mwisho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mwaka 2022 unaelekea mwisho, Malengo yako yalikuwa yapi? Umetekeleza nini? Changamoto? Let's share experience!

    Habari wakuu. Binafsi mwaka huu niliwekea Malengo makuu matatu. 1. Kuhama nyumba ya kupanga na kuhamia kwangu (Nyumba ilikuwa hatua za mwisho yaani finishing) mungu amesaidia nimetekeleza. 2. Kuwa na eneo la ziada (plot) ambayo itakuwa kama asset ya baadaye. Nimetekeleza. 3.Kuwa na mtaji wa...
  2. I

    JamiiForums Tanzania Kwa haya ya Masanja nitakuwa wa mwisho kuamini Watanzania tuna akili timamu!

    Wote tunamfahamu Masanja vizuri alivyojilea na kujikuza. Ni mchekeshaji na ndiyo kazi iliyomtangaza. Lakini pia tunamfahamu kuwa ni mropokaji asiye na adabu mbele ya watu na ana matusi na mizaha isiyo na mipaka. Sasa mtu kama huyu anaanzisha kanisa la kumwabudu Mungu halafu watu wanamfuata na...
  3. JamiiForums Tanzania Mitandao ya simu ipige faida ya internet kwa mara ya mwisho. Elon Musk kuleta internet ya Starlink Tanzania

    Mwakani Elon Musk atazindua huduma ya internet kupitia kampuni yake ya Starlink. Elon Musk alisema kwenye tweet yake kuwa mwakani atazindua huduma ya internet ambayo itakuwa inapatikana dunia nzima bila kujali eneo gani upo. Ikumbukwe kuwa internet ya Elon Musk itakuwa inarushwa na satellite...
  4. JamiiForums Tanzania Shirika la Afya Duniani (WHO): Mwisho wa Ugonjwa wa COVID-19 unakaribia

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limezitaka Nchi mbalimbali kuendelea kuchukua hatua za kupambana na Ugonjwa wa UVIKO19 kwa kuwa takwimu za maambukizi zimeshuka kwa kiwango cha chini kuliko wakati wote tangu Machi 2020. Mkurugenzi Mkuu wa WHO, Tedros Adhanom Ghebreyesus licha ya kutotaja namba...
  5. JamiiForums Tanzania Hii aibu mwisho wake lini, wanajeshi wa Urusi watoroka kwa baiskeli

    Walioachwa nyuma wakati wenzao walitoroka kwa magari, wameishia kuiba baskeli na kutoroka nazo ili tu waokoe maisha yao...vijana wa Ukraine wanaendelea kutembeza kichapo.... Russian soldiers abandoned by their units in the eastern Kharkiv region of Ukraine fled in disguises on bicycles...
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 HOTUBA KAMILI: Maneno ya mwisho ya Uhuru Kenyatta kabla ya kuachia Urais

    Hatimaye Rais anayeondoka Uhuru Kenyatta amempongeza Rais Mteule William Ruto, baada ya mkutano wao Ikulu. Wawili hao walikutana alasiri ya Jumatatu, Septemba 12, saa chache tu kabla ya hafla ya kuapishwa kwa William Ruto iliyotarajiwa kufanyika katika uwanja wa Kasarani. “Kama alama kuu ya...
  7. A

    JamiiForums Tanzania SoC02 Leo mwisho

    LEO MWISHO “ Hivi Jacob lini utaelewa Kwamba maisha sio kitu cha mchezo, leo mimi nipo kesho na keshokutwa nitakufa , hivi utakuwa mgeni wa nani?” kama kawaida Martin alirudia wimbo ule ule kwa Jacob ambaye ndo mtoto wake wa kiume na wa pekee.Martin alijaaliwa kupata mtoto mmoja tu ambaye...
  8. JamiiForums Tanzania Dkt. Hamis Kigwangalla: Onyo la mwisho kwa mnaomtuma Kigogo

    Hiki ndicho alichoandika Mbunge Dr. Hamisi Kigwangalla katika ukurasa wake wa Twitter: ONYO LA MWISHO KWA MNAOMTUMA KIGOGO: iko hivi; ninawajua, na nyie ni rafiki zangu, tuendelee kuheshimiana, ninawaambia najua mambo yenu mengi; msicheze na tope, mtachafua suti zenu sasa hivi! Mnanijua vizuri...
  9. JamiiForums Tanzania Eti tulipigania Uhuru, iweje Muomboleze kifo cha Mtawala wa mwisho?

