nafasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    JamiiForums Tanzania Eneo lililo wazi pembezoni mwa Barabara ya Morogoro linaweza kufanyiwa biashara na likazalisha pesa nyingi kwa serikali

    Je, Waziri wa fedha anahangaika kutafuta kodi wakati eneo hilo la pembezoni mwa barabara ya Morogoro lililo wazi linaweza kufanyiwa biashara na likazalisha pesa nyingi sana kwa serikali? Kwani huyu Daktari wa uchumi hawezi kushauriana na Waziri wa Ujenzi wakawatumia wataalamu wa Mipango miji na...
  2. JamiiForums Tanzania Mbowe amedhihirisha kuwa ukipewa nafasi ya kusema na ukasema sana utakosea

    Katika mchakato wa maridhiano baina ya CCM na CHADEMA Mbowe ameonekana kujipa nafasi ya usemaji, ameitumia, ameitumia sana, ameitumia sana kiasi cha kuanza kukokesea. Mfano mzuri ni pale alipofikia kuumuelekeza RJMT aondoe kesi ya Mdee na wenzake vs CHADEMA mahakamani. RJMT anawezaje kuondoa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hasara ipi ningepata nisingekuwa Mtanzania?

    Nimekuwa najiuliza ni hasara ipi ningeweza kupata nisingekuwa Mtanzania au ni faida gani special ambazo napata kuwa Mtanzania. Nikitazama maisha ya nchi nilizowahi kupita naona zina fursa zaidi ya Tanzania kwa utafutaji mfano Malawi, Zambia, Botswana, South Africa, huku biashara zinalipa kuliko...
  4. JamiiForums Tanzania DOKEZO Kuhusu Mgombea wa nafasi ya Uweka Hazina Taifa Chama cha Walimu Tanzania Protas Magesa

    Ndugu walimu na wanajamii kwa ujumla wa Taifa hili Tukufu, nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Naomba nianze kuweka bayana taarifa ambazo huenda hamzifahamu kuhusu Mgombea wa nafasi tajwa hapo juu Mwalimu Protas Magesa. Huyu ni mwalimu mwakilishi kwenye Kamati ya Utendaji...
  5. JamiiForums Tanzania Rushwa yavuruga Uchaguzi wa Mwenyekiti mpya TLP

    Uchaguzi wa kuziba nafasi ya aliyekuwa mwenyekiti wa chama hicho, marehemu Augustine Mrema, umeshindwa kufanyika leo Machi 6, 2023 kwa kile kinachodaiwa kuwepo kwa viashiria vya rushwa, maelewano mabaya baina ya wagombea. Machi 5 Halmashauri Kuu ya TLP ilipitisha majina ya wagombea watano...
  6. JamiiForums Tanzania Simba tutamaliza Nafasi ya pili kundi C

    March 7, tunachukua point 3 Vs Vipers pale kwa mkapa. Tutafikisha point 6. Hiyo siku kama Horoya watajitahidi sana, watavuna point 1 Vs Raja. Watafikisha point 5. March 17, Horoya kwa mkapa hatoki. Tunavuna kwake point 3. Tutakuwa na jumla ya point 9. March 23 najua tutapoteza kwa Raja, ila...
  7. JamiiForums Tanzania Tujiulize uchawi, ramli na mazindiko vina nafasi gani kwenye siass za Tanzania? Je wasomi hawaamini taaluma zao?

    Amani iwe kwenu wachambuzi jadidifu. Ninaleta hoja kwenu ili tuelimishane ikibidi tukosoane ama kuwajibishana Wanasiasa wengi kama siyo wote, wamekuwa wakionesha matendo yao fulani fulani kwa kificho au kwa uwazi kabisa. Wamejenga mazoea ya kutumia watu wanaoitwa waganga wa kienyejj ili...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Pamoja na tozo lakini Samia anastahili sifa kutupa nafasi tulale usingizi mtamu

    Hofu Imetoweka Wakati huu hata nikisikia kelele nje ya nyumba/geti najua kabisa hawa ni vibaka au wanga wapo kwenye mbishe zao, na ninao uwezo wa kufungua mlango na kutoka nje kuangaza macho kulikoni. Enzi za Bwana yule, kwa sababu ya watu ninaohusiana nao kijamii na kikazi nilikuwa na hofu...
  9. JamiiForums Tanzania Yanga atapita hatua ya makundi, Simba atashika nafasi ya mwisho kwenye kundi lake

    Day 3. Vipers anamkaribisha simba na raja anamkaribisha horoya ambapo wenyeji wote watashinda. Day 4: Simba anamkaribisha vipers game itaisha sare, horoya anamkaribisha raja na mgeni atashinda. Day 5: simba anamfata raja mwenyeji atashinda na vipers anamfata horoya game itaisha sare. Day 6...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Makamu wa Rais wa CWT yaondolewa baada ya uteuzi wa kuwa DC

    14 February 2023 Dodoma, Tanzania Makamu wa Rais Chama cha Walimu Tanzania CWT aondoa kesi yake ya Kupinga kungolewa Mbele ya jaji wa Mahakama Kuu mheshimiwa jaji Mdemu, pingamiza aliloweka makamu wa rais CWT bi . Dinah Mathamani kupinga kuvuliwa cheo na mkutano mkuu wa CWT kesi imeondolewa...
  11. JamiiForums Tanzania Wanaume kuigiza nafasi za wanawake, sio promotion ya mambo yale yasiyofaa?

