Barabara ya Mkuyuni, iliyofunguliwa mapema mwaka huu, inaonekana kujengwa chini ya kiwango kinachotarajiwa.
Ikumbukwe kwamba mwezi Aprili kulikuwa na mafuriko makubwa yaliyosababisha hasara za mali na usumbufu mkubwa wa usafiri. Mimi ni mkazi wa Mwanza, na kwa zaidi ya miaka 20 eneo hilo...
Kwanza sio LAZIMA Kila kitu tusubiri viongozi wananchi wenyewe wajiorganize hapo waone namna ya kutatua hiyo changamoto
Pia uvumilivu ni jambo la muhimu sana Bora kuchota maji na ndoo ziwani Kwa muda tukisubiri michakato ikamilike
Au Kila mtaa wachangangishe wananunue matank makubwa ya maji...
Mnaopeta na maji kila siku habari zenu?.
Tatizo la maji jijini Mwanza bado hali ni tete.Yaan nina miezi miwili sioni tone nyumbani kwangu.Baada ya Waziri Kuja Mwanza nilijua tunaenda kumpeleka ila ni kama hakuna kilichofanyika.Najiuliza maswali yafuatayo;
1.Ilikuwa siasa?
2.Timu iliyoundwa na...
ATCL YAZINDUA SAFARI ZA MWANZA - DODOMA, ABIRIA 1300 KWA SIKU
Shirika la Ndege Tanzania(ATCL), limezindua safari zake za utoaji huduma kati ya Mwanza -Dodoma ikiwa ni kurahisisha safari kwa watumiaji kwa njia ya anga.
Safari hizo zilianza Juni 5,2026, ikitajwa kusaidia wafanyabiashara na...
KAMBI YA WAZIRI AWESO MWANZA, HUDUMA MAJI SAFI YAREJEA AWAONYA WATUMISHI
Kambi iliyowekwa jijini Mwanza na Wazir wa maji Jumaa Aweso, imeleta manufaa kwa wakazi wa Jiji la Mwanza baada ya huduma ya maji safi kurejea katika maeneo mbalimbali.
Baada ya kambi hiyo ya siku nne Jiji Mwanza...
Ninafanya kazi katika kampuni hii kwa zaidi ya miaka mitatu, lakini hadi sasa bado ninadai mishahara ya kipindi kilichopita ambayo sijalipwa. Mbali na kucheleweshwa kwa mishahara, hivi karibuni uongozi wa kampuni ulifanya kikao na kutangaza kuwa wafanyakazi waliokuwa wakilipwa mshahara wa...
Anonymous (b466)
Thread
ajira
ajira mpya
halmashauri
malalamiko
mkalama
mpya
mwanza
singida
wilaya
wilaya ya mkalama
Habari zenu wanaJF, natumaini nyote mnaendelea na pirika za kila siku kwa ajili ya familia na ujenzi wa taifa.
Twende kwenye hoja yangu direct! Swali langu ni kwamba "Ni lini serikali itapanua barabara hizi muhimu zinazounganisha Mwanza mjini na maeneo kuanzia Usagara hadi mjini kati na Kisesa...
Mwanza tuna shida kubwa ya maji ambayo imekuwa ikidumu kwa miaka mingi, lakini haiongelewi kabisa. Kwa mfano, maeneo ya Kirumba, maji hutoka mara moja tu kwa wiki, na mara nyingi hutoka usiku wa manane.
Mbaya zaidi, bili za maji zinakuwa kubwa kwa sababu tunalazimika kuacha mabomba wazi kila...
Wananchi wa eneo la Pasiansi jijini Mwanza wamekumbwa na ukosefu wa huduma ya maji kwa takribani wiki mbili sasa, hali inayosababisha usumbufu mkubwa katika shughuli zao za kila siku.
Kinachozua malalamiko zaidi ni kwamba mamlaka husika hazikutoa taarifa yoyote kwa wananchi kabla ya huduma hiyo...
Kwa hali inayo endelea katika jiji la Mwanza ambalo limezungukwa na maji ya Ziwa Victoria kukosekana maji na eti RC yupo anazunguka zunguka mjini mjini akipeperusha benders kwenye Gari yake ni aibu ya karne.
