nabii

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania tumeletewa Nabii Lovy tutoke nje ya reli

    Watamzani tunapotezwa kirahisi Sana. Tumeletewa Prophet kutoka sijui wapi huko na tumeanza kuaminishana ni mtamzania! Alikua mwanamuziki ila kakutana na Yesu (Yesu ni uongo), kajaza uanja na watu wametolewa mapepo!?!?! Kuna kipi kipya!?! Watanzania ni wajinga sana. Tumesahau kuhusu Vice...
  2. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Manabii wanapingwa sana ila alichokifanya nabii Clear Malisa ni kitendo cha kishujaa.

    Napenda sana kufuatilia habari za kiroho hususani misimbo ya kinabii "prophetic codes". Kuna mengi tumejifunza kuwa ni magumu ila kupitia misimbo mambo huwa bayana. Bila kuzungusha sana maelezo kilichofanyika usiku wa tarehe 8/12/2023 kwa jina "usiku wa maajabu" ni tukio la kuondoa mazoea na...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Wanawake Hawa kujichora tattoo ya Nabii Geo Davie, ni mahaba au kutafuta fursa?

    Hapo chini ni mgongo wa mwanamke kwa Jina la Elizabeth Benjamin aliyejichora tattoo ya Jina la Geo Davie, na kupelekea Ndoa yake kuvunjika. Lakini alipofika kanisani kwa Nabii Huyo aliweza kuvuta mkwanja kama hongera kwa kujichora tattoo hiyo. Na Sasa msanii Amber Rutty Naye amefuata kwa...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa kuhusu Nabii Dkt Elia Mahela

    Wakuu habari za Wikiend? Nipo Mkoani Kigoma sasa kwa muda wa zaidi ya Miezi minne, mimi ni mfuatiliaji sana wa Vipindi vya maombi au mahubiri radion au kwenye Runinga. Hivi karibuni wakati nasikiliza radio moja hivi sijui inaitwaje(ila nafikiri ni radio yake) ila Nilimsikia mtumishi mmoja...
  5. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Nabii Clear Malisa ana mpango wa kuinunua Ubungo Kibangu yote, kuivunja na kujenga mji wake wa kisasa.

    Nabii kijana Clear Malisa amedhamiria kuinunua Ubungo Kibangu yote akianzia Riverside hadi kwenye mpaka wa kambi ya Jeshi la Wananchi. Tayari ameahidiwa fungu kubwa la pesa na Baba wake wa Kiroho aliyeko Marekani. Pia michango inawndelea kuchangwa na kupokelewa hapo kanisani kwake Kingdom...
  6. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mambo makubwa ambayo wengi hawayajui kumhusu Nabii Ibrahim

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Licha ya Umashuhuri wa jina lake, ambao mpaka leo hakuna mzee wa nyakati zake ambaye anamfikia kwa umaarufu na umashuhuri. Umashuhuri wa jina lake umebebwa na Ufuasi wa kufa kuzikana, machozi, jasho na damu kwa waumini wa dini zenye Chimbo lake ambazo ni...
  7. Joannah

    JamiiForums Tanzania Nabii kiboko ya wachawi, naona anafanya maigizo

    Samahani nabii Kiboko ya uchawi, mbona nakusikiliza hapa hii kama futuhi? Aiseee huu ni mchezo wa kuigiza kabisaaa. Eti bibi katoka kijijini amefikia Kwa mwanae, Kuna watoto watatu wamefariki, wawili walishazikwa na Sasa Kuna msiba wa mtoto mwingine,baada ya kumpigia simu nabii ndio anasema...
  8. Jemima Mrembo

    JamiiForums Tanzania Nabii Shepherd Bushiri ametoka mbali aisee. Hamna utajiri unàtokana na kuembewa, ila utatajirika kwa kuvitumia vyema vipaji vyako na ufala wa watu.

    Huyu jamaa hajatajirika kwa kuombewa, amesota hadi akajua kutabiri. Aktafuta ka angle ambako ana ku screen hadi bibi na babu yako shamba huko, akaanza kutengeneza mpunga. Kamwe huwezi kutajirika kwa kuombewa, ila kwa kutumia karama na vipaji ulivyopewa na Mwenyezi Mungu.
  9. U

    JamiiForums Tanzania Je, madai ya Nabii Hellen White kuoneshwa saa na siku ya kurudi Yesu yana ukweli wowote

    Wdau hamjamboni nyote? Nimeweka nukuu ya Nabii Mke wa Waadventista Wasabato Hellen G White akidai kuambiwa saa na siku ya kurudi kwa Yesu Kristo katika njozi "As God has shown me in holy vision ... we heard the voice of God like many waters, which gave us the day and hour of Jesus' coming"...
  10. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Tuwe makini na manabii/mitume wanaotaka fedha wakuombee

