na sasa ni IGP. Wakati huo, ndo ukaibuka msemo wa “Wasiojulikaka”. Kama mtakumbuka, hadi kesi za...
  17. Richard

    JamiiForums Tanzania Kapteni John Tesha ni chambo tu ila kumtuma kanali Mlunga akaimu nafasi ya msemaji wa JWTZ badala ya luteni kanali Ilunda yafikirisha

    Kapteni John Tesha ambae ni mkufunzi (Instructor) wa wanafunzi wa kurusha ndege za kivita kajitokeza akisema alosema. Mengi alosema Kapteni Tesha yamezungumzwa pia na aliekuwa balozi wa Tanzania nchini Cuba (Kuba) balozi Humphrey Polepole. Kama ni kweli huyo ni Kapteni Tesha basi na ni kweli...
  18. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi: Digital Marketing Officers (Tourism & Hospitality Sector)

    Ninahitaji watu 5 pekee (wadada na wakaka) wenye uelewa na passion ya marketing (hasa digital marketing) ili kuendeleza sekta ya utalii na kuhakikisha wageni wanapatikana kila mwezi. 🔑 Muundo wa Kazi Kazi yako kuu ni marketing & client acquisition — kuhakikisha wageni wa kimataifa na wa ndani...
  19. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Walimpa kocha nafasi ya kusajili na bado kawakimbia, simba bado wana akili za kitoto.

    I salute you kinsmen. Yaani Tanzania hii kuna team kutwa kutuaibisha tu, Wao mambo meusi yamejaa tele klabuni kwao nje ndani. Wao walijifanya eti wamempa ruhusa kocha alete wachezaji anaowataka. Hawajui kwa Africa hilo ni jambo impossible kabisa ila wakajifanya wapo Hispania la liga kumbe...
  20. Adharusi

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa UMMA waliogombea nafasi za ubunge CCM, waunga mkono NRNE

    Nina marafik zangu ambao ni watumishi wa Umma kama wanne walichukua fomu CCM kugombea Ubunge 2025 katika majimbo na viti maalumu, ila kura hazikotosha na wengine Kamati Kuu haikuwateua Sasa serikali imewaweka benchi mpaka Leo hawajapewa kibali cha kurudi kwenye utumishi, zaidi ya mishahara...
Back
Top Bottom