mwanza

  1. Mudawote

    JamiiForums Tanzania CHAUMMA wa Kigaila alijua yeye ni maarufu

    GTs, Yaani G55 walidhani wao ni maarufu hahahah yaani Kigaila alivyoaibika hahahaha sura ngumu hana hata ushawishi kisiasa
  2. ngara23

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mkutano wa CHAUMA wakosa watu Mwanza

    CHAUMA ilinadi mkutano wake kufanyika kwenye viwanja vya furahisha ila ajabu watu wa Mwanza walipuuza na hawakujitokeza CHAUMA walipewa uwanja wa furahisha pamoja na support ya ulinzi wa polisi lakini wapi Uwanja wa Furahisha waliuomba chadema wakanyimwa hadi wakaamua kufanyia mkutano Igoma...
  3. Heparin

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nyomi la CHAUMMA jijini Mwanza kwenye uzinduzi wa C4C laishtua CCM. Hakika ni chama Mbadala kwa siasa za upinzani

    Hakika sasa Tanzania imepata chama mbadala cha Upinzani. Watanzania kiungeni mkono chama chenu, kipo tayari kuwaletea ukombozi wa kweli na hapa kipo uwanja wa furahisha kuzindua kampeni ya CHAUMMA for Change (C4C). CHAUMMA oyeeee!
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) wapo LIVE Jijini Mwanza muda huu Juni 3, 2025

    https://www.youtube.com/live/e-gAjW47RNY
  5. Just Pray

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Uzinduzi wa C4C ya CHAUMMA Mwanza, Uwanja mweupe, kuna bodaboda tu ambao ni kama wamewekewa mafuta ya bure

    Wakuu Uzinduzi wa C4C ya CHAUMMA Mwanza, Uwanja mweupe hakuna watu, yaani kuna bodaboda tu ambao ni kama wamewekewa mafuta ya bure. Maandalizi yakiendelea katika uwanja wa Furahisha kikundi Mwanza. Uzinduzi wa kampeni hiyo utafanyika baadae leo na kisha itapelekwa katika mikoa mbalimbali kwa...
  6. P

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya mwanza mataa, tuta la stendi ya daladala makoroboi

    Pale makoroboi stand ya dalala, kuna tuta(bump) kubwa, baada ya tuta hilo kuna mashimo makubwa sana katikati ya barabara. Cha ajabu kwenye tuta hilo na chini ya tuta hilo utakuta zimepaki dalala juu ya tuta, zinapaki daladala tatu hadi nne kwa upana na kuacha sehemu ndogo sana ya barabara...
  7. D

    JamiiForums Tanzania KERO Wahudumu wa kivuko cha KIGONGO -BUSISI Mwanza wanadhulumu wananchi

    Kero yangu ipo upande wa kivuko cha KIGONGO - BUSISI, pale nauli ya kivuko kwa abiria mmoja ni 400, lakini ukienda pale wanakata 500, wanaadai hawana chenchi, Hii inaumiza wananchi sababu bei halali iliyoandikwa kwenye risiti ni tofauti na anayotozwa mwananchi kwa kigezo cha kukosa chenchi...
  8. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Kwanini tuendelee kuliita Ziwa Victoria na si Nyanza?

    Katika moyo wa Afrika Mashariki lipo ziwa kubwa, lenye umuhimu mkubwa wa kiuchumi, kijamii na kiutamaduni kwa mamilioni ya watu wanaolizunguka – Tanzania, Kenya na Uganda. Ziwa hilo, ambalo kwa karne sasa limekuwa likiitwa “Ziwa Victoria,” lilikuwa na majina ya kiasili kabla ya kupewa jina la...
  9. Think2

    JamiiForums Tanzania Uwanja wa maonyesho ya nanenane jijini Mwanza wajengwa baa za kuuza pombe.

    Uwanja wa nanenane uliopo jijini mwanza nyamhongolo umejengwa baa za kuuza pombe, Kuna huduma zote nyama choma, malaya kibao na sehemu za kucheza watoto. Ikumbukwe kuwa huu ni uwanja uliotengwa na serikali kwaajili ya maonyesho ya nanenane inakuaje ujengwe baa??
  10. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Madini ya Almasi Yenye Thamani ya Tsh 1.7 Bilioni Yakamatwa Yakitoroshwa Uwanja wa Ndege Mwanza

    MADINI YA ALMASI YENYE THAMANI YA TSH 1.7 BILIONI YAKAMATWA YAKITOROSHWA UWANJA WA NDEGE MWANZA ▪️Waziri Mavunde awapongeza RC Mtanda,Kamati ya Usalama,Uwanja wa Ndege na Kikosi kazi Madini ▪️Aelekeza uchunguzi zaidi kubaini mtandao wote wa wahusika ▪️Atoa rai kwa wadau wa madini kuzingatia...
  11. toriyama

    JamiiForums Tanzania Kuna mpango gani wa Siri wa Uwepo wa Magugu maji katika kivuko cha KIGONGO-BUSISI eneo MWANZA serikali haioni haionj jambo hili?

