Mwizi alipotaka kumuibia mwizi mwenzake ndicho kilichotokea huko China

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Posts
5,644
Reaction score
7,755
Asalam waleku
Wandugu waJF hapa nataka nijulishe kwamba kule china mambo yameenda ndivyo sivyo.
Kwa maana mapatano ya ajenda zote yapo PENDING
Kwa hali ilikuwa kwamba ni mbinu za kimkakati ziliandaliwa kuingia na devices zao kuiba some information na kuzi export kwenye mashine zao ila ngoma iligonga mwamba walipewa device zingine kwa ajili ya matumizi ya hapo china .
Na baada ya hapo zao ziliwekwa kwenye mifuko maalum zinazozuia kufanya chochote na kuachwa kwenye ndege.
Marekani nao wakaona licha kutupa kwenye mapipa device walizopewa kutumia waliamua hata zawadi zao walizopewa kuzitupa kwenye mapipa hayo.
Hii ina maanisha kwamba kila mmoja hitaji lake halikukamilika .(mission paralised)

FB_IMG_1779106797384.jpg
 
WAZUNGU wamebakisha miaka michache warudi kwenye ujima wa Kitechnology

WACHINA wanakimbia kwa kasi kubwa sana kwenye nyanja muhimu zote ✅️
USA kama asingepigana vita vya hovyo hasa hii ya Iran , angekuwa anaheshima sana ila kajishusha sana . US kaonekana mshamba sana , vita ambayo ameenda na lengo hili ila baadaye yanatokea mengine . Pale venezuela ni masaa tu akamaliza kazi , ila sijui bangi gani zimempeleka pale Iran.​
 
Vipi waarabu waliokufanya umjue allah wenyewe unawaweka wapi.
 
USA kama asingepigana vita vya hovyo hasa hii ya Iran , angekuwa anaheshima sana ila kajishusha sana . US kaonekana mshamba sana , vita ambayo ameenda na lengo hili ila baadaye yanatokea mengine . Pale venezuela ni masaa tu akamaliza kazi , ila sijui bangi gani zimempeleka pale Iran.​
trump atakuwa ana washauri wajinga au yeye mwenyewe ni mjinga kwenye masuala ya geopolitiks
 
USA kama asingepigana vita vya hovyo hasa hii ya Iran , angekuwa anaheshima sana ila kajishusha sana . US kaonekana mshamba sana , vita ambayo ameenda na lengo hili ila baadaye yanatokea mengine . Pale venezuela ni masaa tu akamaliza kazi , ila sijui bangi gani zimempeleka pale Iran.​
😁😁😁 Sio bangi ni nature tu ukitaka kukuumbua Huwa hujui Nini kitakacho kuja kutokea ni sawa na kupata ajali tu
 
wewe mwenyewe ukipewa zawadi na hao wachina au wamarekani utapiga nazo hadi picha.
Uraisi na idara sio sehemu ya mama yako mzazi ulipotokea .Ndio maana kombora au mashambulizi yanaweza kupatikana.
Hivi ulisoma au ulifundishwa na UVCCM.Jifunze dunia ya sasa
 
USA kama asingepigana vita vya hovyo hasa hii ya Iran , angekuwa anaheshima sana ila kajishusha sana . US kaonekana mshamba sana , vita ambayo ameenda na lengo hili ila baadaye yanatokea mengine . Pale venezuela ni masaa tu akamaliza kazi , ila sijui bangi gani zimempeleka pale Iran.​
Marais wengi wamepita USA lakini hawakua na shobo na Iran
 
Back
Top Bottom