Habari wana JF,
Ni asili ya mwanaume kuanzisha mahusiano na mwanamke ndio mwenye maamuzi ya kukubali au kukataa, hata kama mwanamke ataanza kumpenda mwanaume ni vema kusubili mwanaume aanze kwasababu yeye ndiyo dereva anatakiwa kuwa na uhakika wa safari yenu na ramani ya huko mnakoelekea...
Juzi baadhi ya wanahari walipata fursa ya kuhojiana mstaafu Kikwete wakati wa birthday yake. Kama ilivyo kawaida ya waandishi wetu walishindwa kumuuliza maswali magumu. Maswali mengi yalikuwa ya kiudaku.
Angeombwa atoe maoni yake juu ya tuhuma za wizi wa kura katika chaguzi mbalimbali. Bila...
Wapendwa
Kuna dogo amemaliza Degree ya Ualimu ( Arts- Kiswahili & History)
Kama kuna mtu anaweza kumuunganishia kazi; karibu Inbox tuyajenge
Mwenyewe Yupo Dar ila anaweza kwenda mikoani kulingana na offer
Bwana Yesu Asifiwe!
Habari za wakati Huu Watu Wa Mungu Kwa Jukwaa Hili!!
Tumefungua Tawi Jipya Kimara Stop Over, Tunahitaji Vijana Kumi na Tano (15), Wanaoweza Kufanya Kazi Ya Masoko na Mauzo, Waliopo Dar Es Salaam Tu.
Awe tayari Kuhudhuria Mafunzo Kwa Siku 30 Ili Kujifunza Kuijua Kazi...
Baada ya dogo mmoja mwenye GPA ya 4.7 (Nursing & Midwifery)na Experience ya mwaka kuomba kazi zilizizotangazwa Muhimbili na nafasi nyingine MOI na kujibiwa kuwa amekosa Muhimbili kwa kuwa barua yake haikuwa na picha huku kwenye tangazo alilo soma hakuona hayo maelekezo ya kuweka picha, Pamoja...
Naibu Spika, Mussa Hazzan Zungu amewataka Watanzania waungane na Serikali kwa kulipa kodi na kuacha tabia ya kutoomba risiti wanaponunua mahitaji.
Zungu alisema hayo juzi ofisini kwake bungeni alipofanya mahojiano maalumu na gazeti hili kuhusu umuhimu wa kodi na vyanzo vyake.
“Wananchi...
Kama mjuavyo, kutokana na namna ya uchaguzi mkuu ulivyofanyika hapa nchini mwaka 2020, hakuna Mbunge yeyote wa upinzani aliyechaguliwa, isipokuwa wawili tu ambao ni yule mama wa Chadema, aliyechaguliwa kutoka mkoani Rukwa na Mbunge mwingine wa upinzani kwa tiketi ya CUF toka mkoani Mtwara.
Kwa...
Hembu tuone mm naona atapotea.
Huyu fundi Kwa Umri wake angesalia united na ujio wa mafundi wengine pale OT si haba angefanya jambo.
Watu kama casemiro, Antony, malacia anavyopambana dhahiri uwepo wa Erickson lazima Pogba angeonesha fundi pale kwenye namba nane
Tasnia ya michezo ya bahati nasibu inakua kwa Kasi ya ajabu kutokana na kuongezeka kwa watumiaji wengi wa intaneti, na kukua kwa miamala ya kifedha.
Kwa miaka ya hivi karibuni Tanzania imezidi kuwa Soko pendwa katika biashara hii inayotajwa kushika nafasi za juu kuwa na mkwanja mrefu.
Je...
Nimetoka sebuleni na kuja kwa kitanda kujipumzisha, sasa nikawaza hivi inakuaje mji kama Dar es salaam usikalike eti kwa ajili ya panya rodi?
Ndipo mke wangu akamkumbuka Paul Makonda na kunikumbusha laiti angekuwepo madarakani hawa mapanya road ingekuwa historia.
Viongozi wengi wa sasa...
Katika dunia ya sasa ya kibepari ni kuwapotezea vijana muda wao maana hiko kinachofundishwa huko JKT hakina applications mtaani.
Vijana wanaenda kuchomeshwa jua miezi au mwaka ila wakirudi mtaani mazingira ya mtaani hayawapi nafasi ya kukiapply walichofundishwa.
Ni lini viongozi wetu watakuwa...
Habari zenu wanajamii,
Mimi ni kijana wa kitanzania, nina miaka 24, mhitimu wa chuo kikuu cha Dar es salaam. Nimesomea shahada ya sanaa katika isimu na fasihi (Bachelor of Arts in linguistics and literature). Mbali na elimu niliyosomea nina ujuzi na computer applications.
Natafuta nafasi ya...
Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) umesema kuwa mila potofu hazina nafasi katika uchumi endelevu.
Akiendesha program kwa wadau mbalimbali waliofika kuchangia jana Dar es Salaam mmoja wa wawezeshaji wa mada Jane Msigita amesema uchumi jumuishi wa kaya baadhi ya wanawake wanaweza kuwa hawajui kile...
UTANGULIZI
Neno Kiongozi limebebwa na neno ‘nafasi’ ambayo inakamilisha uwepo wa icho cheo yaani ‘’KIONGOZI’’
Ni vizuri kuelewa katika maisha tunayoishi leo kuna mwanzo wake vivyo hivyo kuna mwisho wake,kujikumbusha ni swala la muhimu sana hili nafasi zetu tunazopata duniani iwe ni kwenye...
Taarifa iiyotolewa Afisa Elimu wa Mkoa, Benjamin Oganga imeonesha pia kuwa mkoa huo umeshika nafasi ya 5 kitaifa kwa kuwa na wanafunzi wanaohitimu darasa la 7, bila kujua kusoma na kuandika.
Oganga ameongeza kuwa ufatiliaji uliofanywa unaonesha ndani ya miaka mitano, wanafunzi 350,000 katika...
Rais Evariste Ndayishimiye amewafuta kazi Waziri Mkuu Alain Bunyoni na Msaidizi wake Mkuu bila ya kutoa sababu za hatua hiyo baada ya hotuba ya kuonya kuhusu njama ya "mapinduzi" dhidi ya Serikali yake hivi karibuni
Katika kikao cha dharura, Wabunge waliidhinisha Uteuzi wa Waziri wa Usalama...
Habari!
Katika kuhudumia watu (wateja) kama mlinzi ndani ya miaka 6 napenda kuteta na vijana mnaosaka ajira. Ratio ya ajira na wasomi sasa imekuwa tofauti sana.
Sasa kinachomata ni connection na akili. Kuna ofisi watu wana hela mpaka huna wa kumuhonga. Imagine mpaka Mimi mlinzi unanikuta...
1. Utangulizi
J2 Real Estate inahusika na ununuzi na uuzaji wa viwanja, tathmini na urasimishaji wa ardhi. Ofisi zake ziko Goba, DSM
2. Nafasi za kazi
Tunawatangazia watanzania wenye sifa na uzoefu katika kazi za mauzo na masoko wa miradi ya viwanja kuchangamkia nafasi hizi.
Sifa
-Uwezo mzuri...
1. Utangulizi
J2 Real Estate inahusika na uuzaji wa viwanja vya makazi na biashara. Ofisi zake ziko Goba, DSM
2. Nafasi za kazi
Tunawatangazia watanzania wenye sifa na uzoefu wa mauzo na masoko katika miradi ya viwanja na mashamba kuomba nafasi husika.
Sifa
-Uwezo mzuri wa kuongea na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.