Kesi ya mwizi wa mafuta Kigamboni imefikia wapi?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,557
44,747
Naombeni kujuzwa maana mpaka Sasa hivi naona kimya tu sijui Kama walikamatwa wakapelekwa kwenye vyombo vya ulinzi na usalama.

Maana kwa kweli kuiba mafuta sio tukio dogo linahatarisha usalama wa watu mafuta ni hatari sana.

Kukaa kimya kwa Serikali inatupa mashaka Sana kuhusu utendaji wa Serikali yetu.
 
Naombeni kujuzwa maana mpaka Sasa hivi naona kimya tu sijui Kama walikamatwa wakapelekwa kwenye vyombo vya ulinzi na usalama.

Maana kwa kweli kuiba mafuta sio tukio dogo linahatarisha usalama wa watu mafuta ni hatari sanku

Swali zuri.....
 
Toka lini watu wa vyombo vya ulinzi na usalama wakajipeleka wenyewe kwenye vyombo vyao vya ulinzi na usalama?Hata kama ni wewe ungejipeleka mwenyewe?MATAGA bhana,tunavyosema kuwa hamna akili muwe mnatuelewa sasa.
 
Naombeni kujuzwa maana mpaka Sasa hivi naona kimya tu sijui Kama walikamatwa wakapelekwa kwenye vyombo vya ulinzi na usalama.

Maana kwa kweli kuiba mafuta sio tukio dogo linahatarisha usalama wa watu mafuta ni hatari sanku

Kukaa kimya kwa Serikali inatupa mashaka Sana kuhusu utendaji wa Serikali yetu.
Ukishangaa ya Mafuta Kigamboni utayakuta ya mchina wa mto Ruvu !! hii ndiyo CCM bana !!
 
Back
Top Bottom