nabii

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Nabii Luthu pita huku ( Dulla Makabila Remix )

    Mpaka kesho bado sijamuelewa Nabii Luthu. Eti binti ZAKE walimlewesha KISHA akawaingilia bila kujua? Inawezekana kweli hiyo? Evidence says no. Tendo la ndoa limekaa kisayansi zaidi. Kisayansi haiwezekani KABISA kwa mwanaume kulewa kiasi cha kuto jitambua halafu at the same time mwanaume...
  2. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Mambo ya kuzingatia unapotaka kuwa nabii wa kizazi kipya

    Ninaposema nabii wa kizazi kipya namaanisha nabii ambaye amekuja kwa lengo lake mwenyewe, yaani hajatumwa. Sasa nini unatakiwa uwe navyo ili usichokwe haraka? 1. Sauti ngumu. 2. Kuwa mbunifu wa kutafuta majina mazuri ya ibada. Kila wiki unaleta jina jipya, mara ibada ya ukombozi, ibada ya...
  3. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Nampongeza Nabii Geordavie kwa kazi yake iliyotukuka

    Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, Kipekee kabisa Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu. Una moyo wa kipekee sana, sina shaka ndiomana una marafiki wa dini zote hapa nchini na ulimwenguni, nafuatilia matukio yako na kazi zako zote za utumishi na wema wako kwa watu mbalimbali. Nimewiwa kukupa...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Mwenye historia ya Nabii Mwamposa kabla ya kuanza huduma yake

    JF, Kwa heshima na taadhima ningependa kujua Nabii Mwamposa amefikaje fikaje hapo alipo na namna Mungu anavyoendelea kumtumia. Nadhani ni muhimu watumishi Hawa wawe wanatuwekea historia zao ili kuweka mazingira halisi ya mahusiano yao na Mungu wetu kabla ya kufikia hatua hiyo...wengine utakuta...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Dar: Mashehe washauri wanaomkashfu mitandaoni ‘Nabii Mkuu’, Dkt. Geor Davie wa Gurumo ya Upako, kumfata Arusha kwa nauli yao

    Mamia ya masheikh wamelaani watu wote wanamkashfu Nabii Mkuu Mheshimiwa Dr. Geor Davie wa Ngurumo ya Upako. Mashehe hao wanasema Nabii mkuu ni nabii wa kweli, nabii anaewapenda watu wote na anaewajali watu wote. Mashehe hao wameitaja JamiiForums kuwa watu wanamtungia uzushi Nabii kwa kumuandika...
  6. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Sakata la Nabii Geor Davie, JamiiForums yatajwa

  7. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Mwamposa asingekuwa nabii wa Mungu, angeporomoka kabisa baada ya watu 20 kuuawa kwa kukanyagwa kanisani kwake

    Hata Yesu walimwita muongo, kwanza muujiza wa kwanza tu Yesu anabadili maji kuwa wine, dahdahdeki. Yesu alikuwa anajichanganya na machangudoa, wezi, wakwepa kodi na watu wa aina zote. Mwamposa angekuwa ni nabii feki, leo angekuwa amesha sambaratika kimoja. Akifa mtu mmoja tu ni Big issue...
  8. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Nabii kutoka Nigeria ashinda mkanda baada ya kumpiga shetani

    Nabii Odumeje wa Nigeria akionyesha mkanda alioupata baada ya kushinda pambano la Kimataifa la Vita ya Kiroho. Nabii Odumeje anasema alienda kuzimu akiwa peke yake na akapigana na shetani wakiwa kwenye ulingo uliokuwa umefungwa pande zote. Hakika ukijidhania umemaliza kuyajua yote, wewe...
  9. Shemasi Jimmy

    JamiiForums Tanzania Kisa cha Nabii Mzee na Nabii Kijana jinsi kinavyoweza kuimarisha Imani yako

    KISA CHA NABII MZEE NA NABII KIJANA JINSI KINAVYOWEZA KUIMARISHA IMANI YAKO Na Shemasi Jimmy 0659611 252 Awali ya yote nawasalimu kwa Jina kuu kupita majina yote; Bwana Yesu apewe sifa. Ungana nami shemasi wako katika simulizi hii nzuri inayopatikana katika kitabu cha 1fal 13:1-34, huku...
  10. 4

    JamiiForums Tanzania Nabii Mkuu, Geor Davie wa Arusha tafadhali Sana mtumishi

    Wanajf , kila siku namtanguliza Mungu , na nikawaida kuwaombea KWA kile kidogo Mungu amenipa, Naomba mwenye no ya mtumishi tajwa hapo juu ani inbox tafadhali kazi yangu itakua wasiliana naye pale atanipa kibali , Natanguliza shukrani wakuu
  11. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Putin ni shahidi, Mtume na Nabii wa Zama zetu. Namuunga Mkono

