Rais - Zanzibar
Vice P - Bara
Waziri mkuu - Zanzibar
Spika - Bara
Naibu waziri mkuu - Bara
Salim Ahmed Salim alishapata kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na akitokea Zanzibar. Mzanzibari kuwa PM halitakuwa jambo geni
Mambo ya kupiga piga kura nilikuwa nimeshaachana nayo kitambo hivyo yeyote atakayeshinda sawa tu japo vyama pinzani nilikuwa sivipendi balaa.
Kwa sasa nimeamua kupiga kura nafasi ya urais kumpa mpinzani ambaye atakuwa na ushindani ili kura yangu isipotee.
Sipo tayari kuendelea kuongozwa na...
Ni bora akajiuzulu na kuwakabidhi nchi yao ikiwa ipo salama kabla hawajachomana mikuki.
Ni habari za mjini kutokana na hali ya Tanzania inavyoelekea nnavyoona hataki kubeba lawama huenda akaikabidhi Serikali kwa vyombo vya Jeshi hadi uchaguzi kuendesha uchaguzi na kupata Raisi Mpya.
Na kila...
Ugonile,
kwa Tanzania hii ukisikia mtu anaongelea kuhusu Wanaume basi jua automatically ni wanaume wa kanda ya ziwa.
Wanaume wa kanda ya ziwa wana kila sifa za uanaume, watakuja apa kuponda lakini huo ndo ukweli.
Simaanishi kuwa wanaume tokea kanda zingine kama Kaskazini, Pwani au kati sio...
Nimeona clip ya mzanzibari aliyechoka kimawazo akitaka Zanzibar sasa iwe nchi ya kiilamu rasmi na iingie OIC, Nchi za umoja wa Kiislamu.
Jamaa huyu anasema Rais Samia muislamu, Rais Mwinyi mwislamu, waziri mkuu Mwislamu , waziri mambo ya ndani mzanzibari mwislamu, waziri wa mambo ya nje...
Serikali inapaswa kutafakari ni kwa namna gani wanaweka usawa kwenye hili.
Wahitimu kutoka bara wanalalamika sana. Ajira zinazotangazwa bara wanasailiwa hadi wazanzibar, lakini ajira zinazotangazwa Zanzibar, sifa moja wapo kubwa ya kusailiwa ni kuwa mzanzibar.
Mzanzibar anafaida mara 2...
Wakuu naomba kwa yeyote anayejua anisaidie namna ya kuhama kutoka kuwa mtanzania wa Tanzania bara na kuwa mtanzania wa Zanzibar yaani kuwa mzanzibari
Nataka kuwa mzanzibari wa kuhamia ili niwe na haki ya kumiliki ardhi kule na Tanzania bara pia, kugombea uongozi kule na nafasi za Muungano kama...
Historia mwalimu mzuri, baada ya Lissu kushambuliwa kwa risasi, kiongozi mkuu wa kitaifa aliyeenda kumpa pole ni mzanzibari, leo anatembea huku na kule akimtukana.
Tundu Lissu alimkimbia mtanganyika mwenzake akaenda kuishi ubeleji, mzanzibari alimfata mpaka ubeleji, akampa passport ambayo...
Sikuwa najua kuwa Salaa ni ndgu wa GSM family lakini matukio yanatuhqbarisha.
Kitendo cha makonda ku confront na salaa mkeka umemuhusu. Lkn sasa lazima niulize pia je hawa watu wana asili ya Zanzibari?
Tunamshukuru Mungu kwa kukutunuku nafasi hiyo, kama ulivyosema mwenyewe " uliluzukiwa" na kweli it was not easy for you kukalia kiti hicho kwa sababu imani ya walio wengi kwa kuangalia wanawake wengine waliowahi kuongoza Nchi mf Madamu Banda wakaharibu isingelikuwa rahisi kukuamini, ingebidi...
