ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 1,964
- 3,895
Naulizia tu, Mana sioni kiukweli kabisa, na siongelei views hapa
Ukali unaupima kwa nini? Pili nyimbo ni ya Harmo ft Mondi.Naulizia tu, Mana sioni kiukweli kabisa, na siongelei views hapa
Diamond ni kiki ndio maana haishi kuandamwa,kuna page insta watu wanaishi kwa kumponda Diamond.Mpumzisheni kijana wa watu.
Huu ni wimbo wa Harmonize.Naulizia tu, Mana sioni kiukweli kabisa, na siongelei views hapa
Mhaho unanisumbua.Mbona kama mtoa mada unaonekana unateseka hiv
Hahahahaha. Wewe jamaa unachekesha . Umeulizwa utaje ... Wewe unazungukazunguka. TAJA WIMBO WA DIAMOND MKALI KULIKO KWANGARU. HATA VIEWS NDO WIMBO PEKEE UNAOHUSISHA WABONGO WENYE VIWES WENGI. UTAJE WIMBO WA DIAMOND MKALI KULIKO KWANGARU. NAKUNYA NCHI NZIMA UKIUPATAHv kwangwaru n nzuri kuliko ntampata wapi, ukimuona, ntakukumbuka/I miss you,African beauty, Marry you,Dance ft p squere, number one,shaku ft ten na nyingine nyingii
Humjui diamond ww
Ahaa kumbe ndo ww unaeweweseka na Harmonize, yan unandoto ambazo hata harmonize hana na hatarajii kuzifikia.Hahahahaha. Wewe jamaa unachekesha . Umeulizwa utaje ... Wewe unazungukazunguka. TAJA WIMBO WA DIAMOND MKALI KULIKO KWANGARU. HATA VIEWS NDO WIMBO PEKEE UNAOHUSISHA WABONGO WENYE VIWES WENGI. UTAJE WIMBO WA DIAMOND MKALI KULIKO KWANGARU. NAKUNYA NCHI NZIMA UKIUPATA
Insue upi unauzidi kwangaruHana nyimbo mbaya.
Taja wimbo wa harmo wenye views wengi kushinda aliomshirikisha diamond ili nikuambia ile ni nguvu ya chibu yeye kama yeye ni hoi bin taaban.Hahahahaha. Wewe jamaa unachekesha . Umeulizwa utaje ... Wewe unazungukazunguka. TAJA WIMBO WA DIAMOND MKALI KULIKO KWANGARU. HATA VIEWS NDO WIMBO PEKEE UNAOHUSISHA WABONGO WENYE VIWES WENGI. UTAJE WIMBO WA DIAMOND MKALI KULIKO KWANGARU. NAKUNYA NCHI NZIMA UKIUPATA
Kama umeamua kunya kunya tuu nyimbo bora 2015 kwenye chat za MTV base za mwisho wa mwaka NANA ilishika nafasi ya tano,Game ya Navy Kenzo ikashika nafasi ya nne.Hahahahaha. Wewe jamaa unachekesha . Umeulizwa utaje ... Wewe unazungukazunguka. TAJA WIMBO WA DIAMOND MKALI KULIKO KWANGARU. HATA VIEWS NDO WIMBO PEKEE UNAOHUSISHA WABONGO WENYE VIWES WENGI. UTAJE WIMBO WA DIAMOND MKALI KULIKO KWANGARU. NAKUNYA NCHI NZIMA UKIUPATA