mwanza

  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Watu 23 Wakamatwa Mwanza Kwa Tuhuma za Uchochezi na Kupanga Vurugu Sabasaba

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linawashikikia watu 23 kwa tuhuma za makosa ya uchochezi, kupanga njama za kufanya vurugu pamoja na uhalifu mwingine katika maeneo mbalimbali ya Jiji la Mwanza wakati wa maadhimisho ya Siku ya Sabasaba. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Julai 8 na Kamanda wa...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Kero ya upatikanaji wa maji Kazamoyo, Kirumba, Ilemela – Mwanza

    Wakazi wa Kazamoyo, Kirumba, Ilemela – Mwanza, tumekuwa tukikabiliwa na changamoto ya upatikanaji wa maji kwa muda mrefu, wakati mwingine hupita wiki moja hadi mbili bila kupata maji, na mara nyingi hulazimika kumpigia simu mwenyekiti wa eneo ili awasiliane na mamlaka husika. Kinachoshangaza ni...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wapishi 3 wanahitajika kwa ajili ya hoteli

    Wapishi 3 wanahitajika kwa ajili ya hoteli mshahara 250000-300000 kutokana na uzoefu,malazi bure na matibabu pia. 0655290084.
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mamlaka ya maji Mwanza wamenipa bili kubwa huku mita ikiwa imejaa uchafu ndani hata kusoma ni shida

    Kero yangu inahusu utaratibu wa utoaji wa bili unaofanywa na Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira jijini Mwanza. Nimepokea bili kubwa ya maji, huku mita ikiwa imejaa uchafu kwa ndani kiasi kwamba usomaji wake hauonekani. Sijui hiyo bili imetolewa kwa msingi gani, wamefanyaje usomaji wa...
  5. Mwafrika mmoja

    JamiiForums Tanzania Kwanini hatuwazi kama Japan, Korea, Singapore na Ulaya?

    Mwaka 2026 dunia sasa inakimbia sana, mambo yanabadilika kila baada ya sekunde 30 lakini kwa nchi nyingi za Afrika. Inawezekana kabisa mambo yanabadilika.Kila baada ya wiki 30. Huwa inaumiza sana na kushangaza, katika karne ya 21 mwaka 2026 unakuta binadamu wanagombania usafiri kituoni mpaka...
  6. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania RC Mtanda: Hakuna taarifa yoyote ya kifo kutokana na ajali ya moto iliyoteketeza maduka mtaa wa Lumumba

    Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Said Mtanda amesema mpaka sasa hakuna taarifa yoyote ya kifo kutokana na ajali ya moto iliyoteketeza maduka mtaa wa Lumumba uliopo katikati ya jiji hilo. Akizungumza na waandishi wa habari Mtanda ameeleza kuwa alipata taarifa mapema juu ya tukio hilo na kuwasiliana na...
  7. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mtaa wa Lumumba Mwanza nyumba zinawaka moto muda huu!

    Moto umezuka na kuendelea kuteketeza nyumba kadhaa katika Mtaa wa Lumumba, jijini Mwanza, na kusababisha taharuki miongoni mwa wakazi wa eneo hilo Tutakufahamisha zaidi kinachoendelea ============ Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Said Mtanda amesema mpaka sasa hakuna taarifa yoyote ya kifo kutokana na...
  8. ngara23

    JamiiForums Tanzania Geita inaenda kuchukua nafasi na ukubwa wa Mwanza Kanda ya Ziwa

    Mwanza umelala mno Vibe na biashara, matajiri yote Sasa ni Geita Oyaa Geita ni balaa, Geita mjini, KATORO,Buseresere, Chato, Mganza, Runzewe, Nyangwale Kuna mzuka sio poa, watu wanapiga pesa na starehe kubwa kila siku weekend Mara Kibao naona wasanii wakubwa hapa Tanzania na nje ya nchi...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi: Tunachunguza taarifa za kikundi kukamata madereva Bajaj Mwanza

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza, limebaini uwepo wa ujumbe unaosambaa kwenye mitandao ya kijamii (kama inavyoonekana kwenye picha) ukidai uwepo wa kikundi kinachokamata Bajaji kibabe kwa kigezo cha "Wrong Parking" na kutoza kiasi cha Tsh. 22,000 bila risiti, huku kukiwa na tuhuma kuwa baadhi ya...
  10. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Mlipuko wa baruti waua na kujeruhi watu saba

    Mtu mmoja amefariki dunia na saba wamejeruhiwa kufuatia mlipuko wa baruti uliotokea leo tarehe 01 Julai 2026 majira ya saa 12:46 asubuhi kwenye kibanda cha kahawa katika Mtaa wa Sahwa ya Juu, Kata ya Lwanhima, Wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza. Kwa mujibu wa taarifa ya Kamanda wa Polisi mkoa wa...
  11. A

    JamiiForums Tanzania RESOLVED Mwanza: Taka zilizorundikwa Stendi ya Makoroboi zimeondolewa