    kuna mpango gani wa Siri wa Uwepo wa Magugu maji katika kivuko cha KIGONGO-BUSISI eneo MWANZA serikali haioni haionj jambo hili?? Magugu maji ni majani yanayoota na kuelea ndani ya maji na yamekuwa yakisukumwa kwa upepo kutoka eneo moja kwenda nyingine. Chini ni picha ikionesha eneo la...
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania natafuta mke awe mwanza

    nahitaji mwana mke awe mwanza umri 30-42 akiwa na mtoto haina shida ila asizidi 1 .. naishi nyegezi nina miaka 43 na mtoto mmoja ... aliye tayari ani pm tuyajenge
  13. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Wananchi Mwanza wazuia Jaribio la Jeshi la Polisi kutaka kumkamata John Heche

    Hawa watu vipi Hawa ? Mbona kama vichwan mwao wamejaza matope ? Hiki kizazi kilichopo Ndani ya Jeshi la Polisi mbona wanaujinga mwingi ? Eehhh Wakuuu, hivi kabisa Hawa watu wako sawa vichwani ? YAAN WAO WANAAMINI KUMKAMATA HECHE MBELE YA WATU NI KUWAOGOPESHA HAO WATU?. inamaana hata Mikutano...
  14. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwa niliyoyaona Mwanza leo, ni sahihi sana CCM kuchanganyikiwa. Nimeelewa kwa namna gani inawauma

    Umewekeza mabilioni ya fedha mliyoiba kwenye kandarasi mbalimbali Serikalini na nyingine kwenye bajeti ya Serikali ili uwalipe watu waimalize Chadema alafu Chadema ndo inazidi kupendwa mara 100 zaidi. Umewahonga Mapandikizi mamilioni ya Pesa wajitoe Chadema na kuanzisha tafrani uchwara ili...
  15. LIKUD

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hodi hodi Mwanza: Zijue sababu za kiroho kwanini Likud anaenda Mwanza tarehe 19 May na kurudi Dar tarehe 23 May

    Nimegundua kwamba Mwanza kuna wanawake wengi Sana, Wazuri na sio Malaya, wasio na alama za weusi katikati ya mapaja. Hawajatumika sana. Na kikubwa zaidi wana " Jasho" Zuri. ( Jasho la mwanamke ni nini katika ulimwengu wa roho? A topic for another day) How did I know that about Mwanzanian women...
  16. Dalton elijah

    JamiiForums Tanzania Mwanza: kuna Haja ya Uwanja wa Stand ya zamani Nyegezi kubadilishwa na kujenga Hospital

    Mara baada ya standi ya zamani nyegezi kuhamishwa tunashauri manispaa ya nyamagana kutumia eneo la stand ya zamani nyegezi kwa ajili ya kutenga na kujenga hospital kubwa Nyamagana Kwani Hospitali kuu ya wilaya ya nyamagana ambayo inapatikana mkuyuni karibu na Butimba kwa sasa naona kama haiwezi...
  17. Just Pray

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Takukuru yaokoa milioni 700 kwenye utoaji wa mikopo ya asilimia kumi

    Taasisi ya kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Mwanza kwakushirikiana na wadau wa kamati ya uhakiki ya Wilaya ya Nyamagana wameokoa kiasi cha shilingi milioni 700 kwenye mikopo ya vikundi inayotokana na asilimia 10 ya mapato ya ndani ya Halmashauri ya Jiji la Mwanza kwa mwaka...
  18. chiembe

    JamiiForums Tanzania Serikali ijenge hospitali yake ya rufaa ya mkoa wa Mwanza, iachane na Bugando

    Nashauri serikali owe na mpango wa muda mrefu wa kujenga hospitali yake ya rufaa ya mkoa wa Mwanza, iachane na Bugando ambayo si mali yake, na wenye mali wanapnekana kunyanyapaa serikali. Hii imefanyika maeneo kadhaa kwa kuondoa District Designated Hospital za makanisa na kujenga za kwake...
  19. Tayomist

    JamiiForums Tanzania Frem ya biashara Dampo Mwanza Mjini inapangishwa

    Frem ipo Mwanza Mjini mtaa wa Uhuru Dampo.. karibu kabisa na stand ya dampo. Ukubwa mita 3 kwa 2.5 Unaweza kuitumia kwa matumizi ya biashara au kutunzia mizigo. Haina dalali, piga simu: 0681439977
  20. B

    JamiiForums Tanzania Frem ya biashara Mwanza

    kwa yule mwenye uhitaji wa frem ya biashara ipo nyingine hapa mwanza mjini kati.. KUBWA KUBWA na iko barabaran ** iko prime area ** main road ( barabara kuu) ** mjini kati biashara iliyopo ni nzuri,, kipato chake ( faida ) kwa mwezi ni kuanzia milioni 2.5 hadi 3.5 ina biashara tayari...
Back
Top Bottom