mwanza

  1. Huenda Chalamila hakuridhika na uhamisho, alifanya makusudi ili atumbuliwe

    Huyu aliekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya ndugu Albert Chalamila na kuhamishiwa Mwanza kwenda kuwa Mkuu wa Mkoa inawezekana kabisa hakuridhika na uhamisho wake hivyo zile kauli zake baada ya uhamisho ukiangalia kwa jicho la ukamisaa inaonyesha kabisa kama ameropoka makusudi kabisa. Na katika utenguzi...
  2. S

    Serikali itoe tamko kubatilisha mabango ya matusi Mwanza, la sivyo ni ruksa kwa tamko halali la Mkuu wa Mkoa

    Chalamila alitoa ruksa kwamba tunaweza kubeba mabango kumkaribisha Raisi na kuandika chochote, hata tusi. Chalamila kaondolewa, lakini sijasikia serikali ikibatilisha tamko hili la ruksa. Nadhani busara zitumike, na batilisho litolewe. La sivyo mkiona bango langu lina matusi ya nguoni tusilaumiane.
  3. Chalamila: Akija Rais Samia mje na mabango hata ya matusi. Wananchi Washangilia kufukuzwa kwake

    TUliwaambia huko nyuma, huyu Chalamila ni hafai
  4. Mwanza: Chalamila akabidhi ofisi kwa RC mteule

    Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Robert Gabriel leo Ijumaa Juni 11, 2021 amewasili jijini Mwanza kwa ajili ya makabidhiano ya ofisi na mtangulizi wake, Albart Chalamila ambaye uteuzi wake umetenguliwa. Amefika katika ofisi za mkuu wa mkoa leo saa 4:50 asubuhi na kupokelewa na wajumbe wa kamati ya amani...
  5. Website ya Mkoa wa Mwanza bado inamtambua Mhe. Albert Chalamila kama Mkuu wa Mkoa

    Hii ni website rasmi ya Mkoa wa Mwanza: mwanza.go.tz mpaka sasa bado inamtambua mwamba Albert Chalamila
  6. Chalamila alipotoshwa, Mhandisi Gabriel usikubali

    Mhandisi Robert Gabriel karibu Mwanza. Wenyewe tunaita Rock City, Jiji la Miamba. Wewe sio mgeni Kanda ya Ziwa, unatufahamu. Bado tunaimba na kuomboleza! Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Albert Chalamila alipotoshwa na yeye akapotosha umma, wewe usirudie kosa hilo. Tafuta chapisho langu la...
  7. Ni mabadiliko sahihi yanayoenda kuboresha utendaji ndani ya mikoa hiyo

    Ni mabadiliko sahihi yanayoenda kuboresha utendaji wa kazi ndani ya mikoa yao na serikalini kwa ujumla Mheshimiwa mkuu wa Mkoa Albert Chalamila, mara kadhaa amekuwa ni mtu wa kutoa kauli tata sana kwa lugha nyepesi ni mropokaji, kwa nafasi yake kama mkuu wa mkoa sio busara sana kuwa mropokaji...
  8. Rais Samia atengua uteuzi wa Albert Chalamila RC Mwanza, Dkt. Batilda ateuliwa kuwa RC Tabora

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 11 Juni 2021 amefanya mabadiliko madogo ya wakuu wa Mikoa na kuteua viongozi wengine kama ifuatavyo:- ===== Rais Samia Suluhu Hassan, ametengua uteuzi wa Mkuu wa mkoa wa Mwanza Albert Chalamila, na kumhamishia mkoa huo...
  9. TANZIA Padri Baptist Mapunda afariki dunia kwa ajali ya gari

    Wapendwa katika imani tumsifu Yesu kristo. Father Baptist Mapunda wa Kanisa Katoliki Parokia ya bikra Maria Usagara Jimbo Kuu la Mwanza amefariki dunia katika ajali ya gari iliyotokea huko Usagara nje kidogo ya jiji la Mwanza. Fr Mapunda alifikwa na umauti huo tarehe 3 ya mwezi huu na mazishi...
  10. Mwanza: RC Chalamila anapotosha au amepotoshwa?

    Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Albert Chalamila ametangaza ziara ya Rais wa JMT katika Mko wa Mwanza itakayofanyika kuanzia tarehe 13 hadi 15, Mkoani Mwanza. Katika ziara hiyo, RC Chalamila amesema Rais Samia Suluhu pamoja na mambo mengine atatembelea na kufungua kiwanda cha usafishaji (uchenjuaji)...
  11. Jinsi ya kushiriki kuhudhuria mkutano (hotuba) ya kiongozi wa Serikali

    Wanajamii Forum ________________ Ninaomba kama kuna mtu anaweza akawa na idea kuhusu namna ya kushiriki kikao, mkutano ama shughuli yoyote ya kiongozi wa kitaifa Mfano Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nk... Mfano kuna taarifa kuwa hivi...
  12. U

    Rais Samia kufanya ziara ya siku 3 Mwanza kuanzia Juni 13 - 15, 2021

    Wadau wa JF, Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan atafanya ziara ya muda wa siku tatu (Juni 13 - 15) kutembekea Mkoa wa Mwanza. Akiwa Mkoani Mwanza Mhesh Rais ataweka saini mradi wa ujenzi wa Reli ya...
  13. Mafanikio ya rais Samia siku 78 tangu ashike madaraka

    YALIYOJIRI LEO JUNI 5, 2021 DODOMA, WAKATI MSEMAJI MKUU WA SERIKALI, GERSON MSIGWA AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU MASUALA MBALIMBALI YA SERIKALI. Namshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa imani yake kwangu na kuniteua kuwa Mkurugenzi wa Idara ya...
  14. K

    Samaki sio wa kuokota Kama senene/ kumbikumbi

    Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri. Kuna hii tabia ya watu wa mikoani ambapo hakuna ziwa Wala bahari Wana tabia ya kuagiza vitu utadhani vinakwenda kuokotwa tu Unakuta mtu anakwamba ukirudi kutoka Mwanza naomba uniletee samaki na dagaa kwani wa uko ni watamu Sana Pengine hata shilingi mia moja...
  15. Freeman Mbowe akabidhiwa zawadi ya Ng'ombe na Wazee wa Mwanza kama Shukrani ya Kutambua mchango wake kwa mapambano ya Demokrasia ya Tanzania

    Zawadi hii yenye maana nzito sana amekabidhiwa Mwamba Mbowe na Wazee wa Kata ya Igombe wakati wa Kikao cha ndani cha Operesheni Haki kwa majimbo ya Nyamagana na Ilemela. Kwa niaba yangu na familia yangu nachukua nafasi hii kuwashukuru Wazee wa Mwanza kwa zawadi hii kwa Mwamba Mbowe ikiwa ni...
  16. Chamwino, Dodoma: Rais Samia Suluhu awaapisha Makatibu Tawala

    Jana Rais Samia Suluhu aliwasili mjini Dodoma na leo atawaapisha makatibu tawala aliowateua Mei 29, 2021. Pia Rais Samia aliwateua William Erio kuwa Afisa mtendaji mkuu wa FCC na Dkt. John Mduma kuwa mkurugenzi mkuu wa WCF. Kuwa nami. ========== Tulia Ackson: Wanawake hamkuteuliwa kwakuwa ni...
  17. Operesheni Haki yaingia Kanda ya Ziwa Victoria: Freeman Mbowe atua Mwanza

    Amepokelewa na Bavicha Mkoa Wa Mwanza , ambapo taarifa zinaonyesha kwamba Mkakati wa Operesheni Haki utakuwa Kanda hiyo kwa muda wa siku 3 , Kuanzia Juni mosi mpaka Juni tatu . Mungu ibariki Chadema .
  18. Asante sana mpishi wa biriani Mwanza

    Wakuu Jana nimejichanganya sehemu moja Mwanza nikaambiwa wanapika birian zuri sana nilichokutana nacho Mungu anajua. Asanteni sana Mwanza [emoji1487][emoji1487][emoji1487]
  19. RC Chalamila awataka wakazi wa Mwanza kunywa pombe ili kuchangia ukuaji wa uchumi wa nchi, asema baadhi ya baa kuwa na kelele za muziki ni sawa

    MKUU wa Mkoa wa Mwanza, Albert Chalamila, amewataka wakazi wa mkoa huo kunywa pombe kwa kuwa inachangia kukuza uchumi wa nchi kupitia kodi za serikali. Chalamila ameyasema hayo jana jijini Mwanza alipozungumza na uongozi wa Mamlaka ya Mapato (TRA). Alisema watu wakiacha kunywa pombe maana yake...
  20. Plot4Sale Kiwanja cha kisasa kinauzwa: Mhandu, jijini Mwanza

    Kiwanja kinauzwa jijini Mwanza. Wilaya: Nyamagana Kata: Mhandu Mtaa: Kisiwani (Karibu na shule ya sekondari Mhandu) Kiwanja kimepimwa na kina hati kamili ya umiliki. Size: 30 kwa 30 (hatua za miguu za mtu mzima. Kina tripu 4 za mawe. Kimezungushiwa fensi. Umeme na maji vipo. Fensi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…