Habari Tanzania !
Nawaomba sana maana kumekuwa na changamoto kubwa sana ya Usafiri wa Umma Mkoa wa Mwanza.
Mwanza ya sasa sio ile ya zamani; maana kuna idadi kubwa sana ya watu na watu wanateseka kwa usafiri maana mwendo kasi vyombo vya usafiri ni mdogo na vyombo vingi ni chakavu sana.
Wenye...
Ukweli Mchungu
Viongozi wa mkoa wa Mwanza wanaendelea kukwepa ukweli na kugeuza hali ya maji kuwa siasa.
Tayari ni takriban wiki ya tatu sasa jiji la Mwanza linakumbwa na ukosefu mkubwa wa maji. Hivi karibuni mkuu wa mkoa alitangaza wazi kwamba marekebisho yamekamilika—lakini hali halisi kwa...
Mgombea Ubunge Jimbo la Buchosa, Eric Shigongo ameongoza tukio la wagombea wa CCM kupiga magoti mbele ya wananchi kuomba kura Jimbo la Muleba, akiwemo Mgombea Udiwani wa Kata ya Muleba, Alipoenda kuzindua Kampeni Kata ya Muleba Mjini.
Tukio hilo llilenga kuomba kura kwa Rais Dkt. Samia Suluhu...
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza- Said Mtanda, Katibu Mkuu Wizara ya Maji- Mhandisi Mwajuma Waziri pamoja na timu ya wataalamu wa Wizara ya Maji wakipita nyumba kwa nyumba kukagua upatikanaji wa huduma ya majisafi baada ya kukamilika marekebisho ya mtambo wa kusukuma maji uliopata hitilafu, Mradi wa Maji...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linamshikilia na linaendelea kumhoji mkazi wa Mtaa wa Temeke kata ya Mhandu, wilaya ya Nyamagana, Loveness Daniel Kisile (30) kwa tuhuma za kutoa taarifa za uongo kwa mume wake na ndugu zake akidai ametekwa na watekaji wanahitaji Milioni 10 ili wasimdhuru na kutoa...
Wananchi Mwanza walia shida ya maji, Serikali yawatoa hofu huduma kurejea leo
"Tunaomba maji yapatikane kwa haraka, kwa sababu kama nilivyosema mwanzo kwa sababu watu sahizi wanatumia maji ya kwenye madimbwi, maji machafu."
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda, tarehe 21 Septemba, 2025 ameshuhudia safari ya kwanza ya meli ya MV New Mwanza kutoka Bandari ya Mwanza Kusini iliyopo jijini Mwanza kuelekea Bandari ya Bukoba ikiwa imebeba wataalamu kutoka kwa Mkandarasi, Maafisa wa Serikali na wawakilishi kutoka vyombo vya...
Uongozi wa kampuni ya loliondo mnahitaj kuwafanyia semina elekez watumishi wenu kitengo cha mizigo
Ipo hivi-:
Tulipanda garI kutoka mwanza kuelekea arusha na tulipokaribia kufika Babati zikiwa zimebaki kama km 35 kuingia Babati mjini tukaanza kuona moshi ndani ya gari na kusikia harufu kama ya...
Jeshi la polisi mkoani Mwanza limepokea boti ya mwendokasi itakayotumiwa na kikosi cha polisi wanamaji kwaajili ya Doria katika ziwa victoria hatua inayolenga kupambana na vitendo vya kihalifu pamoja na kudhibiti uvuvi haramu.
Boti hiyo iliyogharimu zaidi ya shilingi milioni mia nne itasaidia...
Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) kwa kushirikiana na Wizara ya Mifugo na Uvuvi zinatekeleza mradi wa Uvuvi unaohusisha miradi miwili yenye thamani ya TZS 25.1Bln ikihusisha mikopo ya boti za kisasa zenye thamani ya TZS 2.6 Bln na ufugaji samaki kwa njia ya vizimba vyenye thamani ya...
Wakuu mama mkuu/superior wa Shirika La Wakarmeli Duniani Sista Lilian Kapongo na Wenzake wanne Wafariki Dunia Leo Sasa Tano asubuhi wakielekea airport Kwa safari ya Dar es salaam.
-----
TANZIA:
Waheshimiwa Mapadre, Shemasi na Watawa wote Jimboni,
Kristo,.......
Kwa masikitiko makubwa, muda...
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda amekabidhi magari 8 aina ya Toyotaland Cruiser 2 Hardtop na Toyota Hilux Double Cabin 6 kwa Jeshi la Polisi mkoani humo yenye thamani ya zaidi ya Shilingi Bilioni 1.3.
Magari hayo yaliyokabidhiwa katika Viwanja vya Polisi Mabatini Jijini Mwanza, yatatumika...
Nimeshangaa sana huyu mwanaCCM kuongea namna hii.
Kwamba wasiompigia kura Rais Samia wasipande SGR au kutumia barabara zilizojengwa kwa kodi za Watanzania.
Hajui kuwa kila mtanzania awe CCM au sio CCM analipa kodi?
Soma >> GE2025 - Kasesela: Kama unataka kumnyima kura Rais Samia, usiende...
Mgombea urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC), Wilson Elias Mulumbe amesema endapo chama chake kitapata ridhaa ya kuongoza, Jiji la Mwanza litakuwa ‘paradiso’ ya maisha bora na kitovu cha uchumi na maendeleo nchini
Kauli hiyo ameitoa...
kama kichwa kinavyojieleza natafuta epoxy resin nipo mkoani ila karibu na jiji la mwanza kwa huu mkoa nimetafuta bila mafanikio.
Sasa nauliza kama naweza kupata mwanza na hata dar es saam ikiwezekana ni vizuri kama nikajulishwa na bei yake ahsante
Ningependa kujifunza kuhusu watu wanaoishi milimani katika jiji la Mwanza.
Nini hupelekea watu masikini kwenda kujenga na kuishi juu ya hii milima ukizingatia Mwanza bado ina maeneo makubwa tambarare?
Materials na vifaa vya ujenzi huwa vinafikishwaje juu ya vilima ukizingatia kuwa havina...
Askari mmoja wa idara ya wanyamapori ( TAWA) anaefahamika kwa jina la Enock Rugaimukamu Gration mkazi wa Pasiansi wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza amefariki dunia mara baada ya kujeruhiwa na chui katika sehemu mbalimbali za mwili wake.
Akizungumzia tukio hilo kamanda wa polisi mkoa wa Mwanza Dcp...
Bachelor of Accounting - 81
Bachelor of Banking and Finance - 103
Bachelor of Science in Insurance and Risk Management - 553
Ni kweli taifa linahitaji vijana wenye taaluma za Insurance na tunaipongeza IFM kuwa na hii kozi lakini ukweli mchungu ni kwamba uhitaji wake ni mdogo mno sokoni.
Kwa...
Chui aliyevamia makazi ya watu katika mtaa wa Usalama, Kata ya Mahina Jijini Mwanza na kujeruhi watu wanne, akiwemo mtoto wa miaka kumi, mwananchi mmoja na askari wawili wa Mamlaka ya Uhifadhi wa Wanyama Pori, amedhibitiwa na kuuawa kwa kupigwa risasi kufuatia operesheni iliyoendeshwa na askari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.