Hivi kati ya Fireboy na Joe Boy nani hatari zaidi kwenye muziki wa Afrika?

xavihernandezalcantara

Senior Member
Nov 17, 2020
124
132
Wakuu kwema? Poleni na majukumu.

Hivi kati ya Fireboy Na Joe Boy nani hatari zaidi kwenye muziki wa Afrika na Nigeria kwa ujumla.

Nani anaflow nzuri zaidi,Lyrics kali,hits n.k.

Fireboy vs Joe Boy

images.jpeg
 
Joe Boy
Fire Boy
Olakira
Laycon
1:SEMAH
Napenda sana kusikiliza nyimbo zake huyo dogo
 
Fireboy yupo moto sana, Sema sijui kwann Joeboy anavuma kwa kasi kumshinda fireboy
.
Kwangu mimi binafsi album ya Fireboy ndo album ambayo ndani ngoma zote ni HITS, This guy is lit
 
Back
Top Bottom