    Hii imekaaje, utasikia nchi za Afrika eti zilipigania na kupata Uhuru, sasa kama ni kweli ina maana aliyekutawala alikuwa adui, sasa iweje kifo chake kiwe maombolezo kwenu? Afrika ni takataka na tunadanganywa sana, hakuna nchi yoyote ile iliyopigania Uhuru, wote walipewa huo tunaouita uhuru kwa...
  10. JamiiForums Tanzania Tushirikishane maneno uliyosikia, anadhani amekata simu kumbe unasikia

    Kuna yale maneno ya mwisho hutokea unayasikia kwa bahati mbaya. Mwenzio anajua amekata simu kumbe bado iko hewani. Au anakosa subira na kuyaongea kidole kikielekea kukata simu. Nilipigiwa simu na shangazi yangu. Tukaongea, then akaniambia hana hela ya sukari. Nikasema, nitakutumia shangazi...
  11. JamiiForums Tanzania Buriani: Malika wa Mwisho wa Tanganyika, Elizabeth wa Pili wa Uingereza, amefariki dunia

    Malika Elizabeti wa Pili Elizabeth Regina Elizabeth Regina with Julius Kambarage Nyerere of Tanzania. Royal Tour of Tanzania, 1979. Malika wa Mwisho wa Tanganyika, Elizabeti wa Pili wa Uingereza, amefariki dunia leo Septemba 8 2022 huko Kasri la Balmoral, Uskochi, Uingereza. Malika...
  12. JamiiForums Tanzania Upi utakuwa mwisho wa vita ya Russia-Ukraine?

    Wajuzi wa mambo! Russia alitegemea jeshi la Ukraine lita surrender na kukubaliana na matakwa yao ikiwemo kutokujikurubisha na NATO na Ukraine kutumika kama njia ya kuishambulia Russia, lakini NATO naona wamelivaia njuga vilivyo kuanzia siraha nzito, taarifa za kiinterejensia pamoja na nguvu...
  13. JamiiForums Tanzania Hii Combination baina ya Mzee Kinana na Shaka ni dhahiri huu ni mwanzo wa mwisho wa Upinzani Tanzania

    👇👇 Tazama siasa inayopigwa na hawa mabwana then njoo uniambie nafasi ya Upinzani iko wapi kwa sasa. 👇👇 KINANA NA SHAKA WATEMBELEA SHAMBA LA MBEGU BORA ZA MAHINDI WILAYANI MISENYI Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana ametembelea...
  14. JamiiForums Tanzania Msaada: Dogo amepata chaguo la tatu Kidato cha 5. Je, mwisho kuripoti ni lini?

    Wakuu, Mtoto amechaguliwa third selection na TAMISEMI hao, ambayo nadhani imetoka mwezi huu Je, mwisho wa kuripoti shule aliyopangiwa ni lini? Muda umeisha au bado nimpeleke? Naomba kujua niandae hela ya private tu. umofia.
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Uamuzi wa mwisho wa Majaji wa Mahakama Kuu utatoka hapa

    Baada ya Majaji wa Mahakama Kuu kumaliza kusikiliza mashauri ya Pingamizi la Matokeo ya Urais pamoja na Utetezi, Haya ndio maamuzi yanayoweza kutolewa Jumatatu Septemba 5, 2022. Iwapo Mahakama itaona dosari kubwa zilizoathiri kwa kiasi kikubwa matokeo yaliyotangazwa na Tume ya Uchaguzi (IEBC)...
  16. JamiiForums Tanzania Sensa: Kianalogia siku 1, kidigitali siku 7! Could there be something wrong somewhere?! Kesho mwisho! Je, ambao bado hawajafikiwa watahesabiwa?!

    Wanabodi, Makala ya leo ni Swali Sensa za nyuma tulihesabiwa ki analogia na ilichukua siku 1 tuu, sasa tunahesabiana kidigitali inachukua siku 7! Could there be something wrong somewhere?! Leo ni siku ya 6, kuna kaya hazijafikiwa, kesho ni siku ya 7 ambayo ndio ya mwisho. Je, kaya zote...
  17. JamiiForums Tanzania SoC02 Mtihani wa darasa la saba kisiwe kipimo cha mwisho cha uwezo wa akili kwenye elimu

    Ninachukua wasaa huu kuzungumza na nyinyi ndugu zangu kupitia andiko hili, suala la kupima uelewa wa mtu katika elimu isiwe kwa mitihani hasa kwa elimu ya msingi ambayo Watoto bado wanakuwa na umri mdogo. Kwa hiyo wengi wao wanakuwa hawajatambua ni njia gani watumie katika kusoma ili kufanya...
  18. JamiiForums Tanzania Dogodogo alivomuharibia baba mkubwa dakika za mwisho

    Nawasalimu nyote, Ni baba angu mkubwa kabisa, ni mstaafu mpya kutoka serikalini ana mwaka ivi na miezi kadhaa uraiani. Akiwa kazini alioa na kupata watoto wanne, mambo yalikuwa POA tu amani na furaha, watoto wamekuwa na washaolewa/kuoa Mwaka Jana mzee akamaliza mda wa utumishi wake na...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Ukistaajabu ya tozo, tazama wafanyabiashara tunavyoumizwa na serikali

    Huwa namshangaa sana kiongozi anayewashauri watu wajiajiri! Kujiajiri Tanzania inabidi kwanza ujitoe ufahamu kabla ya kupata faida! Ebu fikilia haya malipo ya serikali yalivyo hayana uhalisia! Unatafta wazo la biashara,mtaji na fursa lakini TRA hawanaga grace period kwa wafanyabiashara wadogo...
  20. JamiiForums Tanzania Iwe mwisho kumfananisha mwamba wa lusaka na vitu vitu vyenu!

    Sina sababu ya kuelezea sana! Mwamba anajieleza mwenyewe! Nasema mwisho leo kumlinganisha na hiyo michembe {mabumunda} yenu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…