mwanza

  1. Think2

    Safi sana mama yangu samia suluhu hassani kwa hili

    Naanza kwa kumpongeza rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania , mama yetu Samia Suhulu Hassan katika raisi aliefanya mambo makubwa pia jina la Samia suluhu hassani haliwezi kukosekana. Leo ukifika kishiri hkuna vumbi tena ni mwendo wa lami ni kuteleza tu mwaaaaaah hakuna kupauka na wasukuma...
  2. CM 1774858

    MWANZA: Ni mjadala mkali hapa Prof. Mukandara pale David Kafulila, Jumamosi 26|07|2025

    == Hii kama itafanyika nchi nzima Kwa namna hii basi Kwa mara ya Kwanza Tanzania itapiga hatua kubwa katika maendeleo kupitia PPP hasa Kwa level ya Halmashauri na Mikoa. == Mwanza mmebahatika msikosee,
  3. Youbettersleep

    Hatimaye RunX imeingia Mwanza

    Ndugu wajomba leo ndio nimefika mwanza saa 1 asubuhi bila yowe lolote kwenye gari wala changamoto yoyote njiani sijapata. Ila changamoto ni Mataa ya semi na mafuso usiku kidogo nihame njia, natamani kufunga zile taa zenye mwanga mkaliiii mweupe ili nikiwa narudi nisiteseke njiani. Asanteni...
  4. FK21

    Nahitaji fundi TV Mwanza

    Kama Kuna fundi TV Mwanza please naomba anicheki DM
  5. Roving Journalist

    MWAUWASA: Maeneo ya Milimani Mwanza hukumbwa na upungufu wa maji kutokana na msukumo mdogo

    Mdau wa JamiiForums.com aliyejitambulisha kuwa Mkazi wa Mtaa wa Kaseze, Kata ya Mkolani, Wilaya ya Nyamagana aliandika ~ Mwanza: Mtaa wa Kaseze, Nyamagana hatuna maji, badhi ya Wananchi wanajisaidia vichakani, Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) imepa majibu Mwananchi...
  6. A

    KERO Nimemaliza Diploma kwenye Taasisi ya watu wazima(IAE) mwaka jana, lakini hadi leo AVN hajitoka na hakuna maelezo

    Habari, Mimi ni Muhitimu WA chuo Taasisi ya watu wazima IAE kampasi ya mwanza nimemaliza Mwaka Jana 2024 lakini toka tumalize Hadi Leo hatujapa AVN na tukihoji wanatoa majibu ambayo hayaeleweka. Mara Subirini tunashughulikia hakuna majibu yoyote na Watu tunahitaji kwenda kuendelea na elimu ya...
  7. A

    KERO Mkuu wa Shule ya Sekondari Nyamanoro (Mwanza) anahatarisha maisha ya wanafunzi kwa kuwatoa wanafunzi shuleni saa 2 usiku

    Nikiwa kama jirani nayeishi karibu na Shule ya Sekondari Nyamanoro iliyo katika Halmashauri ya Manispaa ya ilemela mkoa wa Mwanza nimekuwa nikipatwa na wasiwasi juu ya hatari inayowakabili wanafunzi wanaosoma shule hiyo kuwaruhusu wanafunzi kurudi majumbani saa 2 usiku. Shule hii imeweka...
  8. A

    KERO Mlango wa Abiria kuingia Stendi Kuu ya Nyegezi (Mwanza) ufunguliwe, kuchangia njia pamoja na Daladala ni hatari

    Geti la kutokea Daladala kwenye Stendi Kuu ya Nyegezi kwenda Barabara Kuu (highway) ndilo hilohilo linatumika kama njia ya abiria kupita wakiwa wanaingia kutoka upande wa barabara kuu, kibaya zaidi ni kuwa upo mlango wa abiria kwa upande huo lakini umefungwa na kuwalazimu abiria wote wanaoingia...
  9. J

    KERO Kusimama kwa ujenzi wa barabara ya Bukokwa kwenda Nyakarilo katika jimbo la Buchosa (Sengerema) yenye urefu wa Km 3

    Tangia mwaka jana mwezi wa 12 (12/2024) mradi umesimama na mkandarasi hayupo eneo la kazi mpka sasa ningependa kujua shida nini au ni mkandarasi mwenyewe ama mamlaka yaan Tanroads Mwanza. Mradi huu unaotekelezwa na mkandarasi D4N Company Limited tangu mwaka jana mwezi wa 12 umesimama na...
  10. R

    GE2025 Wananchi Buchosa wamepokea kivuko MV Mwanza

    Kivuko cha MV Mwanza kimepokelewa katika Jimbo la Buchosa, ambapo kitakuwa kikifanya safari kati ya Nyakaliro na Kisiwa cha Kome Kivuko hicho kimepokelewa kwa shangwe na wananchi wa Buchosa wakiongozwa na Mbunge wao, Eric Shigongo, na kinatarajiwa kurahisisha shughuli za usafirishaji wa abiria...
  11. Ndengaso

    NSSF Tanzania (Mwanza) tunaomba Maelezo kwanini wastaafu wa JWTZ mwanza hawajapata Mafao yao ya kila mwezi hadi leo.

