mzee

An honorific is a title that conveys esteem, courtesy, or respect for position or rank when used in addressing or referring to a person. Sometimes, the term "honorific" is used in a more specific sense to refer to an honorary academic title. It is also often conflated with systems of honorific speech in linguistics, which are grammatical or morphological ways of encoding the relative social status of speakers. Honorifics can be used as prefixes or suffixes depending on the appropriate occasion and presentation in accordance with style and customs.
Typically, honorifics are used as a style in the grammatical third person, and as a form of address in the second person. Use in the first person, by the honored dignitary, is uncommon or considered very rude and egotistical. Some languages have anti-honorific (despective or humilific) first person forms (expressions such as "your most humble servant" or "this unworthy person") whose effect is to enhance the relative honor accorded to the person addressed.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Hivi ni sahihi mtoto wa kike kumfumania Mzee wake tena kwa yowee kuita watu washuhudie?

    Kuna tukio nimekutana nalo maeneo fulani eti binti kamfumania Baba yake tena anapiga mayowee watu wajae washuhudie akijua anamkomesha baba yake kumtia aibu kingine eti anapambania ndoa ya Mama yake. Nikajiuliza vipi kimaadili hili jambo limekaa sawa kweli? au tuishi kiutandawazi kuitikia mapokeo?
  2. Mjusi Sharobalo

    JamiiForums Tanzania Huyu mzee atakuwa na miaka mingapi hivi sasa?

    Mwamba hazeeki kabisa!
  3. E

    JamiiForums Tanzania Ukimsikiliza huyu mzee unaona kabisa Nchi za Wenzetu watu wako serious na Masilahi ya Nchi zao

    Kweli anaizungumzia Nchi na kuijali kama familia yake , Afrika tuhubiri kwanza Uzalendo tuko nyuma sana . https://youtube.com/shorts/7bpZjoxy2Lg?is=zPTHUjErKG4H9MSd
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ampa Mzee Zahir Zorro Tsh. Milioni 10

    Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma (Mwana FA) amemtembelea na kumjulia hali Mwanamuziki Mkongwe wa muziki wa dansi Zahir Ally Zorro nyumbani kwake Kigamboni Jijini Dar es salaam kwa lengo la kumpa pole kutokana na changamoto za kiafya anazopitia. Katika ziara...
  5. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Mwigulu hana ulinzi kama aliokuwa nao Hayati Magufuli, wala Samia hawezi mpa ulinzi huo! Wahuni sio watu wazuri!

    In Polepole’s voice anasema wahuni sio watu😂🤣 halafu anawataja Rostam Aziz, Kikwete, Karamagi, na wengine wengi. In Polepole’s voice anadai Kuna Mzee wa tax hapo posta Muda mwingi yeye anabeba bahasha za sanduku la posta ila siku hiyo alipewa bahasha ikiwa na Kodi za kumuua Magufuli kwa kuwa...
  6. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Poleni sana mzee wangu pascal mayala.

    Mwandishi Paschal Mayala amepewa masaa 24 kuthibitisha kauli yake aliyoitoa kwenye kipindi cha JAMBO ASUBUHI kinachorushwa na Jambo Television kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Mwigulu Nchemba alichukizwa na kitendo cha waombolezaji waliokuwa kwenye ibada ya mazishi ya...
  7. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa mzee wangu Mangungu Zanzibar njoo na mabaunsa hawa watu hawafai

    Ushauri wangu ni huu🤝🤝🤝🤝🤝🤝👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
  8. Voltaire

    JamiiForums Tanzania Maalum kwa watekaji na wauaji!

    Hii story ya mzee Sironga ni kweli kabisa na inakupa tafsiri halisi ya Karma. Sikiliza,elewa,chukua hatua
  9. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Icc msitumie nguvu kumkamata huyu kiongozi maana ni mzee. Mtumie busara na atii bila shuruti. Yasiwepo makabiliano kama Venezuela

    Naona hata yeye ameshajua kuwa ana wakati mgumu. Juzi amesikiika akiongea kwa unyonge kuwa mimi nitaondoka na watakuja wengine. Hakuna haja ya kutumia nguvu na kumpeleka Icc kama Rodrigo Durtete mumchukue taratibu msije mkatuletea matatizo mengine
  10. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Suala la Msajiri kutengua uwenyekiti wa Lipumba hana hayo mamlaka na umekaa kisiasa kwanini ametengua baada ya kukosoa uchaguzi achunge sana huyo mzee

    Suala la Msajiri kutengua uwenyekiti wa Lipumba hana hayo mamlaka na umekaa kisiasa kwanini ametengua baada ya kukosoa uchaguzi achunge sana huyo mzee. Hakuna mtu mwenye nguvu kuliko umma hakuna mpumbavu ambaye tutamuacha salama kwenye fagio linalokuja msajiri ni mpumbavu anatumika kuhujumu...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Mwekezaji abaomoa nyumba ya Mzee wa miaka 90, familia yalala nje