    Ukiangalia 'origial comedy', Joti, Triple Funny, Steve Mweusi, kitimtim, na wengine wanaume kucheza character za wanawake kama Kiboga, sio promotion ya mapenzi ya 'kisasa' ya Ulaya na Marekani ambayo ni kinyume na mila, desturi, na tamaduni zetu? Kama wizara ya elimu ilivyopiga marufuku vile...
  12. JamiiForums Tanzania Hatimaye Arsenal yashuka mpaka nafasi ya pili msimamo EPL

    Baada ya kipindi kireeeefuuuuu cha kukalia usukani hatimae Arsenal wameshushwa leo na Man City. Je, ndio basi tena au watarudi?
  13. JamiiForums Tanzania Nafasi nyingi za ajira zilizotangazwa leo ni wewe tu kutuma maombi yako

    Wanahitajika Laboratory Managers, Laboratory Supervisors, Chemists, Laboratory Technicians na Laboratory Assistants kwenye Mgodi wa Dhahabu. Andaa CV yako, barua ya maombi na vyeti vyako kwaajili ya kutuma maombi: Mengineyo Bright and Genius Editors tunawapenda Tumewaletea huduma ya...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi migodini pdf

    nafasi za kazi pdf nmewatumieni
  15. JamiiForums Tanzania NAFASI YA KAZI

    NAFASI YA KAZI Habari, mtu yoyote ambaye amesomea au anajua masuala ya kudispense madawa (Duka la Dawa) aje inbox ASAP. Duka lipo Ubungo Kibangu. Conditions 1. Awe wa kike na Awepo Dar es salaam ( preferably Ubungo) 2. Salary - 120,000/= kwa mwezi. 3. Conditions nyengine zitakuwa discussed...
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi ya udereva kwa watu wawili waliopo Kenya

    Habari wana ndugu, natumaini mpo salama kabisa na Bwana anazidi kuwabariki katika shughuli zenu za maisha ya kila siku. Kuna ndugu yangu ana magari mawili, moja ni Hiace na nyingine ni Tata (coaster) na anatafuta madereva wawili wa kuendesha hayo magari na yanapatikana Nairobi yote Kuna nafasi...
  17. JamiiForums Tanzania Issue isiwe fedha tu, walioathirika kutokana na saga hili nini nafasi yao?

    Ni mshtuko mkubwa kwa Taifa baada ya Rais mteule SSH kutoa taarifa juu ya fedha za operation plea bargain kutojulikana ziliwekwa kwenye akaunti gani. Urais ni taasisi,aliyeitumia sheria kuamuru itumike hayupo duniani,wasaidizi wake ndani ya taasisi ya urais wapo, maanake tuipe muda tume...
  18. JamiiForums Tanzania Kwanini ni vigumu kupata nafasi ya kazi migodini kama hauna connection?

    Habari wanandugu, Mimi ni graduate geologist kwa kipindi cha mwaka mmoja nimejaribu kuomba kazi kwenye migodi mbali mabali kakini nimeshindwa kabisa kuitwa hata sehenu moja Nawaza huenda sina connection labda ndo maana
  19. JamiiForums Tanzania Nitumie nafasi hii kulipongeza Baraza la mitihani Necta

    Habari wakuu! Nimeona majadiliano mengi kuhusiana na maamuzi ya necta kutofanya Ranking!! Mm kwa utafiti wangu nitumie nafasi hii kuwapongeza necta kwa maamuzi haya! Kimsingi hayawezi kuwafurahisha wengine kwa sababu ni biashara zao! Hizi ni sababu ambazo zinanifanya niwapongeze necta kwa...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Naibu Katibu Mtendaji NECTA aondolewe mara moja kwenye nafasi hiyo

    Jana matokeo ya CSEE na QT yalitangazwa. Lakini hayakuwa na ranking wala hata kuonesha halmashauri inakopatikana shule husika. 1. Kufanya ranking ni mhimu Kama recognition kwa shule na mwanafunzi binafsi. Hii pia ni motivation. 2. Mtihani wa NECTA ni standard, kwa maana kwamba hatua zote...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…