mwanza

  1. Masalu Jacob

    JamiiForums Tanzania Shirika la Maji Tanzania

    Habari Tanzania Nawaomba wenye mamlaka na wale wataalamu wa mambo ya Sheria na watunzi wa sera; na wale wote wapendao maendeleo. Ikiwapendeza; Muunde Shirika la Taifa ambalo litajenga Mfumo wa Grid ya Maji ya Taifa na kuiunganisha nchi nzima. Alafu Mamlaka za Maji Vijijini na Mijini ziwe...
  2. Mlatino Zeshalo

    JamiiForums Tanzania Makadirio ya tiles kwa nyumba ya ukubwa huu mkoani Mwanza

    Wakuu habari za majukumu, Kama title ilivyo, naomba mnisaidie kujua makadirio yote kwa ujumla maana nimesikia ukiachana na tiles, mchanga, maji na cement, kuna kitu inaitwa grout, skating, Ukubwa wa vyumba ni kama ifuatavyo: Sitting Room: 525*630 Master Bedroom: 524*385 Bedroom 1: 280*410...
  3. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Askari wa JWTZ Ashushiwa Kichapo na Askari Polisi

    Alikuwa ndani ya bajaji kama abiria, mbele bajaji ikasimamishwa na polisi kwa ukaguzi, askari wa JWTZ (jeshi namba 6 kwa ubora duniani) akashuka na sare zake akawa anamwamrisha polisi awaachie, polisi akagoma yule mwamba wa JWTZ akamsukuma polisi hadi akaanguka. Baada ya kuinuka alimtembezea...
  4. Lexus SUV

    JamiiForums Tanzania Wakuu , naomba ulizia ni basi Gani linatoka mwanza hadi moshi stendi pasipo kuishia njiani Arusha ?

    Kuna mzigo unasafirishwa kutokea mwanza hadi Moshi mjini stendi Msaada wa. Hili !?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mbeya inazidi kupaa, Arusha na Mwanza zijipange ! barabara kilometa 29 njia nne yaanza kuwekwa lami

    Serikali inaendelea na Ujenzi wa Barabara ya Njia Nne (Dual Carriageway) 29km Kuanzia Uyole (Nsalaga) hadi Ifisi yenye urefu wa kilomita 29, Barabara hii itakao rahisisha maendeleo ya kiuchumi na kijamii katika mkoa wa Mbeya na maeneo jirani na kuongeza ufanisi katika sekta ya usafirishaji. kwa...
  6. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Video: Gen Z Mwanza waandamana, wafikisha mabango yenye ujumbe kwa JWTZ

    Hii ndio hali huko Mwanza vijana wakiandamana kwa amani barabarani, wengine wakitoa dukuduku zao mbele ya Jeshi la Wananchi (JWTz)
  7. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mbunge John Nzilanyingi: D9 hakuna maandamano Mwanza tunakula bata

    Mbunge wa Jimbo la Nyamagana Mwanza, John Nzilanyingi akizungumza na vijana wa jimbo hilo amesema hakuna maandamano yatakayofanyika Disemba 9, 2025. "Tarehe 9 hakuna maandamano, Natamani tutume ujumbe kwa mabeberu ambao wanataka kutuchonganisha vijana wa jiji la Mwanza wamekataa maandamano...
  8. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Polisi Mwanza: Limewatia mbaroni watu 116 wanaodaiwa kuratibu maandamno ya Desemba 9

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza limewatia mbaroni watu 116 wanaodaiwa kuratibu mipango ya kufanya maandamano yasiyo rasmi tarehe 9 Desemba mwaka huu, tukio linalotajwa kuwa na viashiria vya uvunjifu wa amani. Akizungumza na Wanahabari, Desemba 6, 2025 katika kituo kikuu cha Polisi kilichopo...
  9. Mudawote

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Biti la RC Chalamila kwa Fr. Kitima ni kutekeleza maagizo ya kumuua kushirikiana na kikosi toka Mwanza?

    GTs, Nimeona Maria Sarungi akimtahadharisha Fr. Kitima kuwa kuna askari polis wanne wametumwa na Samia kumuua Fr. Kitima, na hii inaendana na biti la RC Chalamila kusema anaunda kikosi kazi kumchunguza Fr. Kitima kauli yake. Maana yake RC chalamila alivyo boga anategemea amuite Fr. Kitima ili...
  10. T

    JamiiForums Tanzania KERO MWAUWASA imewaangusha wakazi wa Mwanza tatizo la maji limegeuka fedheha ya kudumu

    Kile kinachoendelea Mwanza si hitilafu ya kawaida, bali ni aibu ya wazi, uzembe wa makusudi na kutowajibika kwa kiwango cha juu kabisa kutoka MWAUWASA. Mwezi mzima uliopita Nyegezi haikuwa na tone la maji. Hakuna taarifa, hakuna maelezo, hakuna uwajibikaji—mpaka wananchi walipopiga kelele ndipo...
  11. ngara23

