mwisho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Mtu wa ajabu aliyeonekana kuzungumza na Rais Putin aibua tetesi za mwisho wa Putin kuwa karibu

    mtu wa ajabu aliyeonekana akizungumza na mbabe Putin wakati wa Parade ya ushindi jana amesababisha tetesi za watu kuhisi kuwa huenda ndie akawa mrithi wa Putin Mtu huyo ambae anaonekana kuwa bado kijana mdogo ametambulika kwa jina kuwa ni Dmitry Kovalev na kwa sasa anahudumu kama mkuu wa...
  2. J

    Kunani CCM, mbona Chaguzi za matawi zimepamba moto kiasi hiki? Je, huu sasa ni mwanzo wa mwisho wa Upinzani?

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Cde Shaka Hamdu Shaka amejumuika pamoja na wanachama wa Tawi la CCM Buyu Pwani, Mkoa wa Magharibi, Wilaya ya Dimani, Ndg Shaka Hamdu Shaka ameshiriki katika uchaguzi wa kuwachagua Mwenyekiti wa shina No 4 na wajumbe wa kamati ya Uongozi...
  3. M

    Marekani kutumia nguvu zote ili kuishinda Urusi, bila kuhatarisha damu ya askari yeyote wa Marekani hadi tone la mwisho la damu ya watu wa Ukraine

    Wamarekani ni wabaya! Wameamua kuingia vitani na Urusi kwa kutumia nguvu zao zote kwa maana ya zana za kivita na pesa, lakini hawako tayari kumwaga hata damu ya mtu mmoja wa Marekani hadi tone la mwisho la damu ya watu wa ukraine!! Marekani hawajali Ukraine ikiangamizwa na Urusi, wanachohitaji...
  4. D

    Rostam Aziz yumo kwenye ziara ya Rais Marekani, nawapa taarifa tu wale mliomwona kwa mara ya mwisho ziara ya Mwendazake Morogoro.

    Nimekutana na heading kwenye gazeti la The Citizen akiitaka AfDB kuisaidia Tanzania kwenye sekta ya kilimo hususani kilimo cha umwagiliaji. Mwamba huyu yupo.Ni hayo tu.
  5. Angalia namba zako 3 za mwisho za simu zina maanisha nini

    mimi 111😂😂😂
  6. Polisi: Magari ya abiria kuingia Tanga mwisho saa sita usiku

    Jeshi la Polisi Mkoani Tanga limepiga marufuku, magari yanayosafirisha abiria kufanya safari usiku wa zaidi ya saa sita na kwamba atakaekaidi agizo hilo atachukuliwa hatua za kisheria. RPC wa Tanga, Safia Jongo amesema: “Ukiwa unatokea Dar kama hesabu zako zitakuonesha kuwa utafika Mkata zaidi...
  7. Je, Mwisho utakapofika nitakuwa na chakuonyesha? Nisije kujikuta mchawi!

    JE MWISHO UTAKAPOFIKA NITAKUWA NA CHAKUONYESHA? NISIJEGEUKA MCHAWI! Anaandika Robert Heriel. Hapo nilipomtembelea Babu yangu, Yule aliyenifundisha mambo mengi ya zamani na ya milele, ya Raha naya taabu! Ya gizani naya Nuruni, yote aliyojaliwa na Mungu kunifunza. Nikamtembelea siku zile...
  8. Je, dakika yake ya mwisho duniani alisemaje? Ilikuwaje?

    Uzi huu tusaidiane kutambua last moments za wapendwa wetu huwa zinakuwaje au watu tunaowafahamu. Hususan pale anapokata roho. Nitaelezea kiss kimoja nilichoshuhudia. Nilikuwa namuuguza ndugu yangu hospitali moja ya mkoa enzi hizo tunalala na wagonjwa mahospitalini. Kitanda opposite na mimi...
  9. Rais Samia, gharama za maisha zinazidi kupanda juu. Penye njaa na mateso hapawezi kuwa na amani

    Mama Mpendwa Shalom Mwenendo uliopo mpaka sasa, japo tunakupongeza kila kona kwamba unaupiga mwingi mambo ni magumu. Hawa walioko vijijini ambao ndo hasa wapiga kura wako hawajui habari ya Ukraine na Putin wao, wanachokihitaji wapate maisha ahueni, wakati nchi nyingi zilizoathirika kama sisi...
  10. Plot4Sale Viwanja safi kabisa- (Mbezi - Msumi mwisho) Milioni10 tu!