    Familia ya Mzee wa Mila afahamikae kwa jina la Chacha Wasinyo Changu (90), Mkazi wa Kitongoji cha Mirimisi, kijiji cha Mrito, Wilaya ya Tarime, inalazimika kulala nje kwa siku ya 5 mfululizo baada ya makazi yao kubomolewa. Tukio hilo linadaiwa kufanywa na Samweli Ngocho, Mkazi wa Kijiji cha...
  12. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Serikali ianzishe program ya watu kuchangia kwaajili ya uzee. Iitwe KIZAZI SALAMA FUND (KSF). Ili Kila Mzee wa Tanzania alipwe posho kwa mwezi

    SERIKALI IANZISHE PROGRAM YA WATU KUCHANGIA KWAAJILI YA UZEE. IITWE "KIZAZI SALAMA FUND (KSF)". ILI KILA MZEE WA TANZANIA ALIPWE POSHO KWA MWEZI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli 1. Watu wote nchini ni muhimu. Na wote kwa namna moja ama nyingi wanamchango katika ujenzi wa taifa letu. 2...
  13. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania MSUTI wa katibu mkuu wa MAKAMU wa Rais kama wa Mzee wasira

    Mzee mbona MSUTI ni oversize?
  14. O

    JamiiForums Tanzania Mzee Mbowe anawachezea akili vijana wake wa CHADEMA, mwisho wa siku wataangukia kwenye mtego wake

    Baada ya hotuba yake kwenye mazishi ya Mzee Mtei (RIP), vijana wengi wanaonekana kukoshwa na hotuba hiyo, wengine wakimpongeza kwa hashtags kwenye social media. Wengine wanaona kama ni mwelekeo mzuri wa Mbowe kurudisha heshima iliyotetereka ndani ya chama chake cha CHADEMA kwa siku za hivi...
  15. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Msiba wa mzee Mtei na heshima kubwa ya CHADEMA Tanganyika

    MAMBO 7 YALIYOTAWALA HOTUBA ZA MSIBA WA MZEE MTEI NA DIVERSION STRATEGY YA MWIGULU NCHEMBA Mwl. John Pambalu Msiba wa Mzee Edwin Mtei haukuwa tu tukio la majonzi, bali pia jukwaa la hotuba nzito zilizobeba tafakuri ya kina juu ya historia ya taifa, hali ya siasa za sasa, na mwelekeo wa...
  16. 4

    JamiiForums Tanzania Mmejifunza nini kwa mzee wetu Mtei?

    Wakuu salamu hamna hapa , nawauliza nyie wahuni mmejifunza nini! Mzee Mtei kafariki ila legacy ameacha sio ya kuigwa, pamoja na mapesa yote ila mzee katuacha. Bumbavu CCM
  17. H

    JamiiForums Tanzania Waziri mkuu kumwakilisha Rais Samia katika mazishi ya mzee Edwin Mtei

    WAZIRI MKUU, Mwigulu Nchemba, leo Januari 24, 2026, amewasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA), ambapo anatarajiwa kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika mazishi ya marehemu Mzee Edwin Mtei, yanayofanyika Tengeru...
  18. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Mrisho Gambo aonekana kwenye msiba wa mwasisi wa CHADEMA, Mzee Mtei

    Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Mh. Mrisho Gambo, amewasili kwenye msiba wa marehemu Mzee Edwin Mtei, mmoja wa waasisi wa CHADEMA, huko Arusha. Hii ni mara ya kwanza kwa Gambo kuonekana hadharani baada ya kutoonekana kwa kipindi kirefu Gambo...
  19. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mwili wa Mzee Edwin Mtei kuwasili nyumbani kwake Tengeru jioni ya leo Januari 23, 2026

    Mwili wa Mwasisi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Gavana wa kwanza wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Mzee Edwin Mtei (94), unatarajiwa kuwasili nyumbani kwake Tengeru, nje kidogo ya Jiji la Arusha, leo saa 11:00 jioni. Shughuli za mapokezi ya mwili huo, zitaongozwa na Makamu...
  20. Idugunde

    JamiiForums Tanzania CHADEMA aliyoianzisha mzee Mtei ilikuwa kwa ajili ya kulinda maslahi ya CCM sio kama hii ya sasa chini ya Lissu na Heche.

    Mpaka anaondoka Mbowe ilikuwa ni sehemu ya CCM kudanganya jumuia ya kimataif kuwa kuna upinzani nchini. Ilikuwa ipo kibiashara zaidi ili kunufaisha matumbo ya mabwanyeye waliojipachika jina kuwa wapinzani wakati sio wapinzani. Sasa hovi chini ya Lissu na Heche ndio kimekuwa chama cha upinzani...
Back
Top Bottom