mwanza

  1. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Yaliyoanzishwa na Magufuli Mwanza nimeyakamilisha

    Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewashukuru wananchi wa Misungwi kwa kujitokeza kwa wingi katika mkutano wake wa kampeni leo Jumanne, Oktoba 7, 2025, akisema mwitikio mkubwa ni ishara ya imani kwa chama na viongozi...
  2. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Makonda uso kwa uso na Zitto, Mwanza

    Soma pia: Makonda uso kwa uso na Gambo kwenye mabanda Arusha, ona kilichotokea mbele ya Waziri Ndejembi
  3. Chura

    JamiiForums Tanzania NATAFUTA MBEGU ZA MLONGE NIPO MWANZA

    kama inavyosomeka kwenye kichwa, Natafuta Mbegu za mlonge zikiwa kwenye tunda lake (drumstick) nanunua kwa gunia kama una magunia kuanzia 50 ama unaweza kupata magunia 50 nicheki 0692594263
  4. T

    JamiiForums Tanzania Mama karibu Mwanza tarehe 08 kwa kampeni (Anza na watu wa Mwauwasa na TANROD)

    Wananchi wanataka usimame hadharani juu ya mambo mawili makuu ambayo yamegeuka mateso makubwa na fedheha kwa jiji: Maji – Takribani mwezi mzima chanzo cha Butimba kimeharibika. Ulizindua mradi huu kwa matumaini, lakini hali imeendelea kuwa mbaya zaidi: Hata mgao wa siku mbili kwa wiki...
  5. T

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mama karibu Mwanza tarehe 08 kwa kampeni(Anza na watu wa Mwauwasa na TANROD)

    Wananchi wanataka usimame hadharani juu ya mambo mawili makuu ambayo yamegeuka mateso makubwa na fedheha kwa jiji: Maji – Takribani mwezi mzima chanzo cha Butimba kimeharibika. Ulizindua mradi huu kwa matumaini, lakini hali imeendelea kuwa mbaya zaidi: Hata mgao wa siku mbili kwa wiki...
  6. Masalu Jacob

    JamiiForums Tanzania Usafiri wa Milima: Mwanza Electricity Wire Van Transport

    Habari Tanzania ! Tunawaomba TANESCO na Wizara ya Usafirishaji na Uchukuzi si mtupatie hii huduma watu wa Mwanza maalumu wakazi wa Milimani. Mfunge Usafiri waya kutoka: 1. Mkuyuni - Bugando - Mabatini - Mahina. 2. Kigoto - Kirumba - Bwiru 3. Mirongo - Kilimahewa - Buswelu. NB Watani zetu...
  7. Masalu Jacob

    JamiiForums Tanzania Jiji la Mwanza: Tunataka huduma ya mwendo kasi (Mwanza Rapid Transport)

    Habari Tanzania ! Nawaomba sana maana kumekuwa na changamoto kubwa sana ya Usafiri wa Umma Mkoa wa Mwanza. Mwanza ya sasa sio ile ya zamani; maana kuna idadi kubwa sana ya watu na watu wanateseka kwa usafiri maana mwendo kasi vyombo vya usafiri ni mdogo na vyombo vingi ni chakavu sana. Wenye...
  8. T

    JamiiForums Tanzania KERO Mwanza Yageuzwa Jangwa: Wiki ya Tatu Bila Maji, Viongozi Wanaendelea na Siasa

    Ukweli Mchungu Viongozi wa mkoa wa Mwanza wanaendelea kukwepa ukweli na kugeuza hali ya maji kuwa siasa. Tayari ni takriban wiki ya tatu sasa jiji la Mwanza linakumbwa na ukosefu mkubwa wa maji. Hivi karibuni mkuu wa mkoa alitangaza wazi kwamba marekebisho yamekamilika—lakini hali halisi kwa...
  9. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Unafiki unaendelea, Shigongo amepiga magoti anaomba kura

    Mgombea Ubunge Jimbo la Buchosa, Eric Shigongo ameongoza tukio la wagombea wa CCM kupiga magoti mbele ya wananchi kuomba kura Jimbo la Muleba, akiwemo Mgombea Udiwani wa Kata ya Muleba, Alipoenda kuzindua Kampeni Kata ya Muleba Mjini. Tukio hilo llilenga kuomba kura kwa Rais Dkt. Samia Suluhu...
  10. W

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa Mwanza na timu ya wataalamu Wizara ya Maji kupita nyumba kwa nyumba kukagua upatikanaji wa Maji

    Mkuu wa Mkoa wa Mwanza- Said Mtanda, Katibu Mkuu Wizara ya Maji- Mhandisi Mwajuma Waziri pamoja na timu ya wataalamu wa Wizara ya Maji wakipita nyumba kwa nyumba kukagua upatikanaji wa huduma ya majisafi baada ya kukamilika marekebisho ya mtambo wa kusukuma maji uliopata hitilafu, Mradi wa Maji...
  11. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Mwanamke mbaroni kwa tuhuma za kujiteka, na kutaka Milioni 10 ili aachiliwe

