mwezi

  1. JamiiForums Tanzania Mshahara wa mwezi Agosti 2021

    Wakuu tushtuane kale ka meseji kakiingia au mkiona msongamano usio wa kawaida kwenye ATM. Wasiohusika kaeni pembeni
  2. JamiiForums Tanzania Makato ya kodi ya majengo kupitia LUKU hayana tofauti na 'service charge' ya kila mwezi

    Ile service charge iliyoondololewa kipindi kile na watu tukashangalia nadhani ndo hii imerudi tena in style. Mana kila mwezi watakua wanakata kwahiyo lazima uwawekee bajeti yao kila mwanzo wa mwezi kwahiyo binafsi naona ni kama ile service charge imerudi ila kwa style tofauti.
  3. JamiiForums Tanzania TANESCO: Ili upate umeme kwa mwezi Agosti, nunua wa zaidi ya Tsh. 2,000/-

    Shirika Umeme nchini (TANESCO) limesema Wanachi hawataweza kununua umeme wa chini ya Tsh. 2,000 kwa mwezi huu Limesema ni ili Wananchi waweze kulipa kodi ya majengo ya mwezi Julai (Tsh. 1,000) na Agosti (Tsh. 1,000) Shirika hilo limefafanua kuwa Tarehe 20 Agosti ni kuanza kwa makato lakni kodi...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Serikali iwaangalie wakulima wa miwa Kilombero wanadhulumiwa kwenye Malipo

    Mkulima wa miwa kilombero anapitia changamoto nyingi hadi afikie hatua ya kuua miwa,mfano mkulima ununua mbolea Bilal ruzuku,sumu za wadudu ambao wamekuwa tatizo kubwa kwenye zao ili kwa sasa nk. Kwa masikitiko makubwa sana kampuni ya Sukari Kilombero imempunja mkulima kwa kununua tani moja ya...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Nina Mil 30, nifanye biashara gani kurudisha pesa na kupata faida ndani ya mwezi?

    Wadau, salaaam? Nina 30m, nataka kuingiza katika biashara ambayo itanirudishia hiyo pesa ndani ya mwezi na kunipata faida juu. Ushauri pls..
  6. L

    JamiiForums Tanzania Mngeta, Mlimba: Wananchi walioshindwa kununua mita za maji kutozwa 10,000 kwa mwezi kuanzia Julai, 2021

    Kumekuwa na ukandamizaji, unyanyasaji na upigaji mkubwa sana wa pesa katika kata za mchombe na Mngeta kupitia mradi wa maji Lukicha! Pesa ya mfadhili pamoja na 10m alotoa Mh. Lwakate -marehemu imetumika kujenga katangi kadogo hata 5m hazifiki! Mbali ya upigaji huu mkubwa wa ujenzi wa tangi la...
  7. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa huu ni mwezi wa nane SGR kipande cha Dar-Moro kinaanza kazi lini?

    Kama uzi huu Safari za Treni ya Mwendokasi kuanza Agosti mwaka huu, 2021 unavyojionyesha, Waziri Mkuu alisema mwezi huu wa nane SGR kipande cha Dar-Moro kitaanza kazi. Je ni tarehe ngapi treni hiyo itaanza kazi? Badala ya serikali kujifichia kwenye kesi za kubambikiziana, watuonyeshe...
  8. JamiiForums Tanzania Maulid Kitenge aondoka Wasafi FM

    Kupitia ukurasa wa Wasafi Fm huko Instagram, wametangaza Maulid Kitenge ameondoka rasmi Wasafi Fm kuanzia leo sio tena mtangazaji wa kituo hiko!
  9. JamiiForums Tanzania Utaratibu huu wa kuondoa taka mara mbili tu kwa mwezi sio mzuri

    Tumeletewa Mkandarasi wa kuzoa takataka na uongozi wa Serikali ya Eneo letu, takataka zinachukuliwa baada ya wiki mbili. Naomba watu wanaohisika na Afya na Mazingira waingilie swala Hili na kuzuia huu wizi na kuepuka kurundika takataka kwa mda mrefu kama huko! Watu wakishatoa rushwa na kupokea...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Orodha: Wasanii walitozamwa zaidi YouTube kwa mwezi Julai

    1. Diamond - Views Milioni 33.4 2. Rayvanny - Views Milioni 21.5 3. Zuchu - Views Milioni 19.1 4. Mbosso - Views Milioni 16.4 5. Harmonize - Views Milioni 16.2 6. Alikiba - Views Milioni 11.9 7. Nandy - Views Milioni 5.9 8. Rose Muhando - Views Milioni 5.2 9. Zabron Singers - Views Milioni 5 10...
  11. C

