SuperHb
JF-Expert Member
- Mar 21, 2016
- 1,012
- 1,023
Habari zenu ndugu zangu....,
Nina mke ambaye naishi nae mwaka wa 3, tuna mtoto mmoja wa kike,sasa Kuna Changamoto nimekutana nayo,,,,
Nina tabia ya kuacha pesa kwenye Wallet,,,sasa nikawa nahisi kama Hela inapungua,,,ila nikawa Sina uhakika,,,ila nikiamua kuwa makini niwe na uhakika kama pesa yangu inatolewa,,,
Siku moja niliweka 70,000/= kwenye wallet,,,baada siku kadhaa nikakuta Kuna 55,000,,,,,nakumuuliza mke wangu kuhusu Hela,akawa amekataa,baadae akakubali. ,baada ya kumbana,,,na akairudisha.,,,na ameniambia alishawahi kutoa mara nyingine.
Sasa ndugu zangu nishaurini...Kuhusu huyu mke...na