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linamshikilia na linaendelea kumhoji mkazi wa Mtaa wa Temeke kata ya Mhandu, wilaya ya Nyamagana, Loveness Daniel Kisile (30) kwa tuhuma za kutoa taarifa za uongo kwa mume wake na ndugu zake akidai ametekwa na watekaji wanahitaji Milioni 10 ili wasimdhuru na kutoa...
  12. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania Wananchi tunaomba maji yapatikane kwa haraka, watu sahizi tunatumia maji ya kwenye madimbwi

    Wananchi Mwanza walia shida ya maji, Serikali yawatoa hofu huduma kurejea leo "Tunaomba maji yapatikane kwa haraka, kwa sababu kama nilivyosema mwanzo kwa sababu watu sahizi wanatumia maji ya kwenye madimbwi, maji machafu."
  13. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Meli ya New MV Mwanza ilivyofanya safari ya kwanza Mwanza kwenda Bukoba

    Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda, tarehe 21 Septemba, 2025 ameshuhudia safari ya kwanza ya meli ya MV New Mwanza kutoka Bandari ya Mwanza Kusini iliyopo jijini Mwanza kuelekea Bandari ya Bukoba ikiwa imebeba wataalamu kutoka kwa Mkandarasi, Maafisa wa Serikali na wawakilishi kutoka vyombo vya...
  14. Doyi

    JamiiForums Tanzania KERO T559 EBX Bus ya Loliondo kutoka Mwanza Kwenda Arusha Mlitaka Kutuua kwa ubishi wenu

    Uongozi wa kampuni ya loliondo mnahitaj kuwafanyia semina elekez watumishi wenu kitengo cha mizigo Ipo hivi-: Tulipanda garI kutoka mwanza kuelekea arusha na tulipokaribia kufika Babati zikiwa zimebaki kama km 35 kuingia Babati mjini tukaanza kuona moshi ndani ya gari na kusikia harufu kama ya...
  15. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Polisi Mwanza wapokea Boti ya Mwendokasi yenye thamani milioni 400 ili kufanya kwa Doria Ziwa Victoria

    Jeshi la polisi mkoani Mwanza limepokea boti ya mwendokasi itakayotumiwa na kikosi cha polisi wanamaji kwaajili ya Doria katika ziwa victoria hatua inayolenga kupambana na vitendo vya kihalifu pamoja na kudhibiti uvuvi haramu. Boti hiyo iliyogharimu zaidi ya shilingi milioni mia nne itasaidia...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Mradi wa TADB yanufaisha Vijana Mwanza kwa fursa ya ufugaji wa kisasa wa samaki kwa vizimba

    Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) kwa kushirikiana na Wizara ya Mifugo na Uvuvi zinatekeleza mradi wa Uvuvi unaohusisha miradi miwili yenye thamani ya TZS 25.1Bln ikihusisha mikopo ya boti za kisasa zenye thamani ya TZS 2.6 Bln na ufugaji samaki kwa njia ya vizimba vyenye thamani ya...
  17. Inside10

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mkuu wa Shirika la Watawa wa Wakarmeli Duniani, Lilian Kapongo na wenzake watatu wafariki kwa ajali Mwanza

    Wakuu mama mkuu/superior wa Shirika La Wakarmeli Duniani Sista Lilian Kapongo na Wenzake wanne Wafariki Dunia Leo Sasa Tano asubuhi wakielekea airport Kwa safari ya Dar es salaam. ----- TANZIA: Waheshimiwa Mapadre, Shemasi na Watawa wote Jimboni, Kristo,....... Kwa masikitiko makubwa, muda...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania FFU wakabidhiwa Magari 8 na Mkuu wa Mkoa Mwanza kuimarisha Utendaji wa Jeshi la Polisi

    Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda amekabidhi magari 8 aina ya Toyotaland Cruiser 2 Hardtop na Toyota Hilux Double Cabin 6 kwa Jeshi la Polisi mkoani humo yenye thamani ya zaidi ya Shilingi Bilioni 1.3. Magari hayo yaliyokabidhiwa katika Viwanja vya Polisi Mabatini Jijini Mwanza, yatatumika...
  19. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Hivi hii miradi kama SGR pamoja na Mv Mwanza ni mali ya CCM?

    Nimeshangaa sana huyu mwanaCCM kuongea namna hii. Kwamba wasiompigia kura Rais Samia wasipande SGR au kutumia barabara zilizojengwa kwa kodi za Watanzania. Hajui kuwa kila mtanzania awe CCM au sio CCM analipa kodi? Soma >> GE2025 - Kasesela: Kama unataka kumnyima kura Rais Samia, usiende...
  20. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea Urais ADC, Wilson Elias Mulumbe aahidi Mwanza kuwa Paradiso

    Mgombea urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC), Wilson Elias Mulumbe amesema endapo chama chake kitapata ridhaa ya kuongoza, Jiji la Mwanza litakuwa ‘paradiso’ ya maisha bora na kitovu cha uchumi na maendeleo nchini Kauli hiyo ameitoa...
Back
Top Bottom