    JamiiForums Tanzania SoC01 Namna ya kuweza kutunza mshahara wako ukutane na wa mwezi unaofuata

    Kumekuwa na malalamiko mengi juu ya mishahara ya waajiriwa wengi kutokutana yaani mishahara kuwahi kuisha kabla ya muda wa kupokea mshahara mwingine. Hii hupelekea walio wengi kuamua kuzidharau kazi za kuajiriwa na kudai mishahara iongezwe bila kufikiria kuwa hata wenye mishahara mikubwa zaidi...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Namna ya kuweza kutunza mshahara wako ukutane na wa mwezi unaofuata

    Kumekuwa na malalamiko mengi juu ya mishahara ya waajiriwa wengi kutokutana yaani mishahara kuwahi kuisha kabla ya muda wa kupokea mshahara mwingine. Hii hupelekea walio wengi kuamua kuzidharau kazi za kuajiriwa na kudai mishahara iongezwe bila kufikiria kuwa hata wenye mishahara mikubwa zaidi...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Wateule wa Rais katika idara na Wizara wanatuhumiwa kutumia siku 14 kila mwezi kuzunguka mikoani

    Nimefanikiwa kuwadodosa baaadhi ya wazee wenye nyadhfa serikalini kuhusu mkanganyiko wa mambo unaoendelea nimeshtushwa kwamba hata wao wanayojadili na kuyaamini si haya yanayotekea kwenye utendaji. Nafasi ya wanasiasa Ni kubwa Sasa kwa Sasa hasa baada ya kutoa wataalam na wabobezi wengi kwenye...
  14. JamiiForums Tanzania Mshahara mwezi Julai bado?

    Wadau njaa imezidi na wadeni wangu wanataka hela zao. Vipi jamani, mshaharawa mwezi wa saba bado?
  15. S

    JamiiForums Tanzania Power Tiller GT Shakti 880 hata mwezi bado ila tayari imevunjika diff

    POWER TILLER GT SHAKTI 880 hp 13 Diesel Usithubutu kununua haka ka Power Tiller nimekanunua majuzi tu sh 2,200,000 HP 13 Diesel tayari kamevunja diff, na spare hawana Naombeni msaada wa kupata hiyo Tube Housing ya Differential
  16. JamiiForums Tanzania Watumishi tunaosubiri madaraja mwezi huu

    Ndugu zangu na washikaji zangu ambao upepo wa kupanda daraja ulituacha mwezi uliopita japo tulistahili, tusipopanda mwezi huu tufanyaje? Tulioanza nao kazi na tuliowapita sasa wana mishahara mikubwa zaidi yetu japo elimu ni moja.
  17. JamiiForums Tanzania Mchango wangu kwa serikali kufikia lengo la trilioni mbili kila mwezi

    Inafahamika kwamba kila siku duniani kote wafanyabiashara wanapanga mbinu za kila aina kuweza kukwepa kodi,ndio maana watu kama Ronaldo na Messi wamewahi kukamatwa na kushtakiwa kwa kukwepa kodi, Kama tumeamua kuwabembeleza wafanyabiashara, basi kuna mambo mawili ya kufanya mdaiwa asipolipa...
  18. JamiiForums Tanzania Nakupenda sana baby ila kila mwezi utanipa laki tatu (3)

    Huyu dem napishana nae kila mara hapa mtaani kwetu na kwa kuwa mimi si mtu wa story sana na washikaji hapa kitaa yaani nikitoka nimetoka nikiingia nimeingia hivyo sijazoeleka sana na watu wengi. Sasa huyu dem kila nikirudi hua namkuta kibarazani kwao (sijui kakariri muda wangu wa kurudi home)...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Mradi wa Stiglers Gorge HEP hauwezi kukamilika 2022, Novemba 2021 bwawa halianzi kujazwa maji

    Huu mradi wa maji ya kuleta umeme wa nyerere tumekuwa tukidanganywa kila siku kuwa utakamilika June 2022, kitu ambacho c Cha kweli hata kidogo, pia tukidanganywa Mwezi wa 11 maji yataanza kujazwa kwenye bwawa huu ni uongo mkubwa, kwanini nasema hivo 1. Njia za kupeleka maji kwenye mashine...
  20. JamiiForums Tanzania Mwezi wa 4 sasa simu yangu sina picha au video yoyote ya ngono

    Kumbe inawezekana kwakweli namshukuru sana Mungu kwa sasa simu yangu nimeweza kukaa bila video au picha za ngono now hata watoto naweza kuwapa nyumbani wakachezea. Dah! Mungu mwema sijui wenzangu mnaweza hali hii kukaa bila picha au video mimi nilikuwa kila nikifuta napata hii asa magroup...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…