RC Said Mtanda anafahamika kuwa ni mtendaji mzuri, lakini nadhani atakuwa Sasa amechoka...
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) imetangaza kuwepo kwa upungufu wa uzalishaji na usambazaji wa maji kwa wakazi wa Jiji la Mwanza kutokana na hitilafu ya umeme katika vituo vya uzalishaji na usambazaji wa maji.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo iliyotolewa Juni 9, 2026, hali...
Ningependa kuwasilisha malalamiko yangu kuhusu tatizo sugu la kukatika kwa umeme katika eneo la Buswelu Center, jijini Mwanza.
Kwa muda wa zaidi ya miezi sita sasa, kumekuwa na changamoto kubwa ya kukatika kwa umeme mara kwa mara, hasa nyakati za jioni (kuanzia saa 12 hadi saa 2 usiku). Tatizo...
Anonymous
Thread
center
eneo
kukatika
kukatika kwa umeme
mwanza
sugu
tatizo
tuna
umeme
Katika Mkoa wa Mwanza, Kata ya Kirumba, kuna kituo cha afya kinachoitwa Optimisim Dispensary ambacho kinakabiliwa na malalamiko makubwa kutoka kwa wananchi na hata baadhi ya wafanyakazi wake.
Inadaiwa kuwa hakijasajiliwa rasmi, na baadhi ya watumishi wanaotoa huduma hawana leseni hai za kufanya...
Tunaomba sauti ya wazazi ifikishwe kwa mamlaka za elimu katika Mkoa wa Mwanza kuhusu suala linalohusu baadhi ya shule kuendelea na masomo hata wakati wa likizo rasmi za wanafunzi.
Kumekuwa na taarifa kwamba baadhi ya shule zinaendelea na ratiba za masomo wakati wa likizo, hali ambayo imeibua...
Mwanza (Nyamagana), tuliahidiwa ujenzi wa barabara mwaka 2011 na mipaka ya barabara ikawekwa.
Hata hivyo, tangu miaka ya 1980 barabara hii haijafanyiwa ukarabati wa kina. Jiji limekuwa likiziba mashimo kwa kuchelewa, hali inayoacha maeneo mengi kuharibika na kusababisha ajali pamoja na...
ILEMELA, MWANZA: Je, Serikali ya CCM Inashindwa Kumdhibiti Mwana CCM Anayevunja Sheria?
Buswelu A – Majengo Mapya, Ilemela. Mwaka 2019, wananchi wa eneo hili waligundua kuwa kuna mpango wa kujenga baa katikati ya makazi yao. Kwa kuwa sheria za nchi zinadhibiti wazi wapi baa zinaweza kujengwa...
Anonymous
Thread
ccm
ilemela
majengo
mapya
mwaka
mwana
mwana ccm
mwanza
serikali
serikali ya ccm
sheria
wananchi
Hii meli mpya kabisa inafanya route zipi?
Hii meli nakumbuka tuliambiwa imeanza rasmi safari zake kati ya Mwanza na Bukoba mwezi Sept mwaka jana.
Lakini sasa hivi nadhani hii route bado inahudumiwa na MV. Victoria peke yake.
Wenyeji wa Mwanza, Bukoba Musoma hii meli inato huduma huko mliko?
Au...
Jiji la Mwanza licha ya kupewa upendeleo wakati wa JPM hadi kujengewa stand kubwa mbili za kimkakati ya Nyegezi (Nyamagana) na Nyamhongolo (Ilemela) lakini bado viongozi waliopewa kuongoza Jiji hilo wapo karne ya 18.
Bado ma bus yanaingia Mjini kabisa eneo linaitwa NATA na kupakilia abiria pale...
Kumekuwa na changamoto ya ukosefu wa taa za barabarani katika barabara nyinginza jiji la Mwanza hivyo kupelekea barabara nyingi usiku kutopitika na pia kuvutia wahalifu.
Kwa mfano, barabara inayoenda hospitali ya Rufaa ya Bugando ni giza tupu usiku hivyo kuhatarisha usalama wa wagonjwa na ndugu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.