mwili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Suley2019

    Mwenyekiti wa Mtaa auawa Mbeya

    Mwenyekiti wa Mtaa wa Hasanga kata ya Uyole jijini Mbeya, Justine Namwinga (47) ameuawa na watu wasijulikana usiku wa kuamkia leo Januari 31 na kisha mwili wake kutelekezwa nje ya nyumba yake. Akizungumza akiwa nyumbani kwa marehemu baba wa Justine, Hance Mwashembele amesema kuwa usiku wa...
  2. B

    Makomando na askari wa karne hii ni watu wenye nguvu za mwili au wanapaswa kuwa watu wenye upeo mkubwa wa kufahamu mambo(IQ kubwa)?

    Wakati tunapita JKT miaka 80+ kigezo Cha uaskari kilipimwa Kwa mambo yafuatayo; 1. Urefu 2. Mwonekano wa umbo 3. Uwezo wa kupiga paredi 4. Smartness Kwa maana ya unadhifu wa mavazi. 5. Unoko Watu wenye sifa zilizoelezwa hapo juu bila kujali uwezo wao wa kufikiri,kupambanua mambo na kufanya...
  3. Idugunde

    John Mnyika awaongoza waombolezaji kuaga mwili wa kada wa CHADEMA, Sarah Alex

    Katibu Mkuu (Kushoto) Mhe. @jjmnyika na Mratibu Uhamasishaji @bavicha_taifa Mhe. @Twaha_Mwaipaya (kulia) wakiwa katika kanisa la Uamsho la Morovian katika ibada ya kumuaga mwimbaji Sarah Alex leo Januari 24, 2022. Kabla ya kuanza safari ya kuelekea Tanga kwaajili ya maziko.
  4. M

    Singida: 16 mbaroni kwa kufukua mwili wa kichanga

    WATU 16 wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Singida kwa mahojiano kutokana na kufukuliwa na kuibwa kwa mwili wa mtoto, Christian Samson, mwenye umri wa mwaka mmoja na mwezi mmoja. Inadaiwa kuwa mwili wa mtoto huyo ulifukuliwa kwa kile kilichoelezwa ni kutokana na imani za kishirikina...
  5. Miss Zomboko

    Ileje: Binti Mjamzito auawa kwa kuchomwa Kisu na Mwili wake kuchomwa Moto

    MWANAMKE mmoja mkazi wa kijiji cha Ilanga kata ya Mlale wilayani Ileje mkoani Songwe, Subira Kibona(16) amefariki dunia baada ya kuchomwa na kitu chenye ncha kali mgongoni kisha mwili wake kuchomwa moto na anayesadikika kuwa mume wake, Shukrani Kamwela (16) kabla ya kutupa mabaki ya mwili huo...
  6. and 998 others

    Mwili wa Desmond Tutu kuchomwa Moto

    Kufuatia kifo cha Askofu Mkuu (Mstaafu) Desmond Tutu. Imefahamika mwili wake utachomwa moto na majivu yake kuhifadhiwa kwenye Kanisa Kuu (Cathedral) la St. George's, Capetown. Raha ya Daima umuangazie. NB: Tunaomba Prof Mkuu akatuwakilishe msibani ili akaelezee historia ya Askofu toka mwaka...
  7. B

    Morogoro: Vilio na simanzi vyatawala mwili wa mwanafunzi wa SUA aliyeuawa

    Vilio na Simanzi vimetawala wakati wa ibada ya kumuaga Mwanafunzi ambaye amehitimu katika Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) mkoani Morogoro, Magreth Mashuwe aliyeuawa na watu wasiojulikana katika mashamba ya chuo hicho hivi karibuni huku chanzo kikikwa bado hakifahamiki. Ibada hiyo...
  8. C

    Uzi wa kupeana mbinu za kuondoa vitambi na kutengeneza mwili - Karibuni tupeane maarifa

    Wanajamvi, natumaini ni siku nyingine njema kwa kila mtu ambayo Mungu ameifanya. Uzi huu ni maalumu kwa ajili ya kuondoa vitambi, kutengeneza mwonekano bora wa mwili na kuimarisha afya. Naomba yeyote mwenye weledi katika haya achangie hapa ili kuwasaidia watu wanaohanganika na matatizo haya...
  9. Chimunguru

    Tatizo la kuwashwa mwili mara kwa mara- Fahamu chanzo, pata ushauri na tiba ya tatizo hili

    Habari JF Doctor na wana jamii wote. Mdogo wangu wa kiume (23yrs) ana tatizo la kuwashwa mwili mzima tokea mwaka 2002. Nimezunguka naye takribani hospitali zote kubwa hapa Dar lakini hatujafanikiwa kupata ufumbuzi wa tatizo lake. Kwa ufupi ni kwamba alianza tu kuwashwa jichoni, macho...
  10. Ben Zen Tarot

    Madhara ya kuchora Tattoo Mwilini

    Tattoo ni nini? hii ni uwekaji wa wino kwenye ngozi ya ndani kitaalamu kama dermis kubadilisha rangi kabisa ya maisha yako yote au kwa muda tu, inategemea na uwekaji.. kwa dunia ya sasa kujichora tatoo ni kama fasheni fulani kwenye jamii, ukienda kuchora tattoo kuna uwezekano mkubwa sana...
  11. Niache Nteseke

    Hivi kuna uhusiano gani kati ya Pombe na Maumivu ya Mwili kupungua?

