mwanza

 1. Planet Open School

  Mwalimu wa Biology na Chemistry anahitajika Mwanza

  Planet Open School ni taasisi inayochojihusisha na utoaji wa elimu kwa wale wanaojiendeleza kielimu. Taasisi hii inahitaji mwalimu wa biology na chemistry mwenye uwezo wa kufundisha kuanzia kidato cha kwanza hadi cha sita. Mwalimu atakuwa na vipindi vitatu kila week kwa kila somo. Baada ya...
 2. L

  Msaada: Usafiri wa Mwanza kwenda Dodoma Mchana!

  Habari wadau, Napenda kujua upatikanaji wa Usafiri (gari) wa kutoka Mwanza kwenda Dodoma Nyakati za Mchana kuanzia saa 4! Unakuwaje Kuna basi? Naweza kupata private Kama ilivyo Dar, Moro au Dodoma? Nawasilisha kwa msaada please!
 3. A

  Je naweza kuanzisha mgahawa kwa mtaji wa shilingi ngapi katika jiji la mwanza

  Naweza kuanzisha mgahawa kwa mtaji wa shilingi ngapi katika jiji la mwanza
 4. J

  Mwanza Septemba 8, 2021 Nukuu Muhimu za Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan.

  Mwanza Septemba 8, 2021 Nukuu Muhimu za Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan. Katika Tamasha la Utamaduni, Mila na Desturi zetu. #SamiaKazini #KaziIendelee
 5. Replica

  Rais Samia: Tunataka Mwanza iwe kitovu cha biashara nchi za maziwa makuu

  Rais Samia: Tunataka Mwanza iwe kitovu cha biashara nchi za maziwa makuu, lazima tuiendeleze Mwanza iwe kitovu majirani wasitupite. Yale yote yaliyopangwa na serikali ya Mkoa wafuateni nayo, Serikali kuu tuko nyuma yenu tunakwenda kumaliza shida zilizobakia. Najua kuna ahadi ya mpendwa wetu...
 6. Suley2019

  Magu, Mwanza: Rais Samia ashiriki Tamasha la Utamaduni, Mila na Desturi za Tanzania, atawazwa kuwa Chifu wa Machifu

  Rais Samia Suluhu Hassan leo Septemba 8, 2021 atashiriki Tamasha la Utamaduni, Mila na Desturi za Tanzania lililoandaliwa na Umoja wa Machifu Tanzania (UMT) katika Viwanja vya Redcross - Magu, mkoani Mwanza. UPDATES - Katika Viwanja vya Redcross - Magu tukio linaendelea huku Machifu...
 7. Nijosnotes

  Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Buhongwa, Mwanza hakina udalali

  Kiwanja kinauzwa Buhongwa mwanza mita 800 tu kutoka stendi ya daladala buhongwa. Ukubwa ni Squaremeter 1200 Kiwanja ni tambalale na kipo barabarani kabisa, eneo limeendelea kwa makazi ya watu.... Huduma za umeme na maji zimefika. Bei Tsh. 18,000,000. Hakina udalali ongea na mwenye nyumba...
 8. MC44

  News Alert: Geita: Tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa Richa 4.8 latikisa

  Limepita saa hii 05:38am na kudumu kwa sek 10 hv. Sijui maeneo mengine vipi.
 9. chizcom

  Asante Mwanza, nikirudi nakuja kuweka makazi

  Siku moja naingia jiji la mwanza kikazi nilibaki kushangaa kwa niliyokuwa naona. Mwanza kuna kila aina ya wanawake warembo mikoa yote. Mwanza kuna vyuo vingi na ofisi nyingi kuanzia serekali na binafsi. Wanawake wazuri na kila aina iliyopo toka mikoa mbalimbali mpaka mataifa jirani kote...
 10. jey n

  Ushauri nataka nijitose Mwanza mradi wa SGR

  Habari zenu wakuu, Katika kutafuta mishe za kazi nimefikiria kutua mwanza kufatilia kazi kwenye mradi wa reli. Naombeni ushauri niende nikajitose au namna kwa sasa nipo Dsm.
 11. OKW BOBAN SUNZU

  Kipimo cha Follicle Stimulating Hormonie kinapatikana wapi Mwanza

  Uzi umeelewa wakuu wa jukwaa. Naomba kujua kipimo hiki cha FSH kinapatikana wapi kwa Mwanza?
 12. Zero Competition

  Ni lipi basi zuri la Dar - Mwanza?

