mzee

An honorific is a title that conveys esteem, courtesy, or respect for position or rank when used in addressing or referring to a person. Sometimes, the term "honorific" is used in a more specific sense to refer to an honorary academic title. It is also often conflated with systems of honorific speech in linguistics, which are grammatical or morphological ways of encoding the relative social status of speakers. Honorifics can be used as prefixes or suffixes depending on the appropriate occasion and presentation in accordance with style and customs.
Typically, honorifics are used as a style in the grammatical third person, and as a form of address in the second person. Use in the first person, by the honored dignitary, is uncommon or considered very rude and egotistical. Some languages have anti-honorific (despective or humilific) first person forms (expressions such as "your most humble servant" or "this unworthy person") whose effect is to enhance the relative honor accorded to the person addressed.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    Ali Happi ni kijana asiyejifunza kutokana na makosa. Ilitakiwa ajifunze kipindi kile cha Mzee Kinana, akarudia makosa tena kwa Chongolo

    Nikikumbuka kipindi kile Ali Happi alipowabeza wazee wakae kimya maana muda wao wa kuzungumza umeisha lakini Mungu akampa somo kupitia mzee Kinana baada ya kuukwaa Umakamu Mwenyekiti wa CCM, tukajua Hilo ni somo kubwa sana maishani mwake. Hilo likaisha. Likaja jingine tena la kujiuzulu Kwa...
  2. Its Pancho

    Mzee Kikwete aliona mbali sana

    ... 📸 𝙏𝘽𝙏 2020 "Mmenifurahisha sana hii ndio Yanga yangu ninayoijua tangu zamani, Uwanja umejaa full. Kumbe mkiamua kutokuwa BARIDI mnaweza. Naamini msimu ujao mtatwaa Ubingwa ambao mmeukosa kwa misimu (4)." "Suala la Morrison achaneni nalo. Safari hii nyie mmeibiwa na naamini baada ya muda...
  3. B

    Mahojiano na Mzee Malebo: Safari ya Maisha yake / kukataa kuokoka / Urafiki na Pastor Munishi

    MAHOJIANO NA MALEBO Ma-Label Interview matata sana hii inatupa picha Tanzania ilikuwa nchi ya aina gani, gharama za maisha, na kwa ujumla jamii iliishi vipi kusaka maisha https://m.youtube.com/watch?v=s-8ms_N8IDU Mzee Mabelo jina halisi Ndeanka mwenyeji wa kutoka Kilimanjaro Tanzania...
  4. M

    Mzee Mwinyi ndiye kiongozi pekee aliyewahi kuongoza Tanzania nzima, sio upande mmoja kwa Koti la Muungano

    Katika dunia hii kuna watu wamebarikiwa sana. Na mamlaka hutoka kwa Mwenyezi Mungu. Mwenyezi Mungu akiamua kukupa mamlaka, kipaji, riziki anakupa tu kwa kupenda yeye mwenyewe bila kujali wewe una nini. Mzee Mwinyi hakuwa msomi sana kwa viwango vya kisasa (kuwa na digrii), lakini ni dhahiri kwa...
  5. S

    Yadaiwa mzee Ali Hassan Mwinyi (RIP) hajawahi KUKOPA wala KUKOPESHA. Maana yake hakuwa na tamaa

    Binafsi sijabahatika kukisoma na kukimaliza kitabu kinachoelezea maisha yake kilichoandikwa na mzee huyu mwingi wa ucheshi, uungwana na mbobevu wa lugha tamu ya kiswahili. Lkn kwa waliokisoma chote wanaeleza mengi sana yanayodhihirisha kuwa hakuwa mtu wa tamaa. Mojawapo ya maelezo hayo ni...
  6. 1

    Jinsi Magufuli alivyochafuaga sera ya mambo ya nje na kupaka doa sehem ndogo ya taswira ya mzee MWINYI (kupitia kwa Rais Samia)

    Hayati mzee Mwinyi alitenda mengi mazuri na mema kwa nchi, japo nae kama binadamu anamapungufu yake. Huu ni wakati wa maombolezo lakini kuna jambo lilifanywa na Samia miaka miwili iliyopita kwa kumpatia zawadi mzee Mwinyi ambalo linatia doa haiba ya marehem mzee wetu. Kama sijasahau ilikuwa siku...
  7. Jidu La Mabambasi

    Ucheshi wa mzee Mwinyi: Sukari imeingia sumu

    Tutamkumbuka mzee wetu Ally Hassan Mwinyi kwa kulielezea tatizo kubwa lililoathiri wengi, AIDS au UKIMWI. Katika kuliekezea tatizo hilo, Mzee Mwinyi alitumia lugha rahisi iliyoeleweka kwa kila mtu: SUKARI IMEINGIA SUMU🤣🤣🤣🤣 "Sukari imeingia sumu, hasa pale tunapo ppp...papenda" alisema mzee Mwinyi
  8. Magufuli 05

    Zipo wapi hotuba za mzee Mwinyi akiwa Rais?