    PSSSF Tanzania tunaomba Maelezo kwanini baadhi ya wastaafu wa JWTZ mwanza hawajapata Mafao yao ya kila mwezi kwa mwezi june hadi leo ? Moderator Active naomba kichwa cha habari kisome PSSSF.
  12. Nipe Maji

    PreGE2025 Katibu Mkuu na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi wakagua maendeleo ya ujenzi wa vivuko vipya vitano vinavyoendelea kujengwa Songoro Mwanza

    Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Balozi Mhandisi Aisha Amour na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Dkt. Charles Msonde kwa nyakati tofauti wamefika katika Yadi ya Songoro Ilemela Mkoani Mwanza kukagua maendeleo ya ujenzi wa vivuko vipya vitano vinavyoendelea kujengwa. Katika ziara hiyo...
  13. D

    200 na 100 ni sarafu hadimu saana haswa hapa jijini mwanza

    Mwanza sarafu za 100 na 200 ni kama hazipo tena tunapata tabu kubadilishana pesa na bidhaa hasa hizo sarafu.
  14. DuaZaMama

    GE2025 Khadija Mfaume achukua fomu kuwania ubunge viti maalum Mwanza

    Khadija Mfaume Liganga, maarufu kama Dida, ambaye ni Mjumbe wa Baraza Kuu la Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Taifa anayewakilisha Mkoa wa Mwanza, amechukua fomu kuomba ridhaa ya kuwania nafasi ya Ubunge wa Viti Maalum vya Wanawake kupitia Mkoa wa Mwanza. Dida ni mwanaharakati mashuhuri wa haki...
  15. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Khadija Liganga (Dida) achukua fomu kuwania ubunge wa viti maalum katika Mkoa wa Mwanza

    Mjumbe wa Baraza Kuu la Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Taifa anayewakilisha Mkoa wa Mwanza, Khadija Liganga maarufu kwa jina la Dida, amechukua fomu kuomba ridhaa ya kuwania ubunge wa viti maalum katika Mkoa wa Mwanza. Mbali na nafasi yake ndani ya UWT, Dida pia anajulikana kama mwanaharakati...
  16. P J O

    Hivi Mwanza hamna local government?

    Mwanza ndio Jiji la pili Kwa ukubwa Tanzania lakini miundombinu yake ni AIBU. Hasa nyamagana na Mbunge ni yule yule miaka na miaka. Mwanza, Haina taa za Barabarani. Ukitoka mjini, taa utakuja kuziona Tena Shinyanga mjini Tena. Mwanza taa za Barabarani hamna na ni aibu. Miundombinu ya taa za...
  17. O

    Lile soko la Mwanza pale mjini kati

    Mbona kama miaka liliyochukua kujengwa na kufikia hapo lilipo ni mingi kuliko MATOKEO , au Kuna mambo ya ziada tupeni Shule na UFAFANUZI. nahisi ni zaidi ya miaka mitatu
  18. ChoiceVariable

    Baada ya Kuzinduliwa Kwa Daraja la Magufuli (Kigongo-Busisi), Jiji la Mwanza Kuipiku Dar Kiuchumi

    My Take Dar itapumulia mashine baada ya Mwanza The Rock City kuzindua Daraja refu Afrika Mashariki. Hiki kichekesho kimeandikwa na hazeti la The Citizen 😁😁 --- Mwanza is poised to become a real economic competitor to Dar es Salaam in the next decade—thanks to billions of shillings being pumped...
  19. Stephano Mgendanyi

    Ni Historia Rais Samia Afungua Rasmi Daraja la J.P. Magufuli Kigongo-Busisi, Mwanza

    NI HISTORIA RAIS SAMIA AFUNGUA RASMI DARAJA LA J.P. MAGUFULI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amelifungua rasmi Daraja la J.P. Magufuli lenye urefu wa kilomita 3 na barabara unganishi zenye urefu wa kilomita 1.66 linalounganisha Wilaya za Misungwi na Sengerema...
  20. Waufukweni

    PreGE2025 Rais Samia agawa Bahasha za Maokoto kwa wasanii Rayvanny, Saida Karoli, Harmonize uzinduzi wa daraja la Magufuli jijini Mwanza

    Rais Samia amegawa bahasa za fedha kwa wasanii mbalimbali wa muziki nchini, akiwemo Rayvanny, Harmonize na Saida Karoli, wakati wa hafla ya uzinduzi wa Daraja la Magufuli (Kigongo–Busisi) lililofanyika leo Juni 19, 2025 mkoani Mwanza. Wasanii hao walipewa bahasha za fedha baada ya kumaliza...
Back
Top Bottom