    Shalom, Kumezuka watumishi wa Mungu wanaotumia vibaya redio zetu badala ya kutoa neno la Mungu na kufanya maombi sasa kama utaahitaji maombi wanakulazimisha njoo ofisini aka kanssan asubuhi mapema tukuombee. Style wanayotumia ni hii Wanapokamata redio wanaanza andika msg, kwenda namba. Hizi...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kwa mtaji wa kuwa na Lema nadhani CHADEMA itapendeza kuwa taasisi ya kidini (kikristo)

    Kwenye maisha ukilazimisha fani ambayo sio yako lazima upate tabu sana. Ni wachache sana waliowahi kulazimisha na wakatoboa. Kwa mfano kuna mtindo wa kijana akiwa kazaliwa mrefu basi inaaminika anafaa kuwa basketballer kumbe labda kijana kipaji chake ni kingine. Mara nyingi wanamichezo...
  12. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Maisha yamekupiga? Jiite Mtume, Kuhani au Nabii ndani ya miaka 3 una gari lako

    Binafsi nilikuwa miongoni mwa watu ambao ukiwasema vibaya hao niliowataja juu naona kabisa kuwa unakwenda kulaaniwa na hutasamehewa. Yaani niliona ni heri uue unaweza kusamehewa lakini si kuwasema hao wanaoitwa watumishi wa Mungu. Sasa niko huru, naweza kujadili na kumsema au kumkemea mpuuzi au...
  13. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Sababu za kupigwa Marufuku nchini Tanzania Mkutano wa Nabii ezekiel Ezekiel Odero toka Mombasa zatajwa .

    Mchungaji Maarufu wa kanisa la Newlife nchini Kenya, Ezekiel Odero aliyekuwa afanye mkutano mkubwa wa Injili Jijini Arusha, amezuiwa na polisi kuendelea na mkutano huo,huku sababu zikitajwa kuwa ni kupisha mlipuko wa Ugonjwa wa kuhara. "Sitisha mkutano wako na usifanye shughuli hiyo Hadi tamko...
  14. TODAYS

    JamiiForums Tanzania SINEMA: Hili tukio lilikuwa na maana gani, hapo kwa Nabii Geo Dave?

    📍Kisongo - Arusha. Jamaa ana kaulu yake flani hivi anakwambia faidi vinono vya duniani kwanza kabla hujaiona mbingu. Hapo kwenye kipande cha sinema kuna mabinti itakuwa warembo hao, wanapita mbele ya kadamnasi wakinesa kama kwenye majukwaa ya mamiss. Yule mwamba kakaa mbele mwenyewe anapita...
  15. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Kama Akpan wa Coastal alitua simba, George Mpole kutotakiwa na Vilabu vikubwa nchini kweli Ni vigumu nabii kukubalika kwao

    Licha ya kuwa mfungaji Bora Tena kutokea timu ya kawaida kwenye ligi ngumu namba 5 Africa. George Mpole hakuonekana kuwa Lulu Tanzania. Sio Azam, Yanga Wala Simba zilizoonesha Nia ya kumfukuzia. Licha ya kupata namba Taifa stars na kutulia mabao muhimu. Sijaelewa tatizo lipo wapi? Leo mfungaji...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Nchi hii ushindwe tu Mwenyewe kutafuta chimbo la hela. Jiite tu Nabii

    Hapo ni Stand ya daladala Mbezi Louis kwenye foleni ya kusubiria Mwendokasi ya Kariakoo, huyu mwamba kila siku anawahi na spika yake na mic anapiga neno kisha anatembeza bakuli lake la sadaka. Tatizo hapo jirani kuna foleni nyingine ya mwendokasi ya kwenda Kivukoni ambapo napo kuna Mtaalam...
  17. My Honest Book

    JamiiForums Tanzania Nyie wa Dar hampo Leaders mpokee miamala ya miujiza ya huyu Nabii?

    Kwenye harakati za kutumia remote control huku na huku nikaifikia channel ya Clouds nikakutana na tamasha huyu nabii huko viwanja vya leaders Club Dar. Watu wanapokea miamala ya miujiza kwenye simu zao mmoja apa kapokea 43,000/= mmoja ndo kanikata asee yeye kapokea dola 200M etc Anachosema...
  18. Wimbo

    JamiiForums Tanzania Je, lazima Nabii awe Mtakatifu?

    Mungu anaweza kutumia chochote kuleta ujumbe, Vitabu vinatuambia Mungu alitumia hata punda kunena pale mwanadamu aliposhupaza shingo asisikie kile Mungu alitaka wasikie. Utoto, ujana, muchknow, za Makonda vilimfelisha lakini nauona uongozi ndani yake kuliko hata vijana wengi ambao Mama wa...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Sakata la Bandari: Hayati Magufuli apewe maua yake

    Mnyonge mnyongeni haki yake apewe. "Pamoja na ubinadamu wako nabii jiwe upumzike kwa amani."
  20. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Msijifanye hamjaiona video hii ya Nabii Tito

Back
Top Bottom