Sikutaka kuchambua hili, sikutaka kuchambua kwasababu namheshimu sana Godbless lema!
Nikiongozi mzuri na amekuwa na maono mengi mazuri!
Pamoja na yote hayo!
Namna Lema alivyoanzisha kampeni ya kupinga bodaboda na vikoba kakengehuka kidogo!
Anayo nia njema kabisa kiufupi ingekuwa ni wimbo basi naweza kusema LEMA kaamua kuimba INJILI DISCO
LEMA amecheza INJILI kwenye Biti la wimbo wa Taarab!
a). Tuanze na bodaboda
Tangu dunia iumbwe binadamu hawajahi kuwa sawa, na haitakuja kutokea watu wote duniani wakawa sawa katika kipato (Never Never Never again)!
Binadam duniani anaishi kwa principal ya "surviving for fittest " yaani ishi kwa kupambania upate kilicho bora kwako!
Kilichobora kwako hakiwezi kuwa bora kwa wote!
Namna ya kukipata kilichobora huanza na vyanzo vingi!
Kazi ya serikali nikufanya nini?
Wajibu wa serikali kutengeneza vyanzo vya fursa vingi!
Serikali haiwezi kutoa usafiri wa umma nchi nzima, Bali huunda mazingira bora ya kushawishi watu wawekeze kwenye public transport!
Mazingira ya serikali ni kutengeneza mabarabara yapitike ili watu wawekeze mabasi yao huko!
Sasa wakati serikali ikitekeleza hayo watu wanahitaji usafiri wa haraka!
Boda boda ni mojawapo ya chanzo chepesi cha fursa!
Yoyote anaweza kuichungulia na kuitumia fursa ya boda, hata wahitimu wa chuo baada ya kukosa ajira kutokana na uhaba wa ajira, Wanaweza kuendesha bodaboda kwani siyo laana! Bali nikuutumia mlango wa bodaboda kama fursa ili wafikie malengo yao!
Hakuna aliyesema Kazi ya bodaboda ni ajira ya kudumu kwamba ukianza ni hadi uzeekee huko!
Wapo bodaboda wanaosomesha kwa kazi hiyo, wapo bodaboda wamepata mtaji wa ndoto kwa kazi hiyo, wapo bodaboda wamejenga kwa kazi hiyo!
Hivyo bodaboda siyo kazi ya laana bali mtu mmoja mmoja ndiyo huwa ana laana!
Kuwa na laana huwa haijalishi unafanya kazi gani, unaweza ukawa mbunge ukawa na laana, unaweza ukawa afisa wa jeshi ukawa unalaana, unaweza ukawa karani wa mahakama ukawa na laana!
Laana haibagui kazi!
Godbless LEMA alitakiwa aishauri serikali kuboresha usalama wa bodaboda! Kuwapa semina, kuwapa elimu ya usalama barabarani, kuwapa elimu ya afya, kuwapa elimu ya ujasiliamali! N.k
Hayo ndiyo yalitakiwa kusikika midomoni mwa LEMA na chadema!
Bodaboda ni kundi kubwa sana lenye ushawishi katika jamii, wakiamua kuitafsiri vibaya kauli ya kuwaita wanafanya kazi ya laana kama tusi nakuandamana chadema itaonekana haijali watu wa hali ya chini!
Mungu aliwasaidia watu wenye kitu japo kidogo!
Bodaboda ni kitu kidogo na Mungu anaweza inua watu wake kwa mwanzo mdogo kama mkubwa (ajira) haupo!
Godbless LEMA na chadema msishupaze shingo badilisheni kidogo tu mseme hayo ili kuboresha!
b) LEMA kuhusu Geodavie
Kosa ni lilelile kuwa LEMA anahoja lakini mazingira ya hoja zake yapo tofauti na ujumbe wake!
LEMA jamii inamtambua kama mwanasiasa!
Anaweza akawa anajua mambo ya madhabahuni lakini asichokijua ni kwamba vya madhabahuni vijibiwe madhabahuni, vya kishirikina vijibiwe kishirikina, vya kisiasa vijibiwe kisiasa!
Kosa la mchungaji Geodavie haliwezi kuwa ajenda ya chama cha siasa!
Chama cha siasa kikianza kuokota ajenda za kijinga hupoteza mwelekeo!
Yaani wafuasi wa chadema mkajadili umalaya wa Geodavie kweli?
Ingekuwa Mimi ni Godbless LEMA ningemtonya Askofu Mwamakula au mchungaji yoyote atoe kalipio la kumuonya GEODAVIE Kama kuna ulazima huo!
Lakini maneno hayo kushikiwa bango na Lema ni kufilisika kisiasa!
Chama kinatakiwa kuwa na mawazo jumuishi!
Miongoni mwa wafuasi wa Geodavie kuna wanaCcm, kunawanachadema n.k
Kauli ya mwanasiasa kumuonya mchungaji ni uendawazimu hata kama kuna hoja!
Bibilia inasisitiza watu wake huangamia kwa kukosa maarifa!
Ukimuonea huruma mtu usimtukane bali mpe maarifa kwanza ili upumbavu umtoke!
Hatu enzi za Yesu walikuwepo Punda! Huwezi kuwaondoa Punda kwenye maisha! Kwani wasipokuwepi nani atambeba Mfalme?
Boda boda wamempokea LEMA kama mfalme halafu leo anawatukana? Ama kweli maskini akipata matako hulia mbwata!
MWAMBIENI LEMA NA CHADEMA WANAYOHOJA WATAFTE NJIA NZURI ZA KUIFIKISHA KWA JAMII
Napata wasiwasi huenda LEMA na walamba keki wenzake wametumwa kuropoka kwa fadhila zao na chama tawala