    PUTIN NI SHAHIDI, MTUME NA NABII WA ZAMA ZETU. NAMUUNGA MKONO. Na, Robert Heriel Shahidi. Tunaojua Dunia ilipotoka, ilipo na wapi inaenda, tutabaki kuwa Wafuasi watiifu wa falsafa za Ki-putin. Putin ni mtakatifu, Shahidi na shujaa ambaye anaitumia nafasi na Cheo chake vizuri kutekeleza utume...
  12. Zingzingzing

    JamiiForums Tanzania Songea: Umati mkubwa sana (haujawahi tokea) katika mkutano wa MWAMPOSA , huyu ni nabii haswa

    Siku 3 za nabii mwamposa songea mjini, leo uwanja wa shule ya msingi matarawe umejaa kupita kiasi katika ujio wa baba mwamposa, tunaanza kumuelewa huyu mtumishi wa mungu.
  13. waziri2020

    JamiiForums Tanzania Nabii Mkuu Dkt Geordavie amzawadia gari la kifahari BMW X5 msanii Mkaliwenu

    Katika hali isiyo ya kawaida mchekeshaji aliyejizolea umaarufu mitandaoni Jackson Sakwile maarufu kama “Mkaliwenu “ametunikiwa gari la kifahari aina ya BMW X5 na Nabii maarufu nchini Dk GeorDavie baada ya kukunwa na mashairi ya nyimbo aliyoitunga kwa ajili yake. Tukio hilo lilitokea hivi...
  14. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Nabii Suguye akamatwe na ahojiwe Kwa kielelezo hiki!

    Naombeni polisi msilifumbie macho jambo hili linazidi kuota mizizi na hatari Kwa nchi na vizazi vijavyo, Suguye anatangaza watu wapeleke kucha. Nywele za karibu na sikio la kulia kucha za vidole huo ni zaidi ya uchawi na nisawa na kuhitaji viungo vya binadamu Kwa ajili ya maombi, nywele na...
  15. waziri2020

    JamiiForums Tanzania Nabii Mkuu Dkt. Geordavie kuwashika mkono wafanyabiashara zaidi ya 5000 soko la Samunge, Arusha

    . Zaidi ya wafanyabiashara 5,000 wanaofanya biashara katika soko la Samunge jijini Arusha wanataraji kupatiwa mitaji ya kuendesha biashara zao na mhubiri maarufu nchini Nabii Mkuu Dkt GeorDavie. Mbali na kupatiwa mitaji hiyo pia mhubiri huyo anataraji kutoa msaada wa kukarabati miundombinu ya...
  16. Reptilia

    JamiiForums Tanzania Nani yupo nyuma ya Nabii tito?

    Nikiwa mitaa ya hapa mjini kati karibu na stendi kubwa halimashauri ya mji kahama mara namuona mtu aliyebeba mabango akipita mbele yangu huku akiwa mengine ameyakilia nilivomtazama zaidi niligundua ni nabii tito ,hivi huyu mtu ajapona tu au kuna watu wapo nyuma yake. Pia amewezaje kufika huku...
  17. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Geordavie au nabii mkuu ukimsifia tu akakusikia unaruka na milioni 3. Upepo umehamia Kisongo

    Aisee huyu dingi nisaidieni namba ya huyu nabii mkuu !! Nasikia upepo umehamia Kisongo, anagawa pesa anagawa na magari Nampataje huyu ?
  18. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Wakati Yanga na Simba na timu nyingine za ligi kuu zinapishana kwa waganga, Polisi Tanzania wajisalimisha kwa nabii

    Timu ya Polisi Tanzania imechukua uelekeo tofauti baada ya kuamua kuachana na kuwategemea waganga na wachawi ili kupata matokeo mazuri na badala yake wameamuamu kumfuata nabii Clear Malisa. Hiyo ndiyo habari iliyopo, soon mtaona mabango ya picja za Clear Malisa kwenye basi la timu ya Polisi...
  19. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Nabii Clear Malisa ni nani?

    Nasikia jamaa ana nguvu sana ya Mungu, naomba mwenye kumfahamu vyema atufahamishe habari zake, maana Dar sasa ni Jiji la kinabii. Nasikia anapatikana Mabibo Jeshini
  20. Kiokotee

    JamiiForums Tanzania Nabii gani huyu wa Mchongo?

    Dah! Kumbe kuna Na Hili,Kama Huna Bora ubaki Home...Jesus where are U?
Back
Top Bottom