    Nimejitahidi kutafuta katika vyanzo mbalimbali sijazipata. Nimesikiliza radio na kuangalia TV mbalimbali katika kipindi hiki cha maombolezo yake lakini pia sijabahatika kuona hotuba yake akiwa Rais. Je hotuba zake zipo wapi? Mbona za wengine zipo?
  9. Mama Edina

    Kwa kweli mzee mwinyi allah akupe tahafif. Ulifanya waalimu kwa upande kwa zanzibar wanakipwa transport allowance

    Ni rais pekee aliyehakikisha mwalimu analipwa stahiki hii ambayo imepuuzwa upande wa bara. Katika kada ambayo itaendelea kuwafanya viongozi wa bara waende na mzigo wa dhambi ni kuidharau kada ya ualimu. Ni kikwete pekee aliyebaki amwambie Mama kizimkazi asifanye kosa la kudharau waalimu...
  10. S

    Abdul Mwinyi: Hayati Mzee Mwinyi hajawahi kuugua maisha yake yote, isipokuwa miaka 2 iliyopita

    Akitoa salaam za familia, mtoto wa mzee Ali Hassan Mwinyi, Abdul Mwinyi amesema baba yao hajawahi kuugua katika kipindi chote cha uhai wake. Kaanza kuugua kwa mara ya kwanza miaka 2 iliyopita. Hakika mzee Mwinyi ni somo zuuri. Mungu amrehemu.
  11. Erythrocyte

    Freeman Mbowe afika Uwanja wa Amani kumuaga Mzee Mwinyi

    Mwenyekiti wa Chadema , Freeman Mbowe amekuwa miongoni mwa Watanzania waliofika Kwenye Uwanja wa Amani , huko Zanzibar kwa ajili ya kushiriki maziko ya Aliyekuwa Rais wa Tanzania awamu ya Pili , Ally Hassan Mwinyi . Mbowe ambaye pia huko Zanzibar anafahamika kama Ustaadh Aboubakar Mbowe ...
  12. P

    Kulikoni? Uwanja wa Amaan Mtupu Kumuga Mzee Mwinyi Zanzibar

    Niko hapa uwanja wa Amaan Zanzibar kwenye shughuli ya kumuaga mpendwa wetu mzee Ali Hassan Mwinyi …inaacha Maswali kwanini majukwaaa ni Matupu hakuna watu kabisa labda kama huko nje kuna watu wataingia kwa maandaamano kama sherehe za mapinduzi , hii inaacha maswali sana ………..Wazanzibar watu wa...
  13. M

    Hivi Michael Jackson alikuja Tanzania na kugoma kushuka uwanja wa ndege na kusalimiana na Mzee Mwinyi kisa Tanzania hewa yake ni chafu?

    Wazee leo imebidi niulize, Maana naona watoto wa miaka ya 90 kama tulikua tunapigwa fiksi mno na wazazi au wakubwa wetu.... Nimekua miaka ya 2000 na hivi nikiamini stori niliyoikuta kuwa mwanzoni mwa miaka ya 1990 sijui 1992 alikujaga bana Wako Jack (MJ) Gwiji Michael Jackson hapa Ti-ziii Eti...
  14. Erythrocyte

    Ujumbe wa Sugu kwenye Msiba wa Mzee Mwinyi huu hapa

    Sugu akizungumza kwenye hafla ya kuuaga mwili wa Mzee Mwinyi kwenye Uwanja wa Uhuru (shamba la Bibi) , kabla ya kupelekwa kwao Zanzibar kwa mazishi , amemmwagia sifa Mwinyi kwamba ndiye aliyesaidia kukomesha vijana kutoswa baharini kwa kuzamia meli walipotaka kwenda Ulaya. Kwamba Baada ya...
  15. 6 Pack

    Suala la mzee Mwinyi kuzikiwa Zanzibar wala lisifanywe la kisiasa, pitieni hapa msome muelewe sababu

    Watanzania tupeane pole kwa msiba huu mzito katika taifa letu. Kuna watu wanashangazwa na hili swala la kuamua kuhamisishia msiba wa mzee Mwinyi Zanzibar, wakidai kuwa mzee huyo alikuwa asha usia kuwa akifariki akazikiwe kwao Mkuranga walipozikiwa na kulazwa wazazi wake na babu zake. Wengi...
  16. Jidu La Mabambasi

    Humility imembeba mzee Mwinyi, alisema yeye ni kichuguu!!

    Kati ya tabia ambazo nitamkumbuka sana mzee Ally Hassan Mwinyi, ni humility, yaani uvumilivu. Moyo wa uvumilivu umembeba sana na kumvusha katika mazingira ya utatanishi. -humility ilimfanya ajiuuzuly uwazi wa mambo ya ndani kulipotokea mtafaruku wa watendaji kuua watu waliotuhumiwa ushirikina...
  17. P

    Kuagwa kwa Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi, Machi 1, 2024

    Fuatilia utoaji wa heshima za mwisho kwa Rais Mstaafu Mwinyi, ambapo ratiba ya maziko yake inaanza leo, nyumbani kwake, ambapo baada ya sala ya sala ya Ijumaa na taratibu kidini kukamilika mwili utapelekwa uwanjwa wa Uhuru kwa Watanzania kuaga na kisha kupelekwa Zanzibar...
  18. DIDAS TUMAINI

    Je, wajua hili kuhusu kumbukumbu ya kifo cha Rais Mwinyi?

    JE WAJUA? Rais mwinyi amefariki 29/02. Hii tarehe mpaka kuja kuipata tena ni hadi miaka minne ijao yaani mwaka 2028, 2032, 2036, 2040, nakuendelea... Kwa maana hiyo kumbukumbu ya kifo chake itakuwa ikiadhimishwa kila baada ya miaka minne. 🙌🙌 R.IP Rais Mwinyi
Back
Top Bottom