Kweli kuna tatizo la ajira, nafasi 2 zagombaniwa na watu 890+, wote wameitwa Dodoma (Chakula, usafiri, kulala juu ya muombaji) F6 Leavers JIFUNZENI

Amina68

JF-Expert Member
Jul 16, 2021
298
545
Kweli kuna tatizo la AJIRA, NAFASI 2 zagombaniwa na watu 890+

Kuna nafasi zilitangazwa kwenye magazeti ya Serikali TSN , aisee...

Ktk nafasi ya accountant II ,wameomba watu 7600, interview wameitwa 900+.

Nafasi zipo mbili ,wazazi tunajambo la kufanya kwa Watoto wetu.
 
Mababu wa zamani wana akili kuliko wazazi wa kisasa.

Elimu sio urithi. Ndio maana haitambuliki kwenye sheria za mirathi kama mtoto amerithi elimu.

Mtoto mpe mali ama mtaji na biashara mapema afanye maisha yake. Kupunguza usumbufu kwa mtoto kama huuu wa kugombea kazi za watu
 
Kweli kuna tatizo la AJIRA, NAFASI 2 zagombaniwa na watu 890+

Kuna nafasi zilitangazwa kwenye magazeti ya Serikali TSN , aisee...

Ktk nafasi ya accountant II ,wameomba watu 7600, interview wameitwa 900+.

Nafasi zipo mbili ,wazazi tunajambo la kufanya kwa Watoto wetu.
Umejuaje kuwa waliomba 7600?
 
Back
Top Bottom