mzanzibari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Z

    JamiiForums Tanzania Naombeni mnisaidie niwe Mzanzibari. Nina Degree, maisha yamekuwa magumu kwangu

    Habarini ndugu zangu, ni matumaini yangu mpo fresh. Mimi ni mhitimu wa chuo ngazi ya degree katika fani ya uhasibu. kiukweli nimejiajiri lakini hali si mchezo huku mtaani, ofisini nashinda masaa 14, kila siku lazima niende ofisini yani hata nlikopanga geto kuna wengine hawanijui vizuri...
  2. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Kitambulisho cha Mzanzibari Kinapatikana vipi?

    Mimi ni mtanganyika Ninaishi ugaibuni, na ninahitaji kujua namna ya kupata kitambulisho cha Mzanzibari Mara nitakaporejea Tanzania. Je, mzanzibari nao wana vitambulisho vya NIDA? Je, Samia Suluhu Hassan ana kitambulisho cha NIDA na cha Mzanzibari? Je, ninaweza kuomba kazi zanzibar ilihali mimi...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mtake msitake Zanzibar ni nchi na wataoajiriwa ni Wazanzibari. Huwezi kumwacha mzawa Mzanzibari ukamweka mtu wa bara

    Mnataka mstake, Zanzibar ni nchi na inshaallah kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu siku itafika itakuwa na Waziri wake wa Kigeni,Waziri wa Mambo ya Ndani na Waziri wa Ulinzi. Mnaosema wabara wakafanye kazi Zanzibar hiyo ni ndoto ya mchana. Katika makubaliano ya Muungano kati ya Hayati Mwalimu na Hayati...
  4. jitombashisho

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Mimi ni Mzanzibari

    Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan mapema leo amesema yeye hapendi Ukanda ila yeye ni "Mzanzibar!" Kiukweli Rais kakosea sana kukemea ukabila huku yeye akitamka bayana ni wa mahali fulani. Samia umekosea sana! ==== Samia Suluhu ninapotoka hatuna makabila. Kwetu kule Zanzibar tunajuana...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Si haba Mzanzibari mkaazi

    Nimefurahi sana ile tunu ya kuwa kiongozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar anatokea upande wa pili wa Muungano huu, yaani anatokea kwenye visiwa vinavyonuka marashi ya karafuu. watesi wengi walikuwa wakitubeza kuwa Zanzibar tusahau kupata nafasi ya Mzanzbaari mkaazi kuongoza...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Hizi wizara za muungano (Fedha, Ulinzi, Ndani, Nje) ni ipi inaongozwa na Mzanzibari?

    Nauliza tu wataalamu wa mambo ya serikali ya muungano maana naona ndugu zetu Wazenji ni kama wameishia kwenye Unaibu Waziri. Nawatakia Sabato yenye baraka. Mungu ni mwema wakati wote!
  7. I

    JamiiForums Tanzania Samia anaihujumu Tanganyika kwa kuwa yeye ni Mzanzibari?

    akili yangu inanituma kwamba Samia ameamua kuwageuza Watanganyika milioni 55 kuwa chambo cha chanjo ili mapesa anayopata kutoka kwa mabeberu akajenge makunduchi? Watanganyika wenye akili tusimame na Askofu Gwajima. hivi nyie Watanganyika nani kawaroga? Tanzania = Tanganyika+Zanzibar. Kwanini...
  8. robinson crusoe

    JamiiForums Tanzania Zanzbar pia kuna tozo la miamala?

    Naona matatizo ya Muungano na hasa tunapokuwa na Rais kama huyu anayetokea Z'bar. alipoingia alianza ku-balance mambo; Meli nyingine itapelekwa Z'bar, kila kitu akisema pesa nyingine ipelekwe Z'bar. Sasa hili la tozo na malengo yake tunataka kujua kama hata Z'bar kuna makato ya miamala. Kama...
  9. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Karma ni hatari: Mzanzibar aliyebeza COVID-19 huko ughaibuni, imempata

    Bibie akikandia kuchanja covid kivyake vyake!
  10. S

    JamiiForums Tanzania Fatma Karume: Kwa mara ya kwanza naona aibu kuwa Mzanzibari

    Mama hata wanawake wenzake wanamshangaa
  11. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Kila Mzanzibar anayetaka Chanjo ya COVID-19 atapata, hakuna mgeni ataingia bila cheti cha Vipimo vya Corona

    Hii ndio Taarifa iliyotolewa na Waziri wa Afya wa serikali ya Mapinduzi , Mh Nassoro Mazrui , lengo ni kudhibiti maambukizi ya wimbi la tatu Bado haijafahamika kama wageni kutoka Tanganyika nao watahusishwa au la . Chanzo : ITV ==== WANAOINGIA ZANZIBAR SHURTI CHETI CHANJO YA COVID-19...
  12. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Hussein Mwinyi alikuwaje Mbunge wa Mkuranga wakati yeye ni Mzanzibar?

    Nyerere aliuza utu na utaifa wetu kwa Wazanzibari. Leo mwanafunzi wa kizanzibari anapata mkopo wa elimu ya juu kutoka bodi ya mikopo ya elimu ya juu kwa kodi za Wabara. Yote tisa kumi ni kivipi Mzanzibari anakuwa Mbunge sehemu ya Bara? HUSSEIN MWINYI aliweza vipi kuwa MP na jimbo lake la...
Back
Top Bottom