Kuishi Mbali na Mwenza kuna Changamoto sana

Kuishi Mbali na Mwenza kuna Changamoto sana

Castle_Lite

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2016
Posts
4,505
Reaction score
9,966
Kuishi Mbali na Mwenza wako ni tabu tupu..

Awe ni mke/mume , mchumba
au mpenz .

Kama kweli kuna upendo baina yenu basi jua kuna wivu. Maana kuna muda ratiba ya mwenza inaweza kwenda tofauti na ukawaza mambo mengine Kabisa.

Wivu na hasira.

Kwa Wote ambao Wenzi wetu wako mbali.

Eeeh Mungu tupe Roho ya uvumilivu.
Atupunguzie wivu na husda na waondolee wenza wetu wivu na tamaa na awalinde kuwakinga na tamaa na vishawishi vyote.

Amein.
 
Pole. Tafuta hela utaishi naye karibu tu njaa ndo zinawatenganisha
 
Back
Top Bottom