    Siku kadhaa zilizopita (Juni 23, 2026) niliandika kuhusu mazingira ya katika stendi ya mabasi madogo ya Makoroboi jijini Mwanza kuwa na uchafu mwingi. Nilieleza uchafu huo umekuwa ukitoa harufu kali kwa siku siku kadhaa na kuwa kero kwa Wananchi na watumiaji wa eneo hilo. Hali ilivyokuwa awali...
  12. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kiongozi wa Kata ya Buyombe – Ilemela (Mwanza) anauza maeneo ya wazi, RC tuma timu ikague

    Mwenyekiti wa Kata ya Buyombe, Wilaya ya Ilemela, Mkoa wa Mwanza anauza maeneo ya wazi (open space) kinyemela, yaliyotengwa na Serikali kwa ajili ya shughuli za Kiserikali. Anaharibu ramani ya mipango miji na anatutengeneza mazingira mabovu ya makazi, tunaomba Mkuu wa Mkoa aje akomeshe tabia...
  13. kadeti

    JamiiForums Tanzania KERO Swala la foleni NATA Mwanza litaisha lini....?

    Wanaohusika na maswala ya mipango miji pamoja na Tanroad tunaomba mtuondolee stendi ya mabasi apa NATA kwani ndo chanzo cha Foleni katika Barabara ya Nyerere, just imagine foleni ya magari inaanzia buzuruga ,unakaa barabarani mpaka muda wa kazi unakuishia ukiwa kwenye jamm. Lakini hata pawepo...
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kijiji cha Nabweko, Ukerewe hatuna umeme wa TANESCO wala maji ya uhakika tangu Uhuru

    Wananchi wa Kijiji cha Nabweko, kilichopo Kisiwa cha Irugwa, Wilaya ya Ukerewe mkoani Mwanza, tunaendelea kukabiliwa na changamoto kubwa za huduma za msingi. Kwanza, tangu Tanzania ipate uhuru, kijiji chetu hakijawahi kufikiwa na huduma ya umeme wa TANESCO. Hadi leo, wananchi wanalazimika...
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO UCHAFUZI WA KELELE ILEMELA NYAGUNGURO: Ni lini mamlaka za Mwanza zitazinduka?

    Tumechoka, tumenyanyasika, na tunapuuzwa kabisa! Kwa miezi kadhaa sasa, wakazi wa Ilemela Nyagunguro tumekuwa tukiteseka kwa kukosa usingizi usiku kucha kutokana na uchafuzi uliokithiri wa kelele. Muziki unaopigwa kwa sauti ya juu ya juu sana kutoka Kwa Tunza na Mamboleo umekuwa kero...
  16. G

    JamiiForums Tanzania Namna ya kua mfanyakazi wa delivery kwa kampuni hizo mkoani Mwanza

    Mm ni dereva boda nataka kupata kampuni ya kudeliver mizigo kwa wateja.. Napatikana mwanza sifa na vigezo vyote ninazo ikiwemo dhamana...kwani ni mtumishi japo cjabanwa sana kazini
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Bar ya G Seven iliyopo Mwanza (Darajani, Kata ya Mkolani) imekuwa ikipiga muziki kwa sauti kubwa sana

    Habari, Naomba kufichua uovu kuhusu Bar inayoitwa G Seven iliyopo mkoani mwanza sehemu inaitwa Darajani Kata ya mkolani, Bar hiyo imekuwa ikipiga muziki usiku kucha Kwa sauti ya juu. Jambo hili limekuwa ni kero Kwa wakazi wanaoishi maeneo Jirani, Jambo ambalo limekuwa likileta makelele na...
  18. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Manispaa ya Ilemela - Mwanza kuomba michango ya Mwenge. Je, hakuna bajeti yake rasmi?

    Manispaa ya Ilemela Mwanza, Kata ya Ilemela kuna Mtendaji anakusanya michango kwa ajili ya kufanikisha shughuli za mwenge, wanapita katika ofisi na taasisi mbalimbali kuomba michango hiyo. Sasa swali langu ni kwamba Serikali Kuu haina bajeti ya kufanikisha mbio za mwenge? Hadi kufikia hatua ya...
  19. D

    JamiiForums Tanzania KERO SK Bar & Grill iliyopo Mitimirefu, Mwanza inapiga mziki na kelele usiku na ipo kwenye makazi ya watu

    Hongereni Dar es Salaam kwa kuanza kudhibiti kelele za baa zilizopo karibu na makazi ya watu. Naomba mamlaka husika ziangalie pia hali ya SK Bar & Grill iliyopo Mitimirefu, Mwanza, mkabala na Shule ya Sekondari Pamba pamoja na Hospitali ya Aga Khan, eneo ambalo pia lina makazi ya wananchi. Baa...
  20. A

    JamiiForums Tanzania HOJA BARABABARA YA MKUYUNI - VOIL (MWANZA) ITATENGENEZWA LINI?

    Wakazi wa mwanza, Nyamagana kwa miaka sasa tunateseka na ubovu wa barabara katika wilaya yetu na hasa barabara kuu ya kuelekea mjini. Barabara ina mashimo mengi, vumbi na mbovu. Mradi wa SGR haukamiliki na hatujui timeline yao ni ipi, lakini kadhia ya kutumia barabara hii ni kubwa. Tunaomba...
Back
Top Bottom