  Ni basi gani zuri kwasasa nikiwa na maana sio uzuri tu wa muonekano wa nje na ndani bali pia ambalo linaweza nifikisha mapema ukilinganisha na mabasi ya kampuni nyingine. Mana kuna yale mabasi ambayo ukitoka hapa Dar saa 12 asubuhi Mwanza unafika kuanzia saa saba usiku sasa haya mabasi hapana...
 13. Superbug

  Makato ya kutuma Shilingi milioni moja ni nauli ya kutoka Morogoro Mjini mpaka Mwanza

  Hebu tuwe serious na maisha nyie Wana ccm hivi mnaona sahihi haya MAKATO ya MIAMALA? Imagine nikitaka kufanya transaction ya milioni moja ni 40,000/= hii ni nauli ya Msamvu mpaka Nyegezi stand au stand ya Nato.
 14. Roving Journalist

  Ilemela, Mwanza: Afisa Biashara wa Manispaa alalamikiwa na Wafanyabiashara Wadogo

  Salaam Wakuu, Afisa Biashara Manispaa ya Ilemela, amelalamikiwa na Wafanyabiashara wadogo kwamba anafanya kazi kwa kukomoa na hasikilizi Matatizo yao. Wafanyabiashara wadogo Manispaa ya Ilemela wameomba Serikali iwasikilize kilio chao kuliko kuwafungia biashara. Hapa chini ni nukuu ya Maneno...
 15. Sitachoka

  Nauza kin'amzi cha azam na dstv Mwanza

  Kama unahitaji visimbusi hivyo karibu. Bei kwa vyote viwili ni 230000 kwa aliyeko tayari tafadhari tuwasiliane
 16. Tanzania Railways Corp

  Mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa Mwanza - Isaka waanza kwa kasi

  Mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa Mwanza - Isaka waanza kwa kasi
 17. M

  Askofu Renatus Nkwande asikitishwa na uongo wa Polisi kuhusu wana CHADEMA waliokamatwa ndani ya Kanisa

  Mpaka sasa hivi tunaendelea kushughulikia sakata la kukamatwa kwa viongozi na wanachama wa CHADEMA walipokuwa kwenye misa jana Kawekamo, Mwanza. Waliopo mahabusu ni katibu wa kanda ya Victoria, Mwenyekiti wa Ilemela, katibu wa Nyamagana na wanachama wengine jumla yao ni 20. OCD asubuhi ya leo...
 18. Bwana PGO

  Updates: Kukamatwa kwa Wanachama wa CHADEMA Kanisani Mwanza

  Wakuu, nimepata hii updates ila kwa kweli hata kama Polisi wetu wanatumwa basi at least watumie hata akili. Why wanalazimisha kujenga chuki isiyomithilika kwenye jamii?? Was it necessary? Aliyekuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Itigi na baadhi ya Askari Wanyama pori wanaozea gerezani kwa kufanya...
 19. Kinuju

  Baada ya kukaa kanda ya ziwa kwa miaka 5, nimejifunza yafuatayo

  Watu wa kanda ya ziwa ni wengi sana nchini na ndiyo maana kila mgombea urais huwa anakimbilia huko kuomba akubalike. Watu wa kanda ya ziwa wanakadiliwa kufikia million 32 kwa mjibu wa sensa ya 2002. 2. Kanda ya ziwa imetawaliwa na kabila la Wasukuma ambao wamejaa mikoa ya Simiyu, Shinyanga...
 20. Kamanda Asiyechoka

  Viongozi wa CHADEMA Mwanza mbaroni kwa sababu ya kumuombea Kamanda Mbowe

  Katibu wa Kanda ya Victoria Zacharia Obad pamoja na viongozi na wanachama kadhaa wamekamatwa na Polisi walipohudhuria misa leo Agosti 15, 2021 katika Parokia ya Kawekamo, Mwanza kumwombea mwenyekiti wa chama Mhe. @freemanmbowetz Tutaendelea kufuatilia tutatoa taarifa zaidi. https://t.co/P7Euv1cI2S
Top Bottom