WAKILI BONIFACE MWABUKUSI;KAMA HAMTATUSIKILIZA,TUTAZUNGUMZA LUGHA MTAKAYOTUSIKILIZA,HATUTARUHUSU MZANZIBARI KUFANYA MAMBO YA HOVYO KWENYE MALI ZA TANGANYIKA.
"Wazee wangu wa Mbeya nipo hapa kuwahakikishia Tanganyika hailiwi tena,tutafuatilia hatua kwa hatua kwenye mikataba ya Mali zote za...
Wakuu bado ninasubiri kauli ya Mbowe kupinga "Wazanzibari" kutekeleza miradi mikubwa ya ujenzi wa barabara huku bara. Kwa akili zake za kibaguzi nadhani hili pia lilitakiwa limuume na sio bandari tu. Siku nyingine mmiliki wa CHADEMA atafakari sana kabla ya kuropoka. Kauli yake ya kibaguzi...
Rais Samia akizungumza na Wakazi wa Jiji la Mwanza baada ya kuwasili kwa Ziara ya Kikazi leo Juni 12, 2023.
Akitoa Salamu kwa Wananchi wa Jiji la Mwanza waliojitokeza kwenye uwanja wa Ndege kumpokea, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania ni Nchi...
Vitu vingine tinavisbabisha wenyewe wenzenu kule hawataki tuguse hata mali yao hata moja lakini wao wakija huku bara wanataka kila kitu tena wanapewa nafasi ya upendeleo kuliko mzawa.
Mimi kilichoniuma zaidi mwaka juzi dogo langu alikuwa anafukuzia JKT sasa wapo kwenye mchujo.
Mchujo wenyewe...
Miongoni mwa siri zilizofichuliwa leo kuhusu Mkataba wa kuiuzia kampuni ya Waarabu Bandari za Tanzania, imo habari kwamba Bandari zitakazohusika ni zile za Tanganyika Pekee, za Zanzibar hazitahusika.
Ikumbukwe kwamba Bandari ni miongoni mwa mambo ya Muungano, ikiwa kama jambo hili lina faida...
bandari za zanzibar
dp world
dubai
jamiiforums
kuhusu
kulalamika
kura
mbona
mzanzibari
naomba
neema
rais
rais samia
samia
tupige kura
ubishi
utanzania
waziri
world
zanzibar
Ndugu zangu wahenga walishasema mapema ya kwamba MCHUMA JANGA HULIA NA NDUGUZE.
Ki kawaida matatizo humuumiza zaidi yamhusuyo kuliko jirani na mfano hai ni suala la kufiwa aumiaye na msiba ni mfiwa na nduguze siyo majirani wasio na chembe ya ndugu
Kwa muktadha huo hata haya ya mamikataba...
Baada ya Tff kutoa hukumu yenye maneno matano tu "Feitoto "Ni mchezaji halali wa Yanga kimkataba"
Kwenye press release na hukumu waliyomtumia bila kufafanua chochote kwenye mkataba Licha ya kuomba kila Mara nimegundua anaonewa kwasababu mbili kuu.
Kwanza Ni mtanzania na Yuko chini ya Tff hivyo...
Ni ushauri tu.
Haiwezekani bunge liitwe la Muungano halafu Spika, Naibu Spika na wenyeviti wa kamati zote za bunge ni Watanganyika.
Wazanzibari wameachiwa nafasi moja tu ya mwenyekiti namba 3 wa bunge.
Kuna ubaya gani Naibu Spika akitokea Unguja?
Hii ni kero namba moja ya muungano ya muda wote!! Kwa bahati mbaya haijaorozeshwa wala hakuna mpango wa kuiorodhesha miongoni mwa kero za muungano.
Juzi juzi tumefanya sherehe ya kumbukizi la miaka 60 ya uhuru wa "Tanzania", au wakiona aibu wanasema kumbukizi la uhuru wa "Tanzania bara"...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.