Huu ndio utabiri wangu kwa Simba na Yanga weekend hii ya mwisho wa mwezi February, 2023

covid 19

JF-Expert Member
May 9, 2014
4,876
10,593
Team zetu kubwa mbili zinashuka dimbani weekend hii.

Naweza kusema tu team yenye jina la mnyama ambayo ndio itaanza kucheza inaenda kupata matokeo mazuri ila mchezo hautakuwa na zaidi ya goli 1. Lile kiza lililotanda kwa takribani mwezi mzima limetoweka naa kuanzia sasa makali ya mnyama huyu yamerudi upya.

Vipers vs Simba = 0-1

Upande wa Yanga wao hali pia itakuwa nzuri kiasi kwa weekend hii ingawa ni hadi dakika za mwisho wa mechi wataweza kusawazisha na watapata sare ila kiujumla watamiliki sehemu kubwa ya mchezo ingawa kutakuwa na fitna za waziwazi.

Bamako vs Yanga = 1-1
 
Let's wait and see.
Ila huo utabiri wako ni wa mchongo.
Yanga kumiliki mpira Kwa sasa ndio falsafa hata wakifungwa utauona wao ndio walipossess mpira.
Acha muda uamue hifadhi hii thread sibahatishi kazi zangu..
 
Mechi za watani za badae na kesho nimeshaziangalia kwa babu bagamoyo. Simba anapigwa yanga anashinda. Kwa huruma tu nimempa vipers double chance ila hii game makolo anapigwa
Screenshot_20230225-133006_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom