Nimeona hilo kupitia star TV usiku huu wa saa mbili. Tatizo ni nini?!!!
Mwenyekiti anashangaa kuwa vyanzo ndiyo kwanza vimezidi lakini mapato ndio yamashita kama hivyo yanashuka.
Kamati yaundwa kuchunguza.
Ndio hivyo!
Amini kwamba unaweza kua na kibarua cha kawaida tu ambacho kinakupa walau laki 6, 7 - 8 kwa mwezi na ukakosa mke. Wasi wasi ukiwa ni kipato hakitoshi.
Je mliofanikiwa hapa mlianza vipi?
TANESCO KUVUNA BILIONI 5 MAPATO YA MWEZI KUTOKA GGM
Kukamilika kwa mradi wa kupeleka umeme kwenye Kampuni ya uchimbaji madini ya dhahabu ya Geita Gold Mining (GGM) kutaliwezeshaTANESCO kupata kiasi cha shilingi bilioni 5 kwa mwezi zitakazotokana na mauzo ya umeme.
Source: TANESCO
===...
Baada ya kuwa na matokeo mabaya hivi karibuni ikiwemo kufungwa na kupata sare, Manchester United imefanikiwa kupata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Brighton katika mchezo wa Premier League.
Mchezo huo uliochezwa usiku wa kuamkia leo Februari 16, 2022, mabao yamefungwa na Cristiano Ronaldo ambaye...
FISTON MAYELE - Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya NBC mwezi Januari, 2022
FRANCIS BARAZA - Kocha Bora wa Ligi Kuu ya NBC mwezi Januari, 2022.
JOHN NZWALLA - Meneja Bora wa Uwanja kwa mwezi Januari, 2022.
#NelsonMandela
Roketi iliyorushwa na kampuni ya uvumbuzi wa anga za juu ya bilionea Elon Musk inakaribia kugonga ndani ya mwezi na kulipuka.
Chombo kinachosaidia roketi kulipuka kwa Falcon 9 kilikwenda katika anga za juu mwaka 2015, lakini baada ya kukamilisha safari yake, hakikuwa na mafuta ya kutosha ya...
Wadau,
Niko kwenye hatua ya mwisho za kuanza mradi wa biashara ya Mboga Mboga, hii ni baada ya kufanya utafiti na majaribio kwa muda wa miezi 6 na kuwa na uhakika wa uwepo wa soko la Mboga Mboga( kwa jumla) katika eneo la Bunju B, Dar es salaam.
Naitafuta mwekezaje mwenza(Partner) atakaewekeza...
Habari za muda huu Wana JF
Kama nilivyotanguliza hapo juu, maisha mtaani ni magumu sana, kama una roho nyepesi unaweza kata tamaa.
Baada ya kumaliza chuo (bachelor of education) ndio nilithibitisha yaliyosemwa na wengi kuwa maisha ya kitaa ni magumu sana, kwakweli sikua na mishe ya kuniingizia...
Habari mimi ndugu yenu Binadamu Mtakatifu ni mmiliki wa channeli ya youtube na blogu hasa kilicho nileta hapa ni kuwa kazi hii ni ngumu kuifanya pekeyangu pia bado visitors ni wachache sana hivyo kama wewe ni kujana na ungependa kushirikiana na mimi njooo PM
kuhusu nitakulipa nini hapa ninacho...
Baada ya wiki chache, chanjo ya watu wazima itakuwa ya lazima nchini Austria. Kuanzia mwanzoni mwa mwezi wa Februari, wale ambao hawajachanjwa watatozwa faini kubwa. Tangazo hili lilitolewa Jumapili hii, Januari 16, na Kansela wa Austria, Karl Nehammer.
"Tutapitisha wajibu wa...
Kwenye Ile mikoa ambayo msimu wa Masika unaanza mwezi wa 11 hali ni mbaya mingine mpaka sahivi hakuna mvua ni msimu wa mvua. Na hii mikoa ndo mingi inayozalisha chakula kingi.
Tofauti na Ile inayopata mvua mwezi wa tatu mpaka mwezi wa Sita mwanzoni
Kama una hela weka akiba ya hela kwa sababu...
Kila kitu kiwekwe sawa na ukweli ujulikane. Hata kama ni mkopo wa WB kupitia janga la Uviko lakini kuna giza nene.
Bunge linalofuata mwezi Februari liisimamie serikali iweke wazi namna pesa zilivyotumika na kugawanywa kati ya Zanzibar na Bara.
Bara ni sh ngapi kwa ajili ya nini? Na Zenj sh...
Fremu ipo mita 30 kutoka barabara ya lami ya shekilango road, nyuma ya rombo green view hotel mkabala na legho hotel.
Kodi ya miezi 3/6/12 ndo inayopokelewa.
Karibu kwa mawasiliano
0672037238
Ndugu zangu haya mambo yanashangaza sana.Katika kipande cha video hapo chini Rais Samia Suluhu Hasan akiwa Mwanza mwezi juni 2021 alidai kuwa akiba yetu ya fedha za kigeni ni dola za kimarekani bilioni 4765.
Ndugu zangu Mwezi Juni 2021 tuliambiwa tuna akiba ya fedha za kigeni dola bilioni 4765...
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imekusanya TZS trilioni 2.51 Desemba 2021, kikiwa ni kiwango cha juu zaidi kuwahi kufikiwa tangu kuanzishwa mamlaka hiyo mwaka 1996.
Aidha, Julai - Desemba 2021, TRA imekusanya TZS trilioni 11.11, sawa 98% ya lengo la TZS trilioni 11.302.
Wale wanaosema tusikope, waje mezani na hesabu, nchi inakusanya Kila mwezi trilioni 1.2. Mishahara inakula bilioni 600, inabaki bilioni 600, hii ilipie umeme, maji, karatasi, mafuta ya magari,posho na mengineyo, inabaki ngapi?
Haya, kama SGR inaweza kula trilioni karibu 20, maana yake serikali...
Ubalozi wa Marekani, Tanzania wanahitaji Nesi.
Aliyessajiliwa, Mwenye uzoefu walau Miaka 2.
Kazi nzuri.
Kutuma Maombi fungua link hapa chini...
https://erajobs.state.gov/dos-era/vacancy/viewVacancyDetail.hms?_ref=n0dhqwvrpt0&returnToSearch=true&jnum=30260&orgId=22
Wananchi wilayani Nachingwea mkoani Lindi waliouziwa ardhi katika vijiji mbalimbali kuanzia mwezi Juni 2020 mpaka Disemba 2021 wametakiwa kurudisha Ardhi hiyo kwani mauziano hayo ni batili.
Kauli hiyo imetolewa na mkuu wa wilaya hiyo Hashim Komba alipokuwa akizungumza katika mkutano maalumu wa...
Afya ya Rais ni muhimu.
Kazi ya Urais ni ngumu,
kiongozi wa nchi halali isipokuwa masaa mchahe sana,
wakati mwingine analala akiwa safarini,
wakati wote kiongozi anapokea taarifa mpya kutoka ndania na nje ya nchi,
Wakati wote atatakiwa kutatua changamoto au kutoa maelekezo,
yamkini asipate muda...
Wale wanangu wa Kustream movies, hii hapa ofa. Unapewa log in details za NETFLIX kwa mwezi mzima. Baadala ya kulipa 10,000/- , hapa utachangia kiasi kidogo tu. 6,000/-. Ofa ni kwa watu kumi wa kwanza tu.
Namba: 0621391581.