    JamiiForums Tanzania Ninavyomfahamu binafsi Fr. Kitima (PhD), Toka akiwa Mkuu wa Chuo pale SAUT Mwanza

    Kipindi nasoma pale SAUT Mwanza 2012-2015, Padre Kitima ndo alikuwa mkuu wa chuo chetu pale. Namfahamu binafsi na nilikuwa nikiongea nae na kushirikishana mambo kadha wa kadha Fr Kitima naona amekuwa maarufu kipindi hiki baada ya kuwa Katibu wa TEC, naona vilaza wasiomjua vizuri wanajaribu...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Polisi Mwanza wakamata wahalifu 12 waliojificha mapangoni

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza Iimewakamata na kuwatia mbaroni watuhumiwa 12 wanaodaiwa kuwa wahalifu, wakiwa wamejificha kwenye mapango yaliyomo Mkoani humo, huku wakidaiwa kuwa na vifurushi vya bangi. Akizungumza wakati wa doria hiyo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, DCP Wilbrod Mutafungwa...
  13. MoroGent

    JamiiForums Tanzania Unakumbuka nini kuhusu Radio Free Africa Mwanza, Hizi zilikuwa Enzi halisi za Kusikiliza RADIO

    Enzi zile RADIO FREE AFRIKA ilikuwa moto wa kuotea mbali! Moja ya redio zilizofanya mapinduzi makubwa kwenye burudani, elimu na vipindi vya redio Tanzania. Hapa tunawakumbuka watangazaji waliotikisa nchi na vipindi vilivyotupa utamu ambao watoto wa 2000 hawaufahamu kabisa 😄👇 Orodha ya...
  14. Juuchini

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza pata Hygrometer na Thermostat.? Niko Mwanza

    Wadau msaada Tafadhali sana.
  15. R

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi Mwanza limewakamata wahamiaji haramu 14 raia wa Burundi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linawashikilia wahamiaji haramu 14 raia wa Burundi, waliokamatwa wakiwa wameingia nchini kinyume na sheria kwa kutumia usafiri wa magari Mawili tofauti ya abiria Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa jana, Novemba 23 na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, DCP Wilbroad...
  16. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Video: GEREZA KUU,Butimba MWANZA. Haya ndio maisha halisi ya Askari wanapolala

    GEREZA KUU,Butimba MWANZA. Haya ndio maisha halisi ya Askari wanapolala, Tukidai reforms wanatupiga risasi na kuwauwa ndugu zetu, Wanao watumia hawaishi kwenye nyumba kama hizi Tunawakumbusha tu kuna maisha baada ya kazi.
  17. M

    JamiiForums Tanzania Maandamano tarehe 09/12 Nguvu kubwa tuwekeze Dar, Dodoma, Mbeya, Mwanza na Arusha

    Wazalendo, Ukombozi wa nchi yetu unakaribia. Tulichokifanya tarehe 29/10/2025 hawatakuja kukisahau. Tulifanikiwa kuuzuia uchaguzi. Ilikuwa muhimu vijana kuwepo kila sehemu ili kuuzuia uchaguzi. Sasa tunahitaji kuchukua nchi. Inatakiwa nguvu kazi kubwa iwe maeneo muhimu na yenye impact kubwa...
  18. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Maandamano ya Oktoba 29, Madereva 45 wapoteza kazi Mwanza

    Maandamano haya yameweka historia mbaya sana kwa watanzania! Yamechukua roho za watu kwa watu kuuwawa, yameharibu ajira za watu, na biashara. ============ Zaidi ya Magari 34 ya usafirishaji katika Mkoa wa Mwanza yametajwa kuharibiwa baada ya kuzuka kwa vurugu za waandamani siku ya Oktoba 29 hadi...
  19. B

    JamiiForums Tanzania GE2025 Washitakiwa 114 wafunguliwa kesi ya uhaini Mwanza, kufuatia maandamano Jumla yafikia 320 nchi nzima

    10 November 2025 Mahakama ya Wilaya Ilemela, Mwanza Tanzania https://m.youtube.com/watch?v=EK5udu5ot38 Jumla ya watu 114 wamefikishwa mbele ya mahakama ya wilaya ya Ilemela Mwanza: Jumla ya watuhumiwa 114 waliokamatwa wilayani Ilemela mkoani Mwanza kati ya Oktoba 28 na 29, 2025 wamefikishwa...
  20. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwanza: Watu 172 wamepandishwa kizimbani na kusomewa mashtaka yakiwemo kuharibu mali, na unyang'anyi wa kutumia silaha

    WATU 172 KORTINI WAKITUHUMIWA KUFANYA VURUGU, UNYANG’ANYI WA KUTUMIA SILAHA MWANZA Watu 172 wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Nyamagana, mkoani Mwanza na kusomewa mashtaka kadhaa yakiwemo ya kuharibu mali, kuchoma moto na unyang'anyi wa kutumia silaha...
Back
Top Bottom