    Karibu wapendwa tujenge taifa pamoja. Tuna viwanja vizuri Sana Msumi mwisho. Vimekaa vizuri Kama unavyoona kwenye picha. BEI yake ni rafiki kiwanja Cha 20X20 ni milion 10..ILA maongezi yapo( Desturi yetu watanzania lazima tuongee na tuelewane.) Kwa wenye kuhitaji mawasiliano - Direct...
  11. Ujio wa DR Congo EAC: Kiburi cha Tanzania katika Jumuiya ya Afrika Mashariki sasa kimefika mwisho

    Binafsi nimependa sana hili jambo. Kwa muda mrefu Tz amekuwa mkwamishaji mkubwa wa mipango ya EAC akijivunia wingi wa watu na ukubwa wa ardhi. Siku zote akidai memba wengine wanataka kunyakua ardhi yake. Amekuja DRC ambaye ana ardhi nzuri kuliko TZ na kubwa kuliko memba wengine wote wakiwekwa...
  12. Vita ya Ukraine na Urusi: Mwisho wa zama za vifaru umefika

    Ukraine anatembeza show ya kibabe, si ya nchi hii dhidi ya majeshi ya Urusi, ukweli ni kwamba Urusi imeshindwa vibaya kwenye ground war against a well organized Ukrainian defenders! Vifaru vya Urusi ambavyo vinaaminika ndo vifaru Bora kabisa duniani vinapukuchuliwa Kwa Kasi ya 5G huko Ukraine...
  13. F

    Hizi tigo pesa,mpesa, airtel money kiwango cha mwisho kuweka kwa siku ni shilingi ngapi?

    Habari wadau. Kwa wenye uzoefu na hizi mobile money watuambie kiwango cha mwisho ni kiasi gani? Je inawezekana kwenye line moja kuweka milioni 5 kwa siku. Na ukamtumia mtu hiyo milioni 5 kwa muamala mmoja na yeye akapokea bila shida? Kwa mteja wa kawaida tu sio wakala. Je anaweza kuweka...
  14. Mwanzo kulipangwa tusiwe na Mwisho ila kwa sababu ya kuto kutii kwetu basi tunahukumu

    Hapo Mwanzo kulipangwa tusiwe na Mwisho ila kwa sababu ya kuto kutii kwetu basi tunahukumu Juu ya kile chochote tukifanyacho kwa kukusudia au kwa bila kukusudia iwe jema au baya yoote yanalipiwa Hakuna atowaye buree isipokuwa yeye aliye juu naye hutupa kadri ya neema yake Ila Wanadamu...
  15. NATO ndio dola ya mwisho, hakuna nyingine itakayoinuka

    Ukisoma kitabu cha Danieli utaona ufunuo wa lile sanamu ambalo nilikua ndio mfano wa Muundo wa Dola ambazo zitaitawala dunia,ulianza utawala wa nebukadreza ambao ulikua na nguvu na imara kama dhahabu, Ukavunjika. Wakaja warumi walikua imara kama chuma nao wakaanguka. Sasa hivi umekuja NATO...
  16. Watanzania tunaomba kujuzwa ujenzi wa meli mpya "Hapa Kazi Tu" umefikia wapi na mwisho wa mkataba ni lini?

    Mama na serikali yako mnaulizwa na watanzania juu ya ule ujenzi wa meli mpya "MV Mwanza" Hapa kazi tu iliyokuwa ikijengwa pale Mwanza ni nini kinaendelea kwa sahivi. Ile meli ilitakiwa kubeba abiria 1200 na mizigo tani 400, ni meli ya safari kati ya Mwanza, Bukoba na Entebbe. Tunajua ujenzi...
  17. Makonda: Ghalib usinilazimishe kusema uozo wako, achia mali yangu. Walioko nyuma yako nawajua

    Wakati Wakili wa mfanyabiashara maarufu nchini, Ghalib Said Mohamed (GSM), Alex Mgongolwa ameweka wazi vielelezo vya umiliki wa eneo kiwanja namba 60 lililopo Regent Estate Kinondoni jijini hapa, aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amemtaka mfanyabiashara huyo kumwachia mali...
  18. Kero: Wafanyakazi wa UDART kituo cha Kimara mwisho muache kukwaruzana na wateja (wasafiri)

    Kumezuka ka tabia hawa wakatisha tiketi wa Udart na wale.wanao scan na kuchana .zile tiketi kurushiana maneno na wateja kwa maana wanao safiri Leo pale kimara mwisho majira ya saa kumi jioni ktk folen ya kuelekea Kibaha kijana.mmoja.mchana tiketi alikuwa ana rushiana maneno na...
  19. S

    Rais wa Ukraine awaambia NATO: 'Hii yaweza kuwa mara yenu ya mwisho kuniona nikiwa hai!'

    Rais wa Ukraine Zelensky amewaonya marais na viongozi wa Ulaya katika video call (conference call) kuwa huwenda wasimuone hai tena milele kufuatia jeshi la Urusi linavyozidi kujikusanya na ktk viunga vya mji mkuu wa Ukraine, Kyiv, alimo rais huyo. Ambapo yeye ni taget namba 1. Ktk conference...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…