Kwa mtaji wa kuwa na Lema nadhani CHADEMA itapendeza kuwa taasisi ya kidini (kikristo)

Matongee

JF-Expert Member
Jun 17, 2023
253
629
Kwenye maisha ukilazimisha fani ambayo sio yako lazima upate tabu sana. Ni wachache sana waliowahi kulazimisha na wakatoboa. Kwa mfano kuna mtindo wa kijana akiwa kazaliwa mrefu basi inaaminika anafaa kuwa basketballer kumbe labda kijana kipaji chake ni kingine.

Mara nyingi wanamichezo wanaolazimisha huishia kupata injuries. Au utakuta kisa baba alikuwa mwanasoka mzuri basi tunajiaminisha watoto watakuwa wanasoka. Haiendi hivyo.

Kwa siku za hivi karibuni chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kimekuwa kikilaumiwa kwa kuendekeza udini (christianity) kwenye shughuli zake na kuzidi kupoteza mvuto machoni mwa wapiga kura. Hii ni kashfa mbaya.

Baada ya kutafakari na kina nimegundua CHADEMA wanalazimisha siasa ila wito wao upo kwenye mambo ya injili. Ndani ya kamati kuu ya chama chao wana mtu ambaye wanachama wengi wamekuwa wakimnadi kama Nabii Lema.

Yes ni Godbless Lema ambaye alipoteza ubunge kwa aibu mwaka 2020 huko Arusha. Pia chama kimekuwa karibu sana na viongozi wa dini hasa Askofu Mwamakula na Bagonza. Nadhani kwasababu tayari chama kina Nabii wake wangebadili gia angani na kuifanya CHADEMA iwe taasisi ya kidini kwa sababu wana-fit zaidi eneo hilo.

Hii itawaondolea aibu wanazokutana nazo kila siku na itawaepusha na aibu kuu inayowasubiri kwenye sanduku la kura mwaka 2025. Na kama watafanyia kazi haya maoni yangu wataimarika sana kwenye huu upande wao mpya. Ila chondechonde kwenye ile nafasi ya mhasibu msije mkavurugana kwasababu wachaga kwenye hela ni balaa.
 
Acha unaa mwana🍀.Umesahau ahadi yenu feki Kuwa fitina kwenu mwiko🤔
 
Upuuzi na upumbavu wa udini imetokea wapi 🤔🤔 nyie mnao zungumzia haya mambo ndio wadini na mnapaswa kukemewa kwa nguvu zote, hovyo kabisa 🚶🚶
 
Kamuulize Nabii Lema na Askofu Mwamakula
 
Upuuzi na upumbavu wa udini imetokea wapi 🤔🤔 nyie mnao zungumzia haya mambo ndio wadini na mnapaswa kukemewa kwa nguvu zote, hovyo kabisa 🚶🚶
CHADEMA siyo CUF kuwa wataiua kwa propaganda za kijinga za udini, CHADEMA walimpinga Magufuli na ni mkristo.
 
Kwenye maisha ukilazimisha fani ambayo sio yako lazima upate tabu sana. Ni wachache sana waliowahi kulazimisha na wakatoboa. Kwa mfano kuna mtindo wa kijana akiwa kazaliwa mrefu basi inaaminika anafaa kuwa basketballer kumbe labda kijana kipaji chake ni kingine.

Mara nyingi wanamichezo wanaolazimisha huishia kupata injuries. Au utakuta kisa baba alikuwa mwanasoka mzuri basi tunajiaminisha watoto watakuwa wanasoka. Haiendi hivyo.

Kwa siku za hivi karibuni chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kimekuwa kikilaumiwa kwa kuendekeza udini (christianity) kwenye shughuli zake na kuzidi kupoteza mvuto machoni mwa wapiga kura. Hii ni kashfa mbaya.

Baada ya kutafakari na kina nimegundua CHADEMA wanalazimisha siasa ila wito wao upo kwenye mambo ya injili. Ndani ya kamati kuu ya chama chao wana mtu ambaye wanachama wengi wamekuwa wakimnadi kama Nabii Lema.

Yes ni Godbless Lema ambaye alipoteza ubunge kwa aibu mwaka 2020 huko Arusha. Pia chama kimekuwa karibu sana na viongozi wa dini hasa Askofu Mwamakula na Bagonza. Nadhani kwasababu tayari chama kina Nabii wake wangebadili gia angani na kuifanya CHADEMA iwe taasisi ya kidini kwa sababu wana-fit zaidi eneo hilo.

Hii itawaondolea aibu wanazokutana nazo kila siku na itawaepusha na aibu kuu inayowasubiri kwenye sanduku la kura mwaka 2025. Na kama watafanyia kazi haya maoni yangu wataimarika sana kwenye huu upande wao mpya. Ila chondechonde kwenye ile nafasi ya mhasibu msije mkavurugana kwasababu wachaga kwenye hela ni balaa.
CCM mna hazina kubwa sana ya wapumbavu.
 
Back
Top Bottom