    Heshima kwenu wakuu.. Aisee, jino lilikuwa linauma jioni hii kupita maelezo, nikarudi zangu home kuna K Vanga kubwa ilibaki jana kwenye mwanamke nyonga nikasema ngoja niikate taratiiiiibu, baada ya kugonga K Vanga nashangaa maumivu ya jino yameisha kabisa wakuu. Hivi, Kuna Uhusiano Gani Kati...
  12. Da Vinci XV

    Manii huboresha ngozi za wanawake

    Kwa bahati nzuri kila mwanamke anapenda uzuri, na sifa ya wanaume ni kupenda wanawake wazuri,na uzuri wa kuwa mzuri ni uzuri wa kusifiwa kwa maneno mazuri kutoka kwa wanaume wazuri yakwamba wewe ni mzuri. Wakati ule 'ninaimba jua lile literemke mama' pale shule ya msingi miaka kadha iliyopita...
  13. Kipenzi Changu

    Tanzania haiwezi kuendelea, watu wake ni wavivu wa mwili na kufikiri

    Nitatumia lugha kali lakini ndio ukweli mchungu. Tanzania haiwezi kuendelea zaidi ya hapa pamoja na kuwa na rasilimali za maana. Nimefikiria kwa haraka haraka kwa kuitazama Tz katika miaka 40 ya uhuru,ikaja miaka 50 ya uhuru na sasa miaka 60 ya uhuru. Hakuna hatua kubwa ya maana tuliyopiga...
  14. B

    Tetesi: Hospitali ya Seliani Arusha inayomilikiwa na Kanisa yazuia mwili wa Marehemu wakidai walipwe fedha za matibabu cash

    Nimepata Taarifa kutoka kwa familia moja ambao wameoa huko Mkoani Arusha zikisema walipata msiba wa Mkwe zaidi ya wiki Sasa lakini mazishi hayajafanyika kwa sababu Hospitali inadai haitotoa mwili hadi walipwe deni la matibabu. Taarifa zinadai wanafamilia wamepeleka zaidi ya nusu ya fedha na hati...
  15. U

    Orodha ya baadhi ya vyakula vinavyotajwa kuwa bora (super foods)

    Tunaambiwa kuwa kuishi vizuri ni pamoja na kula chakula bora na sahihi. Pia, mtu anayeishi vizuri ni yule ambaye hasumbuliwi na maradhi hatari na njia pekee ya kuulinda mwili dhidi ya maradhi hatari ni kujua ipasavyo na kuvitumia vyakula bora pamoja na kufanya mazoezi. Katika makala yafuatayo...
  16. LIKUD

    Ni nuksi Kwa taswira ya mtu kuonekana kwenye Gari lililo beba mwili wa marehemu

    Wataalamu wa mambo wanasema ni nuksi kwa taswira/image ya mtu kuwa reflected kwenye kioo au sehemu yoyote ya Gari lililobeba mwili wa marehemu " funeral car" Suluhisho ni nini? Kufanya maombi mazito kama ni mkristo... Kufanya Dua Na visomo vizito kama Ni muislamu Kufanya tambiko Zito la...
  17. Kipenzi Changu

    Kwanini mwili wa Hans Pope ulizikwa baada ya miaka 8?

    Tusaidieni kujua, inaonyesha aliuawa 71 na kuzikwa 79. #RIP ZHP
  18. kindikinyer leborosier

    Tatizo la uchovu kupitiliza, mwili kupata ganzi nikikaa kwa muda mrefu

    Assalam wana jamvi, nina tatizo ambalo naombeni mnisaidie, hii kwa sasa si kawaida, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30 sasa, ni mwajiriwa katika taasisi binafsi kwa muda wa miaka minne sasa, sijaoa japo nina mpenz ambae yupo mkoa mwingine. tatizo langu ni uchovu uliopitiliza, yaani...
  19. J

    Ufanyaji wa mazoezi unausaidia mwili kutonyong'onyezwa na homa kali COVID-19 kwa urahisi

    Ufanyaji wa mazoezi kila siku unapunguza hatari ya kupata virusi vya COVID-19 au kupata homa kali ya mapafu. Mazoezi yanaimarisha kinga mwili na kuondoa sumu ambazo zinausaidia mwili kupambana vyema na maradhi nyemelezi. Mtu anayefanya mazoezi akipata virusi vya COVID-19 mwili wake unachelewa...
  20. Suley2019

    Rorya: Mwili wa aliyekaa mochwari miezi nane wazikwa

    Hatimaye mwili wa Mzee Wilson Ogeta (89) umezikwa kijijini Nyambogo baada ya kukaa mochwari takriban miezi minane bila kuzikwa, kufuatia mgogoro wa ardhi kati ya familia ya mzee huyo na mtu mmoja anayedaiwa kununua eneo la makazi ya mzee huyo. Mzee Wilson Ogeta alifariki dunia Januari 10 mwaka...
Back
Top Bottom