Huenda Chalamila hakuridhika na uhamisho, alifanya makusudi ili atumbuliwe

wa stendi

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
24,688
26,795
Huyu aliekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya ndugu Albert Chalamila na kuhamishiwa Mwanza kwenda kuwa Mkuu wa Mkoa inawezekana kabisa hakuridhika na uhamisho wake hivyo zile kauli zake baada ya uhamisho ukiangalia kwa jicho la ukamisaa inaonyesha kabisa kama ameropoka makusudi kabisa.

Na katika utenguzi wake uliotangazwa usiku kesho yake asubuhi tumeona baada ya masaa kadhaa kupita akaonekana anakabidhi ofisi tena kwa mkuu wa mkoa mpya ambae hata hajaapishwa. Binafsi naona huyu aliekuwa mh kimoyo moyo amefurahia sana utenguzi wake .

My Take:
Jana nasikia lori lilokuwa limepeleka vitu vyake vya ndani kutoa Mbeya kupeleka Mwanza eti limefika mwanza hata vitu havijashushwa limegeuza navyo,na kwa muda mchache aliohudumia wananchi wa Mwanza na kutumbuliwa baadhi ya wananchi jana tuu wamefanya sherehe.
Pole sana chala mdomo ulipo nza kichwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usisheherekee anguko la mtu muovu
 
Huyu alipasika awe under " house arrest" haiwezekani kutoa kauli kama zile alipaswa kuhojiwa huenda kuna chain ya watu wa aina ile!!!!
Haiwezekan kuhamasisha watu waandike mabango hata ya matusi !!! Kuna kitu ndani!!!
 
Na ndio maana nikasema kafanya kusudi aitwe kamati ya maadili achunguzwe kwa nini atoe kauli kama zile
 
Huyu aliekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya ndugu Albert Chalamila na kuhamishiwa Mwanza kwenda kuwa Mkuu wa Mkoa inawezekana kabisa hakuridhika na uhamisho wake hivyo zile kauli zake baada ya uhamisho ukiangalia kwa jicho la ukamisaa inaonyesha kabisa kama ameropoka makusudi kabisa.

Na katika utenguzi wake uliotangazwa usiku kesho yake asubuhi tumeona baada ya masaa kadhaa kupita akaonekana anakabidhi ofisi tena kwa mkuu wa mkoa mpya ambae hata hajaapishwa. Binafsi naona huyu aliekuwa mh kimoyo moyo amefurahia sana utenguzi wake .

My Take:
Jana nasikia lori lilokuwa limepeleka vitu vyake vya ndani kutoa Mbeya kupeleka Mwanza eti limefika mwanza hata vitu havijashushwa limegeuza navyo,na kwa muda mchache aliohudumia wananchi wa Mwanza na kutumbuliwa baadhi ya wananchi jana tuu wamefanya sherehe.
Pole sana chala mdomo ulipo nza kichwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Za chini chini na duru za uhakika kwamba Chalamila alishaomba mara nyingi sana kujiuzulu wakamkatalia. Akamua juzi ataaitisha mkutano na waandishi wa habari. Wakaamua kumuwahi usiku wa